nyingine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    PreGE2025 Sinema ya CHAUMMA na G55 ndio inaisha au tusubiri nyingine?

    Walianza kwa mbwembwe nyingi sana za kupokea “mafuriko ya wanachama” kutoka CHADEMA, wakatangaza oparesheni C4C TUSONGE MBELE itakayofanyka kwa kutumia chopa mikoa 16 kwa kuanzia huko Kanda ya Ziwa mnamo Mei 30. Operesheni hiyo inayotafsiri ‘Chaumma for Change’, itazinduliwa mkoani Mwanza Mei...
  2. L

    Nchi za Afrika zasema hapana kwa Marekani moja baada ya nyingine

    Hivi majuzi, nchi mbili muhimu za Afrika zimesema hapana kwa Marekani. Moja ni Kenya. Tarehe 19, Bunge la taifa la Kenya lilipinga shutuma za baraza la seneti nchini Marekani kwamba nchi hiyo "iliiacha Washington na kutafuta manufaa kwa Beijing", na ikaeleza wazi haki yake ya kuimarisha...
  3. Yanga ndiyo timu pekee kuwahi kucheza fainali CAF uwanja wa Mkapa, Kwa maana nyingine uwanja wa Mkapa ulijengwa kwa ajili ya Yanga

    Kuna yeyote anayebisha? Kama timu yako imewahi kucheza fainali yoyote ya CAF katika dimba la Mkapa, nyoosha mkono juu. Vinginevyo kaa kimya. FT aggregate 1:3 😀
  4. M

    Mambo yanazidi kuchangamka. Press nyingine imeitishwa leo.

    https://www.youtube.com/live/drS9nkvbYdo?si=Made7F_7LFVP6qqj
  5. Burkina Faso na Tanzania kuimarisha uhusiano katika Huduma ya Saratani na huduma nyingine kiafya

    Taasisi ya Saratani Ocean Road, leo Mei 22, 2025 imepata ugeni wa kutembelewa na Dkt. Idrissa Traoré ambae ni mratibu wa Kitaifa wa Mpango wa Afya wa Rais wa Burkina Faso pamoja na ujumbe wake. Taarifaya Ocean Road imeeleza kuwepo kwa ziara hiyo ni juhudi na maono ya Dkt. Jakaya Kikwete wakati...
  6. Musalia Mudavadi: Kama wewe ni Mkorofi Kenya na ufikiri utafanya hivyo kwenye nchi nyingine My Friend haitowezekana

    “Wametembea, wamejaribu kwenda kuleta mchezo wanaoleta hapa katika manchi jirani, nini kimetokea?, tukiambia Waty that Kenya is so democratic they don’t believe it” “Watu wanatoka katika Taifa zingine wanakuja kufanya maandamano hapa, haya wamejaribu, hawakutoka kwa Airport, wameambiwa rudi...
  7. Mbona kama mambo yanajirudia!

    Kulikuwa na utawala wenye ukatili wa wazi wazi na matendo yenye kufanana na hapa kwetu. Ila walipovuka mipaka wakajikuta tumemtoa mpaka yeye. Kitendo cha kufanya yale yale kuvuka mipaka kitakuja kumfanya kama alivyofanyiwa IDD amin. Kumbuka hata ZNZ ilisaidiwa na mtu wa Uganda.
  8. Ni vipi kama mwisho wa maisha yako kwenye sayari hii ndio mwanzo wa maisha kwenye sayari nyingine?

    Labda Mtu unaweza kujiuliza kama kuna sayari nyingine,na pia basi ujiulize kama ulitambua uwepo wa sayari hii kabla kuzaliwa?. Kuna wakati unaweza kudhani labda maisha ni mlolongo usioisha au kumalizwa.
  9. Wanafamilia wa JF, Jana tarehe 13 mimi na shemeji yenu tumefanikiwa kuijaza Dunia kwa mara nyingine

    Asante mama la mama kwa ZAWADI hii ya kidume #no reform no election
  10. Walioondoka Chadema ndiyo waliomkosesha Mbowe uongozi kwa awamu nyingine

    Kama Mbowe angekuwa mbele ya muda basi alitakiwa kujivua lawama mapema na kuondoa wahuni wote chamani. Hilo lilikuwa wazi na lilionekana kwa kila mmoja. Shida ni angeweza vipi kuondoa washiikaji zake muhimu? Wewe unaambiwa Kigaila mke wake alienda bungeni kwa njia haramu. Kigaila ni naibu...
  11. Ndege ya pili ya kivita ya USS Truman yaangukia baharini

    Imefahamika kuwa ndege ya pili ya kivita ya Marekani katika wiki moja ilikuwa imedondoka ndani ya bahari nyekundu muda mfupi tu kabla ya raisi Trump kutangaza kusitisha vita. Msemaji wa jeshi la Marekani amesema ndege hiyo ilipata mkasa huo wakati ikijaribu kutua kwenye deki la meli ya USS...
  12. Nikiwa Rais artificial ozone layer zitakuwa zinatengenezwa hapa Tanzana na kwenda kupandwa sayari nyingine

    Artificial ozone layer itakuwa inatengenezwa hapa Tanzania na kwenda kupandwa nje ya nchi
  13. Kuna koo/familia kila kitu kinaenda vibaya, nyingine kila wanachogusa kinatick... Kwa nini?

    UKOO WAKO UNA LAANA AU UNA KIBALI?" Je, umewahi kujiuliza: Mbona baadhi ya familia wote wanapitia umasikini kizazi kwa kizazi? Watu wana elimu nzuri lakini hakuna maendeleo? Wengine hawajasoma, lakini kila biashara yao ina faida? Kuna familia watu wanakufa kabla hawajafanikisha chochote...
  14. R

    Series za Marekani / Hollywoon naanza kuziona hazina vibe, Naombeni series za nchi nyingine type ya Narcos

    Series zao wanaingiza sana mambo ya WOKE, kutaka kulazimisha mwanamke aonekane anaweza kazi maalum za wanaume, kuingiza sana mambo ya upinde, kuchochea ubaguzi, n.k. Naombeni series za nchi nyingine type za kina Narcos
  15. R

    Kwa nini Mwafrika kiasili hana akili nyingi kama races nyingine ?

    Sisemi kila mwafrika bali kwa wastani, wapo waafrika wana akili nyingi lakini ni wachache wa kuhesabu Hata kwa akili za darasani nachokiona wengi wanaishia kukariri tu, mpaka leo hatuna maabara za kutengenezea madawa ya magonjwa yanayotusumbua waafrika ila watu wana phd za mambo ya madawa...
  16. Simba iteue Captain Multilingual, Zimbwe hawezi kuwasiliana kwa lugha nyingine zaidi ya Kiswahili

    Kwa vile Simba ina uhakika wa kushiriki michuank ya kimataifa kila mwaka,Captain Zimbwe hatoshi.Waamuzi wengi wanaongea Engliish,Arabic,French or Kiswahili Japo football ina lugha yake. Lakini bado matamshi yana nguvu. Ngoma apewe u captain anajua kiswahili,kifaransa,kingereza na kiarabu...
  17. Askofu Bagonza :KANISA linakibali kuiambia Dunia, Mateso na Video haifai Tena, watafute Njia nyingine, Kanisa linapofanya hivo haliingilii Siasa.

    Ashangaa, Kanisa likisema "Mnaupiga mwingiiiii' Serikali inakenua meno yooote Kanisa hilohilo likisema "Mnaupiga mchache" Serikali inanuna. Asema, Tusiruhusuifumo Onevu na kandamizi kuendeleza Harakati zao https://youtu.be/_H_J4RBBW0c?si=aTr4zL51ZB0IXjQJ
  18. Sikukuu za Dini nyingine kama Hinduism zinapaswa kuanza kuthaminiwa na kutambulika Kitaifa kama Public Religious Holidays.

    Mandhari ya kidini Nchini Tanzania inatawaliwa na Ukristo (takriban 55-63% ya idadi ya watu) na Uislamu (31-34%), huku vikundi vidogo vikifuata Dini za jadi za Kiafrika (1-11%), na dini nyingine kama Uhindu, Ubuddha, Usikh, na Baha’i (chini ya 1% kila moja). Zanzibar ni tofauti, ambapo 99% ya...
  19. Lissu, Lema na Maria Sarungi wana agenda nyingine?

    Wanzania wa leo hawazai watoto wengi kama zamani; hasa mijini wanazaa watoto kigogo sana kati ya 2 hadi 4 tu. Hivyo, kuruhusu mtoto wao mmoja kujeruhiwa au kufa ni jambo ambalo hawataki kulisikia kabisa kwao. Lissu, Lema, na Maria Sarungi nao pia wana watoto wachache sana kila mmoja, na...
  20. Kuna njia nyingine ya kupunguza uzito?

    Naomba tu kuuliza Wakuu maana huu ubonge unanikwamisha nnashindwa hata kufunga kamba za viatu. Nitumie njia gani ili niwe Mr. Slim sio BIG. Na halafu nachukia sana mtu kuniona mimi fala, naomba km huna njia tafuta njia upite. Nasubiria majibu yenu hapa chini.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…