nyie

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. figganigga

    JamiiForums Tanzania Mnapozima Internet, Wanaoteseka ni nyie CCM. Watoto wa Kambo tuna VPN🤣

    Nashauri wahusika waache kunajisi Ofisi za Umma. Matumizi mabaya ya madaraka. Yaani kichaa kapewa rungu.. Ofisi za Umma waosimamia Tehama hawana hekima wala utu. Mnakata internet ili wananchi wasojue kinachoendelea. Matokeo wanaoteseka ni CCM wenyewe na Wananchj wasiojua nini I mnafanya...
  2. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Hivi wakuu huu ukata ni mimi nausikilizia pekee yangu au hata nyie mnameza mate yenu wenyewe?

    Yani hata sina cha kuandika wakuu. Najuta kuzaliwa kuja kusaidiana na mateso. ☹️ Aiseee
  3. Leejay49

    JamiiForums Tanzania Hivi nyie wanadamu kwanini hampendi kuona watu wakifurahi eti?

    Good morning,. Yaani utakuta MTU wakati umepatwa na Jambo gumu au tatizo akimweleza anakupa pole anakufariji,. Anakuuliza kwahiyo tunafanyaje jamani mbona Jambo hili sio jepesi maskini,. Mara Ee Mungu wangu tusaidie🥺,. Anakushauri Hadi muanze kusali mfunge na kuombaa Kwa pamoja..... Kila siku...
  4. Isenye

    JamiiForums Tanzania Hivi nyie wenzangu huwa mnawezaje kula viporo?

    Siko hapa kumbeza yeyote, ila kuna kitu mimi binafsi kimenishinda kabisa katika maisha yangu. Huwa naona na kusikia watu wanasifu kiporo cha wali maharage au wali kisamvu na chai ya maziwa eti ni kitamu sana. Mimi binafsi toka nikiwa mdogo chakula chochote kilicholala huwa siwezi kukila,yani...
  5. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Mnao tafuta Hela mnazitoa wapi mbona huku sizioni

    Mnao tafuta Hela mnazitoa wapi mbona huku sizioni Mnafanya nini au mnachapisha pesa
  6. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hivi na nyie wenza zenu ni wambea kama huyu wangu? Haba kaba! Anapenda umbea sana

    Yani usirogwe umpe siri yoyote ile.kesho lazima utaisikia somewhere tu. Nishamuonya na wakati mwingine kumzaba mabao lakini mtu habadiliki. Na nyie mna wenza wambea kama huyu wangu? Note: Umri wake ni miaka 27, but sidhani kama umri vinahusiana na mtu kuwa mbea.
  7. Metronidazole 400mg

    JamiiForums Tanzania PolePole hatoongea chochote cha maana acha niwasanue

    Kama ana uchungu na Tz, ni nini kinamzuia kuongea hapo hapo??.....ni anataka kuogopewa ili kupata maslahi yake binafsi?? Nyie wa tz kina Mshana Jr, mbona akili zenu ndogo sana, yaani mnategemea mtu ambaye anawapa Dola mda wa maamuzi, maamuzi yapi sasa wajinga nyie?? huoni kama anataka atimiziwe...
  8. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Nyie Kama sisi mnatuita "THE GENDER THAT BETRAYED JESUS" na nyie mtaitwa kama ifuatavyo.

    Ili kulinganisha mizani nyie majina yenu ni; Forbidden Fruit Eater Samson Hair cutter John the baptist Head requester Joseph seducer Snake language translator
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nyie Gazeti la 'Habari Leo' mnadhani Haji Manara aliposema kuwa hiyo Klabu wenye Akili ni Wawili tu na waliobakia wote ni Majuha (Fools) alikosea?

    TANGA; YANGA ya Dar es Salaam ni miongoni mwa klabu tatu za Ligi Kuu Tanzania Bara zilizokosa sifa ya kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) unaofanyika Tanga asubuhi hii. - Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya TFF, Wakili Kiomoni Kibamba, aliwaeleza...
  10. Brojust

    JamiiForums Tanzania Nyie wahuni wa KM Mombasa laana inawatafuta. Tushawajua wote ingawa mlivaa musk

    Za Leo, saa nane kasoro mchana napigiwa simu na Mama muuza chakula kwamba amepigwa chakula kimemwagwa na pia wamemtukana mbele ya watoto zake, Baadae kidogo nampigia rafiki yangu jina maarufu "Gwasuma" ananiambia walichukua majivu na kuni wakaweka kwenye sururia la makande ambayo Huwa tunanunua...
  11. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Mungu msiendekeze siasa mtaendelea kuumbuka pale unabii wenu wa kichawi na kilozi unapokwama nyie wapuliza mitungi ya gesi

    Kwasasa nchini Kuna nyumba za ibada ukiingia tu as if umeingia kwa mganga wa jadi unakuta mtumishi wa mungu anasema wakati anasali ameona bango🤣🤣...... stupid! Kumbe siasa zimemjaa mpaka amegeuka kuwa Kama mchawi Sasa. Jueni kuwa wewe mtumishi wa Mungu huna uwezo wa kunibadilisha mm chama...
  12. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Vifo vya Wagombea Urais wa ACT Wazalendo nyie haviwafikirishi?!

    Leo asubuhi nimekumbuka trend ya wagombea urais wa ACT 1. Anna Mgwira RIP 2. Maalimu Seif RIP 3. Benard Membe RIP SItaki kuhusisha vifo na ugombeaji wao ACT lakini najiuliza kwa nini itokee hivi?
  13. D

    JamiiForums Tanzania Kwa nini mnamtumia Mungu kuhalalisha msemacho wakati nyie ndo wadhambi wakubwa

    Bahati mbaya Mungu haonekani face to face mana angemtandika mtu kibao. Hivi mnakumbuka kipindi cha jpm ndo kiliongoza kwa mauaji na kuteka watu na kuwafurusha wapinzani exile kama akina lisu na lema. Msesahau hilo. Mnakumbuka kuwa ndo kipindi wafanyabiashara walifunga maduka kariakoo na...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Haipendezi kwenye mchakato wa Ubunge ni Watu wa Familia za Viongozi

    Humphrey Polepole amesema "Leo kinachoendelea kwenye Uchaguzi wa Chama huko chini...ni kudhihirisha ni namna gani Chama kimedhohofika kwenye kusimamia Misingi, Nidhamu ya Wanachama, Maadili, Rushwa" "Ni Haki kila Mtu kugombea lakini kwenye Chama ambacho tuna Kamkate kadogo ka fursa za Uongozi...
  15. Metronidazole 400mg

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi na mange Kimambi nyie watanzania wajinga mmekubali ni wanaharakati kweli??

    Wako nje ya Tz, mmoja ulaya, mwingine sijui kenya na familia zao zipo Safe. Ni kivipi ww mwanaume mwenye kende mbili ukubali harakati za hawa wavaa pichu, wanaojiita wanaharakati wa mchogo na wanafiki. Kama wanapenda nchi yao,, kwanini wasije huku Bongo na tupigane wote kama wana uchungu wa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Nyie machalii wa Rachuga mnafamu mkoa wenu umepokea TZS3.5Trilioni ila mjue hiyo pesa ni karibu sawa na bajeti nzima ya nchi ya Burundi

    Mkoa wa Arusha umepokea TZS3.5Trilioni pesa ambayo ni karibu sawa na bajeti nzima ya nchi ya Burundi ambayo haizidi TZS5Trilioni. Rais Samia ametoa kiasi cha fedha cha TZS3.5Trilioni ambazo hata hivyo zilitumika ili kutekeleza shughuli mbalimbali za maendeleo kwenye sekta mbalimbali kama...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Nyie Wajasiriamali zaidi ya 1,400 mnakumbuka mlivyopanga biashara zenu chini kabla ya Rais Samia hajatoa TZS27bn za ujenzi wa soko kuu la Mwanza?

    Rais Samia ametumia TZS26,61bn kujenga Soko Kuu Mwanza linalochukua wafanyabiashara 1,400 na maduka 500, maegesho ya magari zaidi ya 190 kwa Pamoja. Madhumuni ya Rais Samia ni kuongeza mapato ya ndani kwa halmashauri pamoja na kuhamasisha shughuli mbalimbali za kibiashara Ukanda Mzima wa ziwa...
  18. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 sikilizeni matokeo ya kikao cha CCM live

    Wale wazushi wa humu JF sikilizeni matokeo ya kikao cha dharura cha CCM Dodoma. CCM ni chama imara zaidi ya jabali hamwezi ht kuitingisha, msiifananishe na hao wenzenu. Sijui baada ya hapa mtakuja na uzushi upi, tunausubiri ila wengine mtawehuka mwaka huu. KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI, OKTOBA...
  19. The ice breaker

    JamiiForums Tanzania Ambae upo interested na kilimo cha bustani.. fursa hii

    Kama kuna mtu yupo interested kufanya kilimo cha bustani , mbogamboga. Nichek DM, tufanye kazi Mashamba yapo Maji yakutosha , mto una flow maji through out the year Pump ya mwagilia ninayo.. Wewe njoo na mpira wake tu Location: Kimara mwisho, karibu na shule ya msingi mavurunza, bonde la...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE nimekuwa nikiyasema tokea Kitambo mkawa mnanipuuza Malaika Mimi. Na bado mtakoma

    Fukuzeni Murtaza Mangungu, Salim Abdallah Mhene 'Try Again', Abbas Mratibu wa Timu, Mtani wangu wa Kihaya Meneja Rweymamu, Mtani wangu wa Kiha na Rafiki yangu Kocha Msaidizi Matola na badilisheni Dereva wa Basi la Simba SC halafu kuanzia sasa achaneni na huyo Mganga wa Kienyeji ambaye ni mwana...
Back
Top Bottom