nyingi

Dorothy Wanja Nyingi is a Kenyan ichthyologist and recipient of the Ordre des Palmes académiques (Order of Academic Palms) for her work on Fish Biodiversity and Aquatic Ecology. She is the head of the Ichthyology Department at the National Museums of Kenya. She is the author of the first guide to fresh water fish in Kenya, Guide to the Common Freshwater Fishes of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tathmini fupi baada ya tamko la Mzee Kinana kuhusu kero ya Polisi wa Usalama Barabarani

    Ni kama wiki sasa imepita mara baada ya naibu mwenyekiti ccm taifa, Dkt. Abdulahman Kinana, zimeshatokea ajali mbili za magari na kuondoka na roho za watu kadhaa, sababu ni mwendokasi. Tukiangalia kisiasa na kimihemko,traffic police hawana cha maana wanachofanya barabarani zaidi ya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Inonga Baka ujuaji mwingi, mbambamba nyingi kaigharimu Simba

    Huyu jamaa nilijua kuna siku ataigharimu Simba na hilo limetokea leo, kuanzia mwanzo wa mechi niliona namna anavyojiona yeye ndo yeye na alikuwa anafanya makosa ya kiufundi mengi, nilitegemea ataadhibiwa kwa ujinga wake, anapenda kucheza na jukwaa sana badala ya kufanya mambo ya muhimu. Mayele...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Chalinze yaongoza ukusanyaji mapato nchini. Yatia fora pia upelekaji wa fedha nyingi za miradi ya maendeleo

    CHALINZE YAONGOZA UKUSANYAJI MAPATO NCHINI. YATIA FORA PIA UPELEKAJI WA FEDHA NYINGI ZA MIRADI YA MAENDELEO. Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze Mkoani Pwani inayoongozwa na Mbunge Mhe. Ridhiwani Kikwete ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeongoza katika...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani: Kumuota mtu ndotoni mara nyingi ina maana gani? Huyu binti mara nyingi namwona ndotoni

    Za asubuhi wakuu, Story inaanza mwaka jana kuna mdada mtaani kwetu nlimgea kizawadi Kidogo kama gia ya kumtongoza ila Baada ya hapo nlibadilisha mawazo, sikuendeleza mazoea nae, niliahirisha kumtongoza, sasa tangu siku hiyo nikilala namwota, unaweza sema namwota sababu nampenda Sana na...
  5. JamiiForums Tanzania SoC02 Kodi nyingi ndani ya taifa bila malengo maalum ni chanzo cha umaskini

    Utangulizi Taifa letu ni miongoni kati ya nchi zinazo toza kodi kwenye biashara, uwekezaji na ajira. ikiwa na maana ya kwamba ni mpango endelevu utakao saidia kutatua changamoto mbalimbali za wananchi kupitia kwenye elimu, siasa, kilimo, sayansi na teknolojia. Kodi zinafaida na hasara, sheria...
  6. JamiiForums Tanzania Siri imefichuka kumbe Transit Camp waliombwa wafungwe Goli nyingi jana ili 'Kushawishi' Mashabiki wajae 'Watu Day' tarehe 6 August, 2022!!!

    Mimi nilidhani Jezi Mbovu na Kituko FC hii tabia yenu ya Kipuuzi na Kishamba mmeiacha kumbe bado mpo nayo? Na bahati karibia 75% ya Wachezaji wa Transit Camp ambao ni Wajeda ( Wanajeshi ) ni Wanangu ( Marafiki ) hivyo wamenipa Ukweli wote. Kwanza 90% ya Wachezaji wa Kikosi cha Kwanza cha...
  7. JamiiForums Tanzania Nina mpango wa kuwapandisha Meridianbet mahakamani, wamenidhulumu pesa nyingi sana. Mmiliki ambaye ni Waziri jiandae

    Nina mpango wa kuwapandisha meridianbet MAHAKAMANI, mmiliki ambae ni waziri jiandae,naomba ushauri, HABARI WADAU; kwa majina naitwa khadija, mtanzania na mteja wa muda mrefu wa kampuni tajwa hapo juu, kisa kilianza hivi, Mnamo tar 14 mwezi huu wa saba, nilideposit tshs mil 1, uthibitisho wa...
  8. JamiiForums Tanzania Nipo katika wakati mgumu sana. Nimejaribu namna nyingi bado sijapatiwa Ufumbuzi

    Jumamosi nlikuwa na wife tunaenda Bagamoyo kutembea. Tukiwa njiani nilijikuta namsimulia wife habari ya mchepuko wangu ambaye kwa kweli ananisumbua sana kichwa. Amenichanganya sana. Tulikuwa tunazungumza tu mambo ya maisha na wanawake nikamwambia wanawake wa siku hizi pesa mbele. Hawana hata...
  9. JamiiForums Tanzania Hispania: Waziri Edelmira Barreira amechaguliwa kuwa Waziri wa Wizara ya kuhamasisha watu kushiriki tendo la ndoa mara nyingi Zaidi.

    Hahahah! Make hapa kwanza ncheke, basi bwana sijui niseme ni jambo la kushangaza au nikawaida huko Uhispania bwana wameanzisha kampeni ya kuhamasisha watu wafanye tendo la ndoa kardi uwezavyo. Edelmira Barreira ambae amechaguliwa kuwa Waziri wa Wizara ya kuhamasisha watu kushiriki tendo la ndoa...
  10. JamiiForums Tanzania Ambao hawakumtaka kwenye chama chake huenda walimjua vizuri kuliko sisi

    Kuna tetesi nyingi baada ya msiba wa baba, baba wadogo na marafiki wa baba waliweka vikao vya siri. Wakipinga katakata mama asiwe msimamizi wa mirathi. Wakisisitiza uwezo wake ni mdogo kuongoza nyumba kubwa yenye watoto watukutu. Ila wajomba wakongwe walimkingia kifua. Wakiamini kuwa baba...
  11. JamiiForums Tanzania Je, hali ya ofisi nyingi na makampuni mengi kutaka interns na volunteers ni jambo sahihi?

    Siku hizi kumeibuka tabia ya mashirika na makampuni binafsi na ya serikali kupenda ma intern/volunteer/wa kujitolea kwa sana. Je, ni jambo jema? Wengine hawalipwi kabisa, wengine wanalipwa kidogo. Pia wanatoa ahadi hewa za kukupa ujuzi au kukupa mkataba ambao hautaupata bila connection. NB...
  12. JamiiForums Tanzania Zipo sababu nyingi sana za kusema hili taifa ni la ovyo, moja wapo ni michakato ya ajira kupitia Sekretarieti ya Ajira

    Taifa la hovyo na mambo yake ni ya hovyo hovyo tu tena yanafanywa na wanaojiita wasomi uchwara! Hivi mnatangaza ajira bila bajeti au shida nini? Sekretariet ya ajira kwanini watu wanaomba kazi inapota hadi miezi mitatu hawajaitwa hata kufanya usahili? nini maana yake sasa? Hili li taasisi...
  13. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe wachezaji waliosajiliwa pesa nyingi kisha wakaflop

    Mimi naanza na Andriy Shevchenko kutoka Ac Milan kwenda Chelsea. Ulikuwa usajili wa aina yake lakini Sheva akaishia kufeli zake Chelsea. Endelea na wewe, unakumbuka usajili upi?
  14. JamiiForums Tanzania Dawa inapenya mtulie: Mara Hamuwezi kumsajili Aziz Ki, mara zile picha ni feki. Sasa hivi Mnasema oooh mmemsajili kwa Pesa nyingi

    Mara Hamuwezi kumsajili,,Mara Zile Picha ni feki, mara Fyoko Fyoko. Sasa hivi Mnasema oooh mmemsajili Kwa Pesa nyingi, Kwani Pesa zenu au za Shangazi zenu? Kinawauma nini hata tukimsajili bure au kwa Mamilioni?
  15. JamiiForums Tanzania Ndoto zimekuwa na nafasi muhimu katika maisha ya watu. Njoo nikutafsirie ndoto yako

    Usipuuzie ndoto, tafsiri ya ndoto huleta maarifa ya kina kunako ujumbe husika. Ndoto ni jambo la kushangaza ambalo hufanyika na kutokea majira ya usiku na huwa ina maana ya ndani zaidi nyuma ya uzoefu huu wa ulimwengu wa kawaida. Ndoto ni hifadhi ya ujuzi na uzoefu, lakini mara nyingi hupuuzwa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mahusiano na ndoa nyingi zinavunjika sababu wanawake wamesahau kuwa mwanaume ameumbwa kuheshimiwa

    Heshima ya kila namna anahitaji mwanaume. Kuanzia kupikiwa na kuandaliwa chakula mpaka kupewa unyumba. Mwanaume anataka heshima. Sio dharau na kiburi kwa namna yoyote. Ndio maana mahusiano na ndoa nyingi zinavunjika.
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Ummy Mwalimu: Tunafanya mapitio ya vigezo vya polyclinics, nyingi ni vichochoro vya wizi dhidi ya NHIF

    Na Englibert Kayombo WAF – Dar Es Salaam. Serikali imesema haikusudii kufuta Kliniki za Kibingwa (Polyclinics) zilizopo nchini bali inapitia vigezo vya kuwa na Polyclinics ambazo hivi karibuni zimeibuka kliniki nyingi ambazo zimekuwa ni vichochoro vya udanganyifu dhidi ya Mfuko wa Taifa wa...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli bara la Afrika lina rasilimali nyingi?

    Nimesikia watu wakisema bara la Africa Lina utajiri mkubwa wa rasilimali. Cha kushangaza ktk somasoma yangu naona kama hatumo kivile. Kwenye mafuta middle east, Canada, Russia, USA, Venezuela wanatamba. Kwenye gas ni haohao. Madini ya chuma naona china, Iran, Chile, USA wanatamba. Kwenye rare...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Sisi wenye 'Testasterone' nyingi tunaonekana wahuni, mtusamehe bure

    Unakuta mtu anajisifu kuwa yeye hapendi mademu kumbe ana kiwango kidogo cha testasteron mwilini. Sisi wenye kiwango cha juu cha testasteron tunaonekana wahuni kisa tuna michepuko mingi. Mtusamehe sio sisi bali ni hormone zimezidi hatuna jinsi zaidi ya kupeleka moto kwa hawa viumbe. Kama una...
  20. JamiiForums Tanzania Kulipa BIMA kidigital kumeondoa Kanjanja wengi Mitaani. Ofisi nyingi zimefungwa na Mabango yameondolewa

    Wana Jf Tulizoea vijana wengi wakata insurance kusheheni mjini kwa violist vingi vya ujanja ujanja huku wakiwapiga wateja. Vijana na wajanja wa mjini walikuwa wanachukua fedha nyingi za wateja huku ukilipishwa kitu hewa ilimradi tu umepewa stika trafiki asikubuguzi huku waliomba Mungu usipate...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…