nyingine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania NIPO DUBAI πŸ‡¦πŸ‡ͺ β€” Unaweza Kuagiza iPhone, Samsung, Google Pixel na Electronics Nyingine GENUINE.

    πŸ‡¦πŸ‡ͺ NIPO DUBAI! NAKULETEA SIMU NA ELECTRONICS DAR ES SALAAM KWA UAMINIFU SAMSUNG GALAXY USED Galaxy S10 128GB β€” TSh 180,000 Galaxy S10+ 128GB β€” TSh 200,000 Galaxy S20 128GB β€” TSh 230,000 Galaxy S20+ 128GB β€” TSh 270,000 Galaxy S20 Ultra 128GB β€” TSh 300,000 Galaxy S21 128GB β€” TSh 250,000...
  2. JamiiForums Tanzania Ni wikiendi nyingine tena ambayo inaenda kuharibu maisha ya vijana kadhaa

    β– KIJANA USIBABAIKE NA MAKEBO MAKUBWA β– DADA USIBABAIKE NA LIFTI YA CROWN NA HAYO MAHARRIER β– AKIKUAMBIA ASIKII UTAMU AKIWA AMEVAA CONDOM JIFANYE UMESAHAU KITU NJE ALAFU UKIMBIE BILA KUGEUKA NYUMA β– HIO CHUPA YA TATU WALIOKUNUNULIA NDIO INAENDA KUKUMALIZA, HIZO MBILI ZINATOSHA , NENDA NYUMBANI
  3. JamiiForums Tanzania Hakuna njia yoyote nyingine ya kumtengeneza mtoto bora zaidi ya ukaribu na mtoto ila ule ukaribu ambao sio wamazoea bali ule uitwao SECURE ATTACHMENT.

    Hakuna kitakachoweza kumuangusha mtoto ambae anapitia misingi muhimu inayompelekea awe mwenye afya nzuri ya kihisia, anayejiamini, anayeweza kujenga mahusiano mazuri na wengine na anayejifunza kudhibiti hisia zake. Haya yote hayaji kwa mtoto kama muujiza, haya yanatengenezwa na ukaribu wewe...
  4. JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais kuna course za degree zitafutwa, nyingine zitahamishiwa masters, nyingine zitapunguzwa idadi ya wanafunzi, na nyingine kuungwanishwa

    Kwa sahivi kuna lundo la course zinatolewa ambazo hazina tija na nyingi zinatakiwa kufutwa, zinatakiwa zihamishiwe kwenye masters na phd sababu ni kama zinatolewa na vyuo kwa ajili ya kupata faida na huku wanafunzi akihitimu anakua na nafasi ndogo sana ya kupata ajira, nyingine zitapunguzwa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya walimu wakuu kuwalaza wasimamizi wa mitihani ya taifa madarasani ipigwe marufuku

    Huu ni ukweli kabisa ambao nimeushuhudia kwa macho yangu. Ni kuhusu walimu wanawake wanaokuwa wamepata nafasi ya kwenda kusimamia mitihani ya taifa kulazwa madarasani tena madarasa ambayo hayana madirisha au yenye madirisha yasiyowahakikishia ulinzi dada, wake na mama zetu. Kituko kingine...
  6. JamiiForums Tanzania UNAUZA MCHELE, MAHARAGE, MAHINDI AU NAFAKA NYINGINE? KUFUNGUA DUKA NA KUJAZA MAGUNIA PEKEE HAITOSHI!

    Unaweza kuwa na mtaji, sehemu nzuri ya biashara na wateja wengi, lakini kutokamilisha taratibu zinazohitajika kunaweza kuiletea biashara yako usumbufu usio wa lazima. Kabla na wakati wa kuendesha biashara ya nafaka kwa rejareja Tanzania, haya ni baadhi ya mambo muhimu ya kuzingatia: 1️⃣ Usajili...
  7. JamiiForums Tanzania LATRA tumieni technolojia kudhibiti madereva barabarani kabla ya kuongeza sheria nyingine.

    Kama madereva wana uwezo wa kutumia teknolojia ya kidigitali kuhamasishana kugoma nchi nzima kwanini nyinyi LATRA mnashindwa kutumia teknolojia hiyohiyo kuwadhibiti madereva wasifanye makosa barabarani yanaosababisha ajali?. Badala yake bado mnatunga sheria zitakazofanyakazi manually kuwapa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Lissu aliona mbali: Leo Katuga anaiamba mahakama kuwa adhabu sio lazima kunyongwa, bali mahakama inaweza kutoa adhabu nyingine

    Aliyoyasema Lissu jana kuwa adhabu ya kosa analotuhumiwa nalo ni kunyongwa na kwamba mahakama isiambiwe kitu cha tofauti na hukumu ya kunyongwa au yeye(Lissu) kuachiwa huru Sasa hii hapa chini ni sehemu ya final submission ya Katuga leo mahakamani: Waheshimiwa Majaji kwa kuelezea kwa kirefu...
  9. JamiiForums Tanzania Hizi tafiti nyingine mmh..❗

    Unatoa gesi mara 32 kwa siku, Wanasayansi watengeneza nguo za ndani kuthibitisha hilo https://bbc.in/4iMWAQn
  10. JamiiForums Tanzania Ndoa nyingine ni mtego: Mtu akistuka tusitie maneno zaidi

    Katika pitapita yangu leo nimekutana na andiko katika Biblia kitabu cha ; 1 Samweli 18:21 "Naye Sauli akasema moyoni, Mimi nitamwoza huyu, awe mtego kwake, tena kwamba mkono wa Wafilisti uwe juu yake. Basi Sauli akamwambia Daudi mara ya pili, Leo utakuwa mkwe wangu". Baada tu ya kusoma mstari...
  11. JamiiForums Tanzania Hali ya ulinzi na usalama Tanzania ni nzuri na ya uhakika zaidi kuliko nchini nyingine yoyote katika eneo la maziwa makuu.

    Na ndio maana kila uchwao, idadi ya watalii na wawekezaji wa ndani na nje ya nchi wanaongezeka Tanzania mwaka hadi mwaka ukilinganisha na nchi zingine za maziwa makuu, ambazo shughuli za utalii na uwekezaji zimezorota sana kutokana na kudorora kwa usalama. Lakini pia uhakika wa usalama...
  12. JamiiForums Tanzania Phd nyingine ya maelekezo inaenda kutolewa.

    Zile PhD za Wanasiasa zinaendelea kugaiwa kwa wingi huko Open. Nakukumbuka Kaenerugaba Msemakweli.
  13. JamiiForums Tanzania Kuwa singo ni stori nyingine

    Lakini kukosa ata mtu wakugegeda, hiyo inauma kinoma
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Mara nyingine tena Dada wa Taifa Mange Kimambi ametibua mipango ya waharibifu.

    Kama kawaida yake, katika nyakati usizomtegemea, huku akiwa amefungiwa mitandao yake ya jamii, lakini sauti yake iliyao nyikani imeweza kupenya na kuwafikia watanzania juu ya uhuni wa kisiasa unaoendelea nchini. Dada wa Taifa kama kawaida yake amelinusuru taifa dhidi ya wahuni wa kisiasa nchini...
  15. JamiiForums Tanzania ID zenu nyingine tunazijua

    Why can't you just be real!? Woga wa nini sasaπŸ˜€πŸ™ŒπŸΏβ— ID mlima kama zinaleta pesa!? You just can't hide your inner self...! Your reaction...! Your handwriting...! Your cycles...! Your puppetism...! ID ya kusifu watu. ID ya kutukana na kukashifu. ID ya mizinga. ID ya utakatifu fekiπŸ™ŒπŸΏπŸ™†πŸΏβ€β™‚ ID za...
  16. JamiiForums Tanzania 9 September 2026: Apple wazindua simu tatu, iPhone Duo, iPhone 18 Pro, iPhone 18 Pro Max na accessories nyingine!

    Leo Tarehe 9 September, CEO mpya wa Apple John Ternus (amemreplace Tim Cook alieachia madaraka mwanzoni mwa huu mwezi), amezindua products mbalimbali za Apple kwenye event yao waliyoiita "Surprise and Shine"! Event hiyo iliofanyika kwenye Steve Job's Theater, Apple Park California, USA, usikute...
  17. JamiiForums Tanzania Kwenye kila Mimi ni kama huwa kuna Mimi nyingine nyuma ya hiyo Mimi, je Mimi ni nani?

    Embu anza kuangalia kwenye namna unavyojimililisha vitu, utaona ni kama kuna Mimi ambayo iko nyuma ya Kila Mimi. Ukiulizwa jina, utasema naitwa fulani, utasema mwili wangu, utasema mkono wangu, utasema moyo wangu na kadhalika. Kwenye Kila umiliki hapo utaona ni kama imekaa hivi… mkono wangu...
  18. JamiiForums Tanzania JENGO JIPYA LA ABIRIA UWANJA WA NDEGE WA KIGOMA HII NI HABARI NYINGINE

    Ukarabati na Upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma umefikia zaidi ya asilimia 67. : πŒπ‘π€πƒπˆ 𝐖𝐀 πŠπˆπŒπŠπ€πŠπ€π“πˆ π”ππ€πŽπ…π”ππ†π”π€ π‹π€ππ†πŽ π‰πˆππ˜π€ 𝐋𝐀 ππˆπ€π’π‡π€π‘π€ 𝐍𝐀 π”π“π€π‹πˆπˆ Huu ni miongoni mwa Miradi ya kimkakati inayotekelezwa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa lengo la...
  19. JamiiForums Tanzania Katika kitu kimebakia kama nchi tunachojivunia ni hichi tuu

    Safarilager Moja ya bia nzuri zaidi kuwahi kutengenezwa kwenye uso wa Dunia.
  20. JamiiForums Tanzania Sioni dalili ya Lissu na CHADEMA kunyoosha mikono, Serikali iangalie njia nyingine

    Laiti kama serikali ingekuwa inamfuatilia Tundu Lissu na kuisoma akili yake ingegundua siyo mtu wa kumtishia na kesi. Siyo mtu wa kumtishia na jela, mahabusu wala hukumu ya kunyongwa. Upo msemo kwamba ukimjua adui yako ndiyo unaweza kumshinda. Njia ya kesi na jela ilizaa matunda kwa Freeman...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…