nyerere

  1. JamiiForums Tanzania MOHAMED SAID: Alifungwa enzi za Nyerere, asamehewa na Rais Samia-2

    Pamoja na imani yake kuongezeka Mohamed alikuwa amekata tamaa ya kuishi, hivyo wakati wote akiwa gerezani hakutaka kujifunza ujuzi wowote akiamini hatoweza kuutumia kwa sababu kilicho mbele yake ni kunyongwa hadi kufa. Hilo likamfanya ajikite kwenye shughuli anazopangiwa kila siku, lakini si...
  2. JamiiForums Tanzania Nyerere alitunukiwa na Mwinyi medali ya dhahabu kwa jitihada za uhifadhi

  3. JamiiForums Tanzania Mohamed Said alifungwa wakati wa Nyerere, asamehewa wakati wa Rais Samia

    Usiku wa Februari 24 mwaka 1982 utabaki kwenye kumbukumbu ya kudumu kichwani kwa Mohamed Said (70) kutokana na tukio kubwa lililomkuta siku hiyo na kumfanya akae gerezani kwa miaka 40. Kama angejua kinachokwenda kumtokea siku hiyo huenda angebadilisha mwelekeo, lakini kwa kuwa hakutambua...
  4. JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere akipokelewa na Bi. Indira Ghandi nchini India

  5. JamiiForums Tanzania Mradi wa Bwawa la Nyerere tulijilisha upepo au ndiyo mwendelezo wa siasa chafu za kibepari?

    Wazungu husema hivi "Once is an accident, Twice is a Coincidence, but Thrice is a Pattern". Hapa namaanisha nini, duniani kote ambako miradi ya namna hii yenye lengo la kuwakwamua wananchi kwenye lindi la umasikini lazima kuwepo na malalamiko. Tena nimefuatilia kwa umakini na kufahamu kwamba...
  6. JamiiForums Tanzania Naomba kujua kwanini Mwl. Nyerere hakuwahi kuvaa sare ya CCM?

    Usije unapumua na kuhema juu juu kama una ushahidi wa picha ya Mwl aliyokua amevaa sare ya CCM tafadhali share, kama hakuna ni kwa nini aikua havai?
  7. JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole: Mambo ya machifu hayana msaada kwa taifa, yanaweza kuleta ukabila na mgawanyiko, yanapaswa kupingwa

    Humphrey Polepole amesema kuwa "Mambo ya Machifu yanatusaidia nini kama taifa?nasema jambo hili sio jema,naliona linadhoofisha Utanzania wetu,likiendelea bila kukemewa litaibua tuliyoyazika ya hisia za ukabila, usisi na uwao, Mwalimu Nyerere aliona mbali kukataa haya mambo kwani yataligawa...
  8. JamiiForums Tanzania Nini chanzo cha Nyerere kugombana na Tuntemeke Sanga?

    Kwanini wawili hawa walipashana kiasi cha Tuntemeke kuwekwa kizuizini kijijini kwao? Nini hasa ilikuwa sababu ya ugomvi wao?
  9. JamiiForums Tanzania Mkopo alioutoa Madaraka Nyerere wamuhamisha mtu nchi

    WATANI ZANGU Mwaka 2020 nilijitokeza kuweka nia kugombea ubunge kwenye jimbo la uchaguzi la Butiama kupitia Chama cha Mapinduzi. Sikufanikiwa: niliambulia kura mbili za wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Wilaya. Wakati wa mchakato, mtani wangu mmoja aliniomba nimkopeshe Sh.50,000. Nilimwambia...
  10. JamiiForums Tanzania Issa Shivji: Ufutaji wa Uchifu Kisheria, ulitusaidia sana kujenga umoja wa kitaifa

    Kwani uchifu ni utamaduni wetu? Makabila mengi hawakuwa na wachifu. Waliwekwa na wakoloni kwa maslahi yao (km Wazanaki). Uchifu ulipigwa marufuku na sheria mnamo 1962. Machifu waliyokuwepo (km Adam Sapi, Fundikira, Kunambi nk) waliingizwa Serikalini katika nyadhifa mbalimbali. Ufutaji wa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwl Nyerere hakuweka ukweli hadharani juu ya kifo cha Kassim Hanga? Mbona CCM huwa hawataki ukweli kuhusu mauaji ya Kassim Hanga kuwa wazi?

    Nipo mahala hapa kijiweni nafuatilia story kibao juu ya masuala yanayohusu matukio kibao yaliyotokea baada ya mapinduzi ya Zanzibar. Kuna mzee anasimulia hapa juu ya watu kibao kuuliwa baada ya mapinduzi kutokea. Anadai kuwa aliyekuwa Waziri Mkuu wa Zanzibar Kassim Hanga aliuliwa na mpaka leo...
  12. JamiiForums Tanzania TANZIA Rubani wa Ndege iliyotekwa 1982 kushinikiza Nyerere ajiuzulu afariki dunia

    Rubani wa Ndege iliyotekwa mwaka 1982 na vijana waliokuwa wakishinikiza Mwalimu Nyerere ajiuzulu, amefariki dunia. Capt Deo Mazula alifariki tarehe 6 Januari 2022 na Kesho (Januari 11, 2022) anatarajiwa kuzikiwa jijini Arusha katika Makaburi ya Njiro. Unaweza kusoma kuhusu kisa cha kutekwa kwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia huenda akatawala kwa muda mrefu kama Nyerere

    Mwalimu Nyerere alitawala kwa miaka 24 (1961-1985). Kwa mujibu wa katiba ya sasa iwapo rais Samia atatawala kwa katiba ya sasa bila kuibadili, anaweza kutawala kwa muda wa miaka 9, Lakini akileta katiba mpya kabla ya mwaka 2030, maana yake ataanza upyaaa kwa katiba mpya, na hatofungwa na...
  14. JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere kwanini alimwambia Mzee Mwinyi maneno haya?

    Habari zenu ndugu zang, ama baada ya salam ningependa kuwaombea heri ya mwaka mpya. Ndugu watanzania wenzangu, historia yetu inatuambia kuwa baba wa Taifa mwl J.K. Nyerere aliiongoza nchi yetu kwa takriban miaka 20 na ushee. Katika uongozi wake wa kipindi cha miaka tajwa hapo juu, mwl Nyerere...
  15. JamiiForums Tanzania Viongozi wetu wanapofanya makosa ya wazi waishie tu kuomba msamaha kisha 'life as usual', au tujenge utamaduni wa kuwajibika kama enzi za Nyerere?

    Wanabodi, Kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", ambazo huwa na swali, kisha hoja, halafu jibu utajibu wewe msomaji. Naomba kuanza kwa Declaration of Interest. Kwa vile mimi ni mmoja wa waandishi wa habari, tuliwahi kuitwa mbele ya Kamati ya Bunge na kusulubiwa...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Hatuwezi kurudisha utaratibu wa Mwl Nyerere na Karume?

    Hivi hatuwezi kurejesha utaratibu wa Mwl Nyerere na Abeid Karume kuhusu mfumo wa muungano ambapo Rais wa Znz ndiyo lazima anakuwa Makamu wa Rais wa JMT? Rais wa JMT akitoka Znz basi Makamu wake ndiyo atafutwe kutoka Bara. Mfumo wa Makamu wawili (wa Kwanza na wa Pili ungerejeshwa). Hivi sasa...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nyerere na Tanzania vinaenziwa Marekani kwa namna ya kipekee

    Kiswahili ni Tanzania kama ilivyo Ujamaa, Tanzania inajivunia Nyerere daima kwa kufanya Tanzania kuwa na influence kubwa ulimwenguni Tafiti zinaonekana kwamba Tanzania ndio taifa lenye ushawishi mkubwa wa kitamaduni duniani kutokea Africa Tanzania to the world 🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩 Hope this is the next...
  18. JamiiForums Tanzania Kwangu mimi hiyo ndiyo hotuba ya maana kuliko zote zilizopata kuhutubiwa na Hayati mzee Nyerere

    Mzee Nyerere alijaaliwa hekima na busara za pekee mno na mwenyezi Mungu. Ukiisikiliza hotuba hiyo hapo juu kwa mfano ni wazi unaona u Walimu wake kwenye muktadha wa kuonya,kuelekeza na kutabiri yawayo huko mbele ya safari. Mengi kama si yote aliyopata kutuasa mzee wetu yule yalitimia ama...
  19. JamiiForums Tanzania Yeriko Nyerere usihamishie hasira zako kwa Zitto Kabwe, muacheni Mwami atufundishe siasa

    Wadau wiki hii nimesoma mabandiko mengi ya ndugu zangu wa ufipa .,naona hasira zao wameamua kuzimalizia kwa ndugu zitto.,nilianza kumsoma na kumsikiliza tundu lissu alivyokurupuka Kama kawaida yake. Nakumparamia mwana mwema zitto kabwe kwamba eti hawakumtuma.mtu akifariki wanaoenda kumzika...
  20. JamiiForums Tanzania Nyerere NP - Park fees bei juu kuliko serengeti na Ngorongoro

    Huwa najiuliza
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…