nyingi

Dorothy Wanja Nyingi is a Kenyan ichthyologist and recipient of the Ordre des Palmes académiques (Order of Academic Palms) for her work on Fish Biodiversity and Aquatic Ecology. She is the head of the Ichthyology Department at the National Museums of Kenya. She is the author of the first guide to fresh water fish in Kenya, Guide to the Common Freshwater Fishes of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kama Musonda akiingia katika Mfumo na akacheza pamoja na Mayele tarehe 9 April 2023 nitajificha kwa Aibu ya Kufungwa nyingi

    Kuna Watu nawashauri mapema tu kwakuwa nimeshaona hawana Mabeki wa Kuwazuia akina Mayele na Musonda hiyo tarehe 9 April, 2023 basi GENTAMYCINE nawashauri kuanzia leo wakirejea kutoka Kuzurula na kupoteza muda na Pesa kwa Mwarabu wawatafute Waganga wazuri wa Kienyeji wa Kuwazuia Washambuliaji...
  2. JamiiForums Tanzania Chelsea leo wanaanza ligi baada ya Kombe la Dunia, Fulham atakufa nyingi

    Wakali wa London, Chelsea leo wanaanza likizo baada ya likizo ya Kombe la Dunia. Ni mchezo wa derby ya London ya Magharibi, Fulham Vs Chelsea. Baada ya kipindi cha muda mrefu Chelsea kupitia magumu kwa kutokupata matokeo mazuri leo Fulham atakufa goli 3. Wale mashabiki wa timu nyingine...
  3. JamiiForums Tanzania Machimbo mazuri ya kupata bidhaa mbalimbali Kariakoo kwa bei nafuu

    Wapendwa week end inaendaje? Wanasema kizuri kula na mwenzako....na nomeona niwashirikishe fursa hii adimu hasa kwa wale wanaofika kariakoo na kujikuta wanauziwa bei ghali kuliko hata huku mtaani... [emoji117][emoji117][emoji117] SOMA HAPO UKIPENDA SAWA USIPOPENDA PITA KIMYA Ngoja nikupe...
  4. JamiiForums Tanzania Ushauri: Oda za wateja zimezidi mtaji nilionao

    Niende kwenye mada mojakwamoja Nimestack wakuu mimi najishughulisha na kusupply vifaa mbalimbali. Sasa toka mwezi October nilianza kufanya usambazaji wa bidhaa kwa wateja ila hadi kufika mwezi huu oda zimekuwa nyingi kuzidi mtaji na teyari nimepokea oda mpya na nimehadi kupeleka bidhaa kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Je, kwa haya maamuzi tukisema kuwa huenda GSM alikuwa anatafuta vita ya kibiashara na Azam siku nyingi tutakuwa tunakosea?

    GENTAMYCINE sitaki kabisa kuamini kuwa haya maamuzi ninayoyaita ya kipumbavu na kishamba yaliyofanywa na Kiongozi wa Matawi wa Yanga SC Mkoa wa Dar es Salaam ya kuwataka wana Yanga SC wote kususia kununua bidhaa zozote zile za Azam yamefanywa kwa ama bahati mbaya au kwa kukurupuka tu. Ukituliza...
  6. JamiiForums Tanzania Nyuzi za namna hii zimekuwa nyingi mno, kulikoni?

    Hizi nyuzi za namna hii zimekuwa nyingi sana, ni muda mrefu sasa lakini this time imekua too much. je umekutana na nyuzi za namna hii au zinazorandana na hizi za kusifu na kuabudu ujinga? Tanzania yawa nchi ya mfano Africa.....blah... blah.... blah.... Tanzania Yashika Namba 4 Kati ya Nchi 10...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna ukweli juu ya kauli kuwa nchi nyingi za Kiafrika haziendelei kutokana na kuridhishwa na mfumo mbovu wa elimu?

    Kabla ya ujio wa Wazungu barani Afrika,Waafrika walikua na mfumo wao wa elimu kwa vitendo kulingana na mazingira. Elimu kama ya Uvuvi,madawa,kilimo,ufugaji,maadili zilikua zikitolewa na uchumi ulikua ukikua kwa kasi. Ujio wa Wazungu barani Afrika ukasababisha ukoloni na baada ya miaka ya...
  8. JamiiForums Tanzania Sehemu nyingi za starehe Bongo ni za kawaida

    Ukiachana na Haile salasie strip, ambazo kuna Elements, SamakiSamaki na sehemu nyingi zengine za starehe. Clubs kama Maison na Havoc, Tips na wavuvi camp. Sehemu kwengine Most ni average hata Bar iwe nzuri vipi. Kwanza the selection ya music ni ileile, Ma dj wanapiga nyimbo zile zile trendy...
  9. JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa ushindani kunafanya tuwe na huduma nyingi mbovu

    Kwa muda mrefu nimekuwa najiuliza maswali kadhaa, ambayo mengi sikuwahi kuyapitia majibu. Kwa mtazamo wangu, nadhani kukosekana kwa ushindani kwenye sekta kadhaa, kunafanya hata upatikanaji wa huduma hasa za kijamii ziwe mbovu/hafifu. Ushindani ni nyenzo kuu linapokuja swala la huduma bora...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Je, ni wizara gani kubwa inayotengewa hela nyingi?

    Salaam wakuu, Nimekuwa nikijiuliza hili swali kwamba je ni wizara gani ni kubwa kati ya hizi wizara tulizo nazo na ambayo imekuwa ikitengewa pesa nyingi ukilinganisha na zingine? Naomba wajuzi wa mambo mnifahamishe.
  11. JamiiForums Tanzania Akauliza kwani hauna uchungu na nchi yako kupoteza pesa nyingi hivi?

    Jibu: kwani wao hawaibi? Viongozi wetu wakiwa na uchungu sana na hii nchi hata walio chini hawataiba watakuwa wazelendo. Kutwa kiongozi mkubwa ananazunguka kulinda pesa za nchi hii ataweza peke yake bila mfumo imara unawajibisha kila mtu kutii sheria?
  12. JamiiForums Tanzania Mkesha wa VUKA NA CHAKO: Kutoka Uwanja wa Benjamin Mkapa na prophet Boniphace Mwamposa - 16/12/2022

    Bwana Yesu asifiwe? Bila shaka asilimia 70 ya watanzania wamchao Mungu, muda huu wenye tvs watakuwa live kufuatilia kongamano kubwa la VUKA NA CHAKO ikiwa ni maono ya mtumishi Boniphace Mwamposa yenye maudhui ya kuupokea mwaka mpya ukiwa tayari umeshapokea Baraka, uponyaji, Rehema na Mambo...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini biashara nyingi za kibongo mpaka mbembelezane?

    India! Nilienda Kenya tu hapo, nkagundua maduka mengi watakukaribisha ila swala la kununua hakuna kubembelezana kama ilivyo bongo. Kibongobongo wateja wamezoea kubembelezwa, nunua basi, kwani una shingapi? Chukua hii basi. Au jaribu basi ile? Hatujui kuwa trade ni nipe nikupe? Wote...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kuwa na mwandiko mbaya ni ishara ya kuwa na akili nyingi?

    Juzi kuna barua nilipeleka kwa kiongozi fulani ili atie sahihi yake; kiukweli kila nikitizama mwandiko aliutumia hapa, naona ni kama amechafua barua yangu[emoji16] yaani kaandika shagarabagala kama vile mtu anajifunza kuandika kichina! (ningekuwa mwl ningesema huu ni uchafu) ndipo nimekumbuka...
  15. JamiiForums Tanzania Tukiachana na simba kunusurika kushuka ligi kuu mara nyingi, Je Yanga imewahi kumaliza ligi kuu chini ya nafasi ya tatu ?

    Ok, Nadhani kila mtu anajua kwamba Simba tayari wamewahi kumaliza ligi kwa kushika nafasi za chini na hata kunusurika mara nyingi kushuka daraja huku Yanga ikiwaokoa zaidi ya mara moja wasishuke . Kuhusu Yanga hivi imewahi kutokea wamemaliza ligi wakiwa nje ya top three ?
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini nyumba za Chamazi, Mbagala, Chanika zinauzwa sana?

    Kwenye matangazo mengi, mf. Kupatana, Facebook market n.k, utakuta matangazo mengi ya nyumba zinazouzwa zipo Mbagala Chamazi. Ni kwanini? Hii inatia shaka hata kununua nyumba hizo. Kunani Chamanzi?
  17. JamiiForums Tanzania Kampeni nyingi za utunzaji mazingira zimekosa uhalisia

    Kabla hujaenda mbali kusoma huu uzi tazama hiyo picha kisha utuambie kama kinachofanyika hapo kinahamasisha chochote. Ndugu zangu katika mambo ambayo nimeshindwa kabisa kuyaelewa ni hizi kanpeni za kuhusu mazingira ninazoziona kwenye vyombo vya habari. Kwa upande wangu naona nyingi zinafanyika...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Je, ziara nyingi za Rais ni mbinu za Mafisadi?

    Nimesikia habari za ndani kwamba kwa makusudi mafisadi na watu wenye nia mbaya wanataka kumweza Raisi na ratiba zake nje ya ofisi ili asigindue ufisadi unao endelea. Hii ni kuanzia malalamiko ya maandishi, mikataba mibovu na kuhusu majadiliano na upinzani. Kama ni kweli watu wenye nia nzuri...
  19. JamiiForums Tanzania Karibu Bright and Genius Editors upate huduma bora

    BRIGHTING AND GENIUS EDITORS TUNAANDIKA NA KUHARIRI DOCUMENTS ZIFUATAZO: Business Proposal/Plan Katiba za Vikundi Cover Letter na CV/Resume Website Content Barua za Wadhamini Study Plan na Statement of Purpose Personal Statement Mikataba LAKINI PIA TUNAHARIRI DOCUMENTS ZIFUATAZO: 9. Thesis...
  20. JamiiForums Tanzania Watoto wa kike wanapitia changamoto nyingi sana

    Hivi wanaume wenzangu hatuwe kumsaidia mtoto wa kike bila kumuomba mbususu jamani Maana watoto wengi wa kike wakitaka kupata kazi basi watoe mbususu haya atakayekuja kumuoa ataikuta ikiwa na hali gani? Mfano wasanii wa kike wengi wanapitia hayo na sasa tunaona kwa konde boy alichokifanya kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…