nyie

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nyie mnao nitumie meseji ya JITOKEZE NASEMA HIVI, "mnikome"

    Nasema live nawachukia nyinyi mnao jiita JITOKEZE tena nasema mnikome tafadhali sana staki mazoea na nyinyi Mnaniambia nijitokeze KUPIGA kura wakatinajua hata mlo Mmoja sijala Nina siku ya NNE, alafu nikayachague majizi ya fedha za UMMA ?
  2. JamiiForums Tanzania Police nyie ni jamaa zetu na ndugu zetu pia. Punguzeni kutumia nguvu kubwa tunajua mpo kazini

    Ndiyo police nyie ni ndugu zetu na wengine ni marafiki zetu na jamaa zetu pia. Tunajua nyie mko kazani lakini punguzeni kutumia nguvu kubwa pasipo na ulazima. Tukio la leo mahakamani sio tukio la kiungwana watanzania bado ni watu ambao wanaelekezeka bila hata kutumia nguvu kubwa. Tutawatia...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Hivi nyie mliofunga Dm zenu ni kwamba ni mastaa sana au vipi ?

    Wakuu habari, Hivi hawa wenzetu wanaofunga Dm zao mnawaelewa kweli ?
  4. JamiiForums Tanzania Hii picha nimeona mtandaoni, nimeona sio mbaya nishare na nyie

    Nchi hii yetu ni masikini sana lakini ina gapu kubwa sana kati ya walichonacho na wasiokuanavyo. Tafadhari wafundisheni watoto wenu kuwa watoto wa vijana wenzenu walio na hali duni sio kwamba baba zao ni wavivu au fikra mbovu, ni basi tu fursa uliopata hakubahatika kuipata. Mfundishe kuwa kuna...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Uingereza Ulaya ni ipi exactly?

    Unaweza kujiuliza Uingereza ipo wapi na inafanya nini, katika huu mgogoro mkubwa wa dunia, mwisho wa siku ukagundua kwamba “power” ya Uingereza ipo Google na magazetini. Wakati Juha anaivamia Ukraine, Rais Macron alikuwa ni kiongozi wa kwanza duniani kulaani uvamizi ule, kusimama na Ukraine na...
  6. JamiiForums Tanzania Sijui kwanini nikiona picha za gen z Kenya huku nikisikiliza ngoma za lucky dube huwa Kuna vibe flani hivi la uzalendo embuu jaribuni na nyie

    Nikiona picha za gen z Kenya halafu mda huo nasikiliza Ngoma za lucky dube huwa Kuna vibe flani hivi la kuingia rodi hiyo tarehe 29 nikikumbuka asili ya mtanzania ni uoga mpaka mtandaoni nachoka
  7. JamiiForums Tanzania Haya nyie ambao Polepole ndio karata yenu ya mwisho vipi kuna matumaini?

    Wapinzani wengi katika nchi hii ni watu waliochanganyikiwa. Ukimuondoa Lissu the Real hero wengine wako tu upinzani kwakuwa hawajui wafanye nini au hawajui wanataka nini. Wengine wako upinzani kwakuwa wamekosa ajira rasmi. Wanadhani kuwa kinyume na serikali kutawaondolea stress. Hizo press za...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wasukuma na waha mna shida gani? Yaani nyie mkizamia Tanga ndiyo hamtaki kurudi kwenu?

    Wasukuma na waha yaani wakija Tanga ndiyo wanazamia mazima hawataki kurudi kwao na kama unataka kugombana nae msukuma au Muha waliokuwa huku Tanga mwambie arudi kwao atakuzingua mpaka ujute kwanini ulimwambia hivyo yaani huku Tanga unaweza kukutana na msukuma au Muha ana miaka zaidi ya 30,20 au...
  9. JamiiForums Tanzania Hii ndio ilikuwa original bongoflava, vijana waliumiza kichwa sana but all for nothing

    Maudhui yalikuwa bongo flava ila kila mmoja alikuja na style yake kupelekea wawe authentic na kitu walichotoa na sisi wapokeaji tulipata vitu quality ambavyo hadi hatutakaa kusahau. WIMBO UNAUKUMBUKA SANA? https://youtu.be/i-qPIcfoOwA?si=-mI_dTpLqlR3WXvA...
  10. JamiiForums Tanzania Tafadhali nyie Walumbi na Washititi wa Lugha ya Kiswahili haya Maneno Mawili ya Kimsamiati mapya ya Lugha ya Kiswahili yana maana gani?

    1. Kuvumbula, Kuvumbulwa na Kuvumbulana 2. Kipochi Manyoya
  11. JamiiForums Tanzania Yani Mtu akazaliwa akaitwa Yeshua mwana wa yosef aliezaliwa na miriam, nyie baada ya karne kazaa mkasema aitwe issa, 😂😂

    Mi nafikiri kama alivyosema solomoni kila kitu chini ya anga ni ubatili alikuwa sahihi.
  12. JamiiForums Tanzania Haya tufanye pesa zinachotwa kama anavyowaongopea Polepole na Mange Kimambi. Nyie mnasemaje? Mna la kufanya?

    Nikiwaita wajinga mnakasirika. Kutwa kutwa mnakesha kufuatilia habari za uzushi kutoka kwa Mange Kimambi na Polepole ambao wao pia ni wana CCM ambao mfumo umewakaanga. Polepole ana madudu mengi sana. Kesho nitayaanika hapa. Mange baada ya kukosa Ubunge ndipo kaja na utetezi uchwara. JPM alimpa...
  13. JamiiForums Tanzania Mnapozima Internet, Wanaoteseka ni nyie CCM. Watoto wa Kambo tuna VPN🤣

    Nashauri wahusika waache kunajisi Ofisi za Umma. Matumizi mabaya ya madaraka. Yaani kichaa kapewa rungu.. Ofisi za Umma waosimamia Tehama hawana hekima wala utu. Mnakata internet ili wananchi wasojue kinachoendelea. Matokeo wanaoteseka ni CCM wenyewe na Wananchj wasiojua nini I mnafanya...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi wakuu huu ukata ni mimi nausikilizia pekee yangu au hata nyie mnameza mate yenu wenyewe?

    Yani hata sina cha kuandika wakuu. Najuta kuzaliwa kuja kusaidiana na mateso. ☹️ Aiseee
  15. JamiiForums Tanzania Hivi nyie wanadamu kwanini hampendi kuona watu wakifurahi eti?

    Good morning,. Yaani utakuta MTU wakati umepatwa na Jambo gumu au tatizo akimweleza anakupa pole anakufariji,. Anakuuliza kwahiyo tunafanyaje jamani mbona Jambo hili sio jepesi maskini,. Mara Ee Mungu wangu tusaidie🥺,. Anakushauri Hadi muanze kusali mfunge na kuombaa Kwa pamoja..... Kila siku...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi nyie wenzangu huwa mnawezaje kula viporo?

    Siko hapa kumbeza yeyote, ila kuna kitu mimi binafsi kimenishinda kabisa katika maisha yangu. Huwa naona na kusikia watu wanasifu kiporo cha wali maharage au wali kisamvu na chai ya maziwa eti ni kitamu sana. Mimi binafsi toka nikiwa mdogo chakula chochote kilicholala huwa siwezi kukila,yani...
  17. JamiiForums Tanzania Mnao tafuta Hela mnazitoa wapi mbona huku sizioni

    Mnao tafuta Hela mnazitoa wapi mbona huku sizioni Mnafanya nini au mnachapisha pesa
  18. JamiiForums Tanzania Hivi na nyie wenza zenu ni wambea kama huyu wangu? Haba kaba! Anapenda umbea sana

    Yani usirogwe umpe siri yoyote ile.kesho lazima utaisikia somewhere tu. Nishamuonya na wakati mwingine kumzaba mabao lakini mtu habadiliki. Na nyie mna wenza wambea kama huyu wangu? Note: Umri wake ni miaka 27, but sidhani kama umri vinahusiana na mtu kuwa mbea.
  19. JamiiForums Tanzania PolePole hatoongea chochote cha maana acha niwasanue

    Kama ana uchungu na Tz, ni nini kinamzuia kuongea hapo hapo??.....ni anataka kuogopewa ili kupata maslahi yake binafsi?? Nyie wa tz kina Mshana Jr, mbona akili zenu ndogo sana, yaani mnategemea mtu ambaye anawapa Dola mda wa maamuzi, maamuzi yapi sasa wajinga nyie?? huoni kama anataka atimiziwe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…