nyimbo

  1. Natafuta nyimbo za msanii kipofu

    Wadau msaada wa jina la msanii jina silikumbuki ila ni msanii wa bongo flavor ni wa zamani kidogo Japo sina uhakika ila kuna nyimbo yake moja niliona video akizungumzia kumpenda mschana wa jirani Nawasilisha
  2. Binafsi sisikilizi nyimbo za wasanii wa kiume wanaojifananisha na wanawake, mnaowasikiliza mna moyo

    Mimi msanii wa kiume anayevaa hereni, aliyeweka kipini puani na mwenye tabia ambazo hakupaswa kuwa nazo mwanaume huyo siwezi kutazama video yake, siwezi hata kusikiliza nyimbo zake. Nahisi uchafu na kichefuchefu, ngoja niishie hapa.
  3. 2PAC , sio msanii bora wa wakati wote ila nyimbo yake ya 'DEAR MAMA' ndo nyimbo bora ya HIP HOP ya wakati wote duniani.

    2PAC sio msanii bora Wa wakati wote Ila nyimbo yake ya dear Mama ndo nyimbo kubwa na bora ya wakati wote katika historia ya HIP-HOP Kuwa msanii bora wa wakati wote tunajikita katika Mambo ya ndani na nje, Kama nidhamu, UTU, kujitoa na kuwa positive outcomes kwa jamii.
  4. Mwenye kujua hii nyimbo inaitwaje anisaidie

  5. Mjue video vixen wa nyimbo ya Mapozi

    Video vixen wa mapozi anaitwa Sikujua Mponda. Ni mbantu aliyelowea ulaya. Video vixen wa ‘Mapoz’ anaishi huko Finland. Ni dansa na mmiliki wa shule ya uchezaji huko Helsinki. Ni pisi ya viwango na maisha bora!!
  6. U

    Nyimbo ya Harmonize ft Marekabi ni Nzuri , ila beat bado sana kufika level za Nigeria

    Harmonize ametoa wimbo mkali, lakini bado beat na production za Tanzania hazipo kwenye kiwango sahihi na Wala haziendi na wakati, beat ni ya kizamani na production ni low quality. Harmonize alishindwa Nini kupanda ndege kwenda Kwa producers wa Nigeria amtengenezee kitu kali kama zilivyongoma za...
  7. N

    List ya nyimbo zilizopewa majina mazuri lakini zikaimbwa hovyo hadi kushangaza!

    1. Zanzibar ya Harmonize. Niliposikia tangazo lake la kutoa wimbo wake wenye jina hilo nikajua tunaenda kusikia bonge la wimbo utakaotetemesha si tz tu bali afrika mashariki yote. Matokeo yake hiko kitu kilichotoka ni bora angeupa jina jingine tu. Yaani kibao ni hovyo hata kile cha yule...
  8. Kibongo bongo nyimbo ya Daz Nundaz “Kamanda” ni nyimbo ambayo ukiiskia inaweza kukutoa chozi

    Huu ni ukweli wakuu hii ni nyimbo ambayo hata ukiiskia tu hisia za kulia inakujia hii nyimbo ni nyimbo ambayo haitowahi kutokea kwenye muziki wa bongo flava 🙌🥲 hakuna na haitowahi kutokea nyimbo ya kuhuzunisha kama hii
  9. Diamond na Harmonize kutoa nyimbo zao siku moja

    Siku kadhaa zilizopita msanii "Harmonize" alisema ijumaa hii kwa maana ya kesho anaachia wimbo wake wa "I made it" Na wakati huohuo Diamond usiku wa leo saa sita,ambao kimsingi ni tarehe ya kesho anaachia wimbo mpya alioshirikiana na Mr Blue. Hii ni Habari njema kwa wapenda mziki mzuri, ngoja...
  10. Nyimbo za kwenye vitabu vya siku hizi mbona hatujui zinaimbwaje

    Nimejaribu kufuatilia nimegundua pamoja na maendeleo makubwa ya sasa na njia za mawasiliano kuboreshwa, bado kuna kitu watu wa elimu wameyumba sana. Zamani vitabu viliandikwa vinyimbo nyimbo na takribani kila sehemu uliyokwenda ungekuta watu wanajua toni ya wimbo husika lakini siku hizi...
  11. B

    Naona kama miaka ya 2009- 2013 nyimbo nyingi nzuri sana za mziki zilitungwa kwenye kipindi hicho

    Hi guys nyimbo Kali nyingi zilitungwa kipindi hicho kama vile 1)Dynamite ya taio Cruz 2)International love ya pitbull ft Chris brown 3)Coconut tree ya mohombi 4)Bumpy ride ya mohombi 5)Moves like jagger ya maroon 6)On the floor ya Jenifer Lopez 7)Dj got us fall in love again ya usher...
  12. Tuwakumbuke kwa nyimbo

    Msurprise mtu yeyote kwa jina lake na nyimbo ( dedication ) ajue hisia zako kwake. Anaweza kua mtoto wako, mpenzi wako, adui yako, crush wako na zaidi… Mtaje kwa tag, jina moja au mawili, sehemu alipo, hata kama hayupo JF, huenda akaja kupata ujumbe wake Kutoka kwako. Warning!! zingatia...
  13. Naomba kuwajua Hawa walioimba Gospel track hizi

    Naomba kujua Hawa walioimba hizi nyimbo ni Nani...najua tuu melody zao nime attach nikiwajua ntashukuru
  14. Hii ni Top Ten ya nyimbo zinazopigwa zaidi kwenye mabaa ya Tanzania

    List iko hivi, 1. 100 kilos - Ferre Gola 2. Ya Jean - Madilu 3. MayDay - Fally Ipupa 4. Kwangaru - Harmonize 5. Teacher Konde - Harmonize 6. Tetema - Rayvany 7. Vita Imana - Ferre Gola 8. Mario - Franco 9. Bora niinjoi - Jux & Diamond 10. Associe - Fally
  15. S

    Nimejisikia uchungu sana nyimbo za taifa zilipopigwa wakati mechi kati Kili Stars vs Zanz Heroes inaanza

    Maswali yafuatayo ndiyo yamenitoa machozi. Nimejiuliza kwamba: 1. Kumbe haya ni mataifa 2 tofauti? Kila moja lina katiba yake, wimbo wake, jeshi lake na rais wake? 2. Kwahiyo hivi Sasa Tanganyika inaongozwa na raia wa kigeni?? Hilo swali la 2 ndiyo limeniumiza zaidi.
  16. "Peter Colmore na Masengo na Mimi Bosco" Mwenda Jean Bosco Katika Nyimbo Yake: "Shangwe Mkubwa" (1960)

    PETER COLMORE, MWENDA JEAN BOSCO NA EDUARDO MASSENGO, KENYA 1959 https://youtu.be/1LH7T6hbKto?si=j8ZNHvlOpbzEOdX4 Majina haya matatu: Peter Colmore, Eduardo Masengo na Mwenda Jean Bosco yana sehemu maalum katika maisha yangu. Nilianza kumsikia Mwenda Jean Bosco, Eduardo Masengo kisha Peter...
  17. Watu wengi wana mapepo ya kimyakimya na yenye kelele kwa sababu ya Miziki na nyimbo wanayosikiliza

    Mziki ni ibada. Asilimia 99 kinachofanyika mbinguni ni mziki na kuimba. Asilimia kubwa ya kinachofanyika kwenye ikulu ya ibirisi ni nyimbo na miziki. Kila mziki unaroho nyuma yake. Wanaweza kuwa roho wasafi na roho wachafu. Ndio maana miziki ya ibada ikipigwa kwa utukufu malaika hushuka na pepo...
  18. Uzi Maalumu wa Nyimbo za Injili (Gospel Music Special Thread)

    Bwana Yesu asifiwe! Nimeanzisha huu uzi maalumu na mahususi kwa wapenzi wa nyimbo za injili. Hapa tutakuwa tunabadilishana nyimbo mbalimbali za injili za sasa na zamani. Huenda kuna mtu anautafuta wimbo fulani wa injili bila mafanikio. Basi ataomba wimbo huo hapa jukwaani na atatumiwa na...
  19. M

    Diamond acha kuteka nyimbo za uliowasaini

    Diamond kila anapomsaini msanii kwenye lebo yake halafu akaona mwanamziki ana nyimbo nzuri lazima atataka yeye ndie awe muhusika wa juu/ main character kuliko hata mwenye nyimbo. Kafanya hivyo kwa Hamonize kwenye nyimbo ya lakini bado na kwa ngwaru. Kafanya hivyo kwenye wimbo wa enjoy nk...
  20. Hivi ni haki kweli kupiga nyimbo za ibada kwenye nyumba za kulala wageni?

    Kuna Guest House moja mbali na mtaani kwangu huwa napenda kwenda kufanyia tabia mbaya. Hii Guest ni imetulia sana, hata entrace zake ni rafiki kwa ajili ya wanachama wa ndoa zao Imeibuka tabia mbaya ya kucheza nyimbo za dini pamoja na mahubiri kutoka redioni ama runingani. Msimamizi huyo wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…