Huwa unafanya vitu gani baada ya kutoka kazini ili kuuweka mwili sawa kwa ajili ya siku nyingine au ukitoka kazini unaingia kazini tena huna muda wa kufanya vitu vingine kabisa
Mimi huwa napumzika kidogo hata kama kuna shughuli nyingine ya kufanya siingii kuifanya moja kwa moja hasa zile nzito...
Siingilii personal life na najua watu hasa hawa walioleft group wakiishi maisha yao hawani affect
Lakini moja ya vitu vya hovyo ambavyo hawa watu wanafanya ni kuandaa content ambazo ni very sexualized, au mwanaume unakuta anajilegeza mno
Sasa sikuhizi hadi watoto wadogo wana access na social...
Madhila ya vita ya Iran na Marekani/Israel yameanza kuonekana tangu mwanzo mwa mwezi huu kwenye usafiri wa ndege
Baada ya airport za Qatar na Dubai kufungwa tickets za ndege zilipanda maradufu.. Imagine ticket ya ndege kutoka China kurudi Bongo ilipanda kutoka 2M mpaka 10M
Hii vita haina...
Ukweli ndio huo ndugu zangu waafrika. Imebainika hivyo ya kwamba michuano ya WAFCON kwa wanawake ilimsimamishwa ghafla kwa sababu ambazo hazikuwekwa wazi, ila imekuja kubainika ya kua kumbe wamoroko walitoa mashinikizo makubwa na vitisho kwa CAF kuhusu rufaa yao kua wanaitaji kushinda na wawe...
The Wall Street Journal
Ndege tano za Jeshi la Anga la Marekani zinazotumika kujaza mafuta angani zilipigwa na kuharibika zikiwa chini katika Kituo cha Anga cha Prince Sultan Air Base nchini Saudi Arabia, kwa mujibu wa maafisa wawili wa Marekani.
Maafisa hao walisema ndege hizo zilipigwa...
Kwa sisi watumishi wa umma tunaotumia mfumo wa ESS, katika kipengele cha mikopo na tulionufaika na mikopo ya elimu ya juu.
Bodi ya mikopo elimu ya juu HESLB wamekua na kero ya kutokuruhusu mtumishi kulipa mkopo wake kwa kutumia Bank nyingine (yaani kuuza mkopo wa HESLB bank nyingine).
Hivyo...
Anonymous
Thread
benki
bodi
bodi ya mikopo
kulipwa
kupitia
madeni
mikopo
nyingine
Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imetenga mfuko wenye Sh50 bilioni kwa ajili ya kuwawezesha vijana wanaojihusisha na sekta ya ubunifu nchini, hatua inayolenga kukuza uchumi wa ubunifu na kutoa fursa zaidi za kiuchumi kwa vijana.
Akizungumza jijini Arusha jana Machi...
Nimebadilisha matumizi ya umeme kutoka Single phase system kwenda 3 phase system, kwenye remote meter ya single phase system nilibakiza units kama 700 hivi, naweza kuziamishia kwenda single phase nyingine ya jengo jingine?
Maana naambiwa Unit za single phase haziwezi kutumika kwenye 3 phase na...
Kama unatafuta business idea, angalia kwanza ni biashara gani wageni (foreign investors) wanaanzisha nchini, Kwanini nasema hivi?
Kwa sababu ÷
• Mara nyingi hawa wageni kutoka nje hutumia 6–12 months kufanya market research kabla ya kufungua biashara. Kwa kuangalia tu wanachofanya, unapata...
India yathibitisha kupokea meli ya Iran iliyokimbilia huko baada ya kutoroka mapambano, nyambizi za Marekani zinawinda chochote chenye ishara ya Iran.
India has allowed an Iranian warship to dock as a humanitarian gesture, Foreign Minister Subrahmanyam Jaishankar says, after the US sank another...
Uhai wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar unakaribia kufika ukingoni. Kuna manung’uniko makubwa sasa kutoka pande zote mbili za Muungano; mwanzoni yalikuwa zaidi upande wa Zanzibar, lakini hivi karibuni Watanganyika wameanza kuona hasara za Muungano huu. Waliotufikisha katika hali hii si...
Kero yangu ni kwa watu wa NSSF, nilikuwa nafuatilia mafao yangu ya ukomo wa kazi kwenye statement yangu kuna shilingi 7,000,000 kazini nilikuwa nalipwa 600,000, hivyo NSSF nilikuwa nawekewa 120,000 sasa imefika wakati wa kufatilia nakuja kulipwa Shilingi 198,000.
Sasa hiyo hela mimi naifanyia...
Anonymous (9713)
Thread
kesho
kulipwa
milioni
mwaka
nssf
nyingine
wanajua
yangu
Kuna mambo mengine ya kipumbavu sana.
Nimekua nasoma habari za mmoja wa wanaharakati wa Tanzania kunusurika kutekwa huko nchini Nairobi, na mmoja wa watekaji amekimbia na wengine wamekamatwa.
Nimekua najiuliza hii kidiplomasia imekaaje? Je sio ni kama kitendo Cha uvamizi kwenye nchi husika...
Asalaam Aleykum ndugu zangu wote katika imani,
Kuelekea mfungo mtukufu wa mwezi wa Ramadhan, waislamu wote ninawaomba tukutane humu ili tuelimishane mawili matatu kuhusu mwezi huu.
Lengo kuu ni kuweza kufahamu yale yote aliyotufunza kipenzi chetu mtume Muhammad S.A.W kuhusu mwezi huu.
Vitu...
hizi
kidole
kuelekea
kupambana
kupambana na utekaji
mwezi wa ramadhani
namna
ndoa
nguvu ya sadaka
nyingine
pete
polisi
ramadhan
ramadhani
saumu
uislamu
unafiki
uonevu
uonevu wa polisi
ushahidi
utekaji
utekaji tanzania
watekaji
watu wasiyojulikana
zaidi ya
Mwaka jana nilienda mkoa fulani kumsalimia ndugu yangu, vilevile nilitaka nikapumzike nitulize na akili kidogo.
Nilikutana na mwanaume kwenye huo mkoa akaonyesha nia ya kutaka kuanzisha mahusiano yatakayopelekea ndoa kwa maelezo yake ya awali, sikuwa na huo mzuka wa ndoa ila nilihisi ana nia...
Ndugu zangu natumaini mko salama kabisa ,hongera na poleni kwa kazi zenu za Kila siku .
Napenda wajuzi mnifahamishe inapotokea mtumishi aliyeteuliwa akatolewa na kuweka mwingine unakuta anaambiwa atapangiwa kazi nyingine
Je hiyo kazi nyingine haiwezi kupangwa onsport baada ya mabadiliko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.