nyingine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Mwambieni Haji Manara atoe ahadi nyingine inayopendwa hasa ile inayopendwa na Mende

    Binadamu anapenda sana starehe, hasa starehe ya kupata watoto.Ahadi ya hela sisi sio ishu, toa ahadi, sisi wengine tunapenda tabia ya mende. Toa ahadi endapo Yanga haitofunga mabao manne siku hiyo ya trh 8 basi utatoa ile apendayo mdudu Mende.
  2. Mpira bongo ni kama imani za dini za manabii wa kisasa, hakuna kitu tofauti utawaambia watu wakakuelewa.

    Kwa jinsi mashabiki wa mpira hapa bongo walivyojitolea maisha, akili, hisia, muda na rasilimali zao katika mpira kwa hakika tunaweza kusema mpira ni zaidi ya dini. Watu wanalala na kuamka wakizungumza mpira, wanashinda wakizungumza mpira. Jana mchana kwenye East Africa radio kuna kundi la wana...
  3. Hiki walichofanya Sandaland ni marketing failure kubwa sana, waprinti jezi nyingine tu upya

    SANDALAND waprinti tu jezi mpya kama wanataka kufupisha jina la kampuni yao waziandike (SaLa), kama walishazalisha jezi nyingi itabidi waingie hasara tu kwana zitakuwa vigumu sana kuuzika. Hawa Sandaland hawakuweza kujifunza kutokana na mjadala wa kukataliwa balozi mteule wa Zambia nchini...
  4. Aibu nyingine mbona zinaepukika? Wanawake badilikeni. Huyu mwenzenu kanichekesha sana

    Kuna mwanamke mmoja alitishia sana mtaa kutokana na uzuri wa sura na rangi ya mwili aliyonayo. Kati ya Predators waliovizia vizia nami nilikuwa mmoja wao Nilipoona binti mwenyewe ni aina ya staki nataka nikamuweka chini na kumuomba anipatie jibu moja, akasema hanipendi. Nilipomuuliza sababu...
  5. Napenda Alteza na Ile nyingine watu wanaiogopa

    Mimi nina misimamo yangu. Mark X nimeitumia, ila Saudi ya Alteza na ile nyenzie zinazoogopwa napenda sana
  6. W

    Wale wa masaa 5-9 ni wiki nyingine ya Mapambano

    Matatizo: Harmonize 2016 Haiyee aaah! Olelelelee Alfajiri imefika Anga inang'aa Mvua inaanza katika Ghafla tumbo la njaa Naweka sauti kwa spika Nipate umbea wa dar Mara simu inaita Jina la anko Twaha Akisema, mama yu hoi kitandani Kama si wa leo wa kesho Na kupona sizani Upate japo neno la...
  7. Hakuna kauli nyingine za kuombeleza kifo kwa Waswahili zaidi ya hizi

    Kila mara mtu anapofariki Waswahili huwa hawakosi hii misemo, 1. Maisha ni fumbo, 2. Tumeumbiwa kifo, 3. Kifo ni kitendawili 4. Tunatembea na kifo 5. Mbele yake nyuma yetu( hii hata huwa sielewei inamaanisha nini) Mtu anapokufa unatakiwa kusikitikia marehemu na waliobaki, sio kujisikitikia...
  8. Mjadala : Je wanufaika wa NHIF tulipie pesa ya kumuona Daktari, NHIF igharamie huduma Nyingine zote kwa ubora?

    Habari JF , Kiuhalisia matibabu ni gharama sana na tukisema pesa tunazochangia zigharamie kila kitu Changamoto zinazojitokeza katika matibabu tunayopata hazita kwisha . Kuna kitu kinaitwa pesa ya kumuona Daktari au consultation fee , hii pesa inayolipwa kwa ajili ya kumuona Daktari haijalishi...
  9. Nyie TRA njooni kodi nyingine iko huku!

    WAKATI nakua na kupata fahamu za kujua kuwapo kwa Mungu, ipo siku wazazi wangu waliniamsha alfajiri na kunivisha nguo ambazo sikuwahi kuzivaa, zilikuwa mpya; shati na kaptura, tofauti na zamani nikivaa shati refu tu bila kingine chini. Baada ya kuvishwa nguo hizo nikiwa nimemaliza kuoga, tukala...
  10. Wale tunaoangalia Mpira kupitia Dstv nadhani tunaona tofauti Kubwa sana kati ya Mechi ya maana Ujerumani Euro na Takataka nyingine mahala fulani

    Halafu bado utakuta kuna Mijitu kabisa inaacha Kuangalia Mechi ya Euro inayoendelea inatizama Takataka moja hivi.
  11. I

    Kwa mara nyingine tena mfumo wa anga wa Russia aina ya S-500 unashindwa kuzuia makombora ya ATACMS za kimarekani.

    Mvutano kati ya Urusi na Marekani umeongezeka kwa hatari kufuatia shambulio baya la kombora huko Sevastopol, Crimea, ambalo maafisa wa Urusi wanadai lilitekelezwa kwa silaha zilizotolewa na Marekani. Shambulizi hilo lililotokea Juni 23, lilisababisha vifo vya watu wanne, wakiwemo watoto wawili...
  12. Sheria ipi inazuia ukiwa na mkopo wa mshahara NMB (SWL)huwezi kuhamisha mshahara benki nyingine?

    Leo mzee wa kulalamika Daily, Nimechoka na makato ya NMB Nikaona nihamishe mshahara kwenye bank nyingine yenye makato nafuu kidogo, Nikapata bank moja hivi wenyewe hawana makato ya uendeshaji, Sijui makato ya Mastercard n.k Wakanipa fomu yao nipeleke kwa afisa utumishi, Ndio akanipa majibu...
  13. Adnetwork nyingine nje ya adsense?

    Habarini, Adsense haisupport swahili content hivyo nilikua nauliza hivi ni adnetwork gani nyingine inayolipa vizuri kwa traffic ya bongo, ukiachana na adsense, maana nimetest mengi mengi tu ila naona kama wananipiga tu, page views kibao hela haionekani.
  14. nimefatilia maandamano ya kenya nataka niwaambie ni swala la muda tu hiki kinachotokea Kenya kitaambukizwa Tanzania, Uganda, na nchi nyingine jirani

    ukingalia kwa makini haya maandamano sio kama hao watoto wanareject hiyo financial bill au politics issue la hasha unaona ni maandamano ya mapinduzi ya kimfumo hawa vijana wanataka serikali ya kenya iendeshwe kileo na hili ni kutoka na viongozi wengi wa africa kutowatilia maanani vijana wadogo...
  15. Kuna nchi nyingine inajenga Majengo ya Biashara ya Kibalozi ukitoa Tanazania?

    Majengo ya Biashara ubalozini ni aina ya upigaji hakuna kitu hapo, ni watu wanagawana 10% maisha yanaendelea. Tuulizane Mataifa mengine yanashindwa kujenga majengo ya Vitega uchumi kwenye balozi zao?; Uwezo wanao ila hawafanyi hivyo kwa sababu sio malengo yao. Malengo yao ni kusaidia Raia wao...
  16. Mwenye footage za vita frontline naomba anisaidie

    Nitashukuru mwenye kunisaidia video au link o zenye maudhui ya vita aidha body cam au za drone au ambazo ziko filmed kuonyesha mapigano baina ya pande mbili zote Kwa pamoja.. YouTube zipo hasa za vita gaza na huko Ukraine ila tatizo zinaonyesha upande mmoja tu mimi nataka video iwe zinaonyesha...
  17. Ni matumaini yangu kuwa Watanzania wote mmeshajiandaa Kuzipokea hizi CHADEMA mbili zijazo Moja Original na nyingine Academia

    CHADEMA ORIGINAL Freeman Mbowe Godbless Lema Joseph Mbilinyi CHADEMA ACADEMIA Tundu Lissu Peter Msigwa John Heche Ni suala la muda tu na nawaombeni kama hamtojali wekeni Kumbukumbu ya huu Uzi kwani tayati Moto unawaka.
  18. G

    Inauma sana unapoombwa pesa au msaada unapambana kumsaidia mtu, ukimpa hakujulishi kapata, anakwambia alishasaidiwa, atautumia siku nyingine, n.k

    Mtu anakuja kwako anaonesha shida imembana anakuomba umsaidie iwe ni pesa, nguvu zako, connection zako, n.k. Yawezekana haupo vizuri kifedha inabidi ukope, umebanwa na ratiba lakini unazivuruga kwajili yake, connection unazo lakini hadi zinyenyekewe kwa kujishusha, n.k. unaamua kujitoa umsaidie...
  19. Hivi hii Cecafa kagame cup Ina maana au ni aina nyingine ya usumbufu kwa mabingwa

    Mashindano yanatarajiwa kuanza July ambapo team mbalimbali za east afrika zitashiriki kwa ngazi ya vilabu Najaribu kutafuta mantiki ya haya mashindano hasa katika kipindi ambacho team ya Yanga inataka ipate utulivu wake wa miaka yote mitatu pale Avic town ili kujiwinda na msimu ujao wenye...
  20. Raisi wa nchi kuwa ndani ya nchi nyingine kwa ziara wiki nzima ni maajabu sana, only in Tanzania

    Ukitoa ugonjwa ni ngumu sana Mkuu wa nchi kuwepo ndani ya nchi nyingine kwa wiki nzima akifanya ziara labda awe anaumwa hivyo anatibiwa. Ila kwa Tanzania naona inaelekea kuwa jambo la kawaida sana kiongozi wao kufanya ziara na kukaa wiki nzima ndani ya nchi nyingine. Kumbuka na uzinduzi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…