nyerere day

Public holidays in Tanzania are in accordance with the Public Holidays Ordinance (Amended) Act, 1966 and are observed throughout the nation.

View More On Wikipedia.org
  1. Jaji Mfawidhi

    Nyerere day 13-4- na siyo 14-10-? Je, ikumbuke siku ya kufa au kuzaliwa?

    Happy birthday Mwalimu Nyerere #Tanzania We will appreciate your contribution to the building of the Nation and Africa Miaka 102 iliyopita alizaliwa Julius Kambarage Nyerere! Leo ndo ilitakiwa iwe #NyerereDay Archive: Siku ya leo ndio ingefaa kuwa Nyerere Day au ile ya Mwezi wa kumi? Je, siku...
  2. SYLLOGIST!

    Echo of Ujamaa: Unravelling Nyerere's Legacy Amidst Silence

    Straight to the point There has been several claims laid out in many posts and threads herein, claiming "Many people died" During the resettlement of citizens- "Walikufa raia wengi sana wakati wa Vijiji vya Ujamaa" Did many people die Under Ujamaa? Despite claims, where is the concrete...
  3. S

    Tuifute Nyerere day ili nchi ipate mabadiliko ya kweli ya kiuchumi na kisiasa

    Nyerere alifanya jambo moja tu zuri ktk taifa hili, nalo ni kuondoa ukabila na ukanda, hivyo kuwafanya watanzania kuwa wamoja. Lakini mengine yote alikosea. Hivyo kuendelea kumuenzi mwalimu Nyerere ni sawa na kusema tuendelee kuyakumbatia mabaya yake yote. Ambayo ni:- 1. Muungano. Lengo...
  4. JanguKamaJangu

    Vijana wa Rorya wamuenzi Baba wa Taifa kwa kushiriki katika Bonanza la Nyerere Day

    Katika kuenzi miaka 24 ya kifo cha baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Mkuu wa Wilaya ya Rorya, Juma Chikoka ameandaa bonanza la michezo mbalimbali kwa vijana wilayani hapo. DC Chikoka anasema kuwa lengo la bonanza hilo ni kuendeleza kutoa elimu na mwamko kwa vijana kukumbuka...
  5. Mohamed Said

    Nyerere Day na Hamza Kassongo 2021

    https://youtu.be/bQlNnpWluCE
  6. Teko Modise

    Robertinho hawezi kufika Nyerere Day kama kocha wa Simba kwa aina hii ya soka

    Kitakachomfanya asifike ni yafuatayo; 1. Kulazimisha Chama na Saidoo kucheza pamoja 2. Kumpanga Saidoo kwa dakika 90 huku akiwa hana uwezo huo kwa umri wake 3. Kumpanga mara kwa mara Kibu ambaye hana utulivu kabisa 4. Kucheza soka butua butua ambalo sio utamaduni wa Simba Sports
  7. Mohamed Said

    Nyerere DAY 2022: Picha adimu

    NYERERE DAY 2022: MWANZO WA HARAKATI ZA KUDAI UHURU - UCHAGUZI WA TAA 1953 (NYONGEZA YA PICHA) Katika video iliyotangulia kipindi cha Zumari watu wengi wamevutiwa na historia ya uchaguzi wa TAA wa 1953 katika ya Abdul Sykes na Julius Nyerere. Maswali yamekuwa mengi kwangu kuwa imekuwaje miaka...
  8. Mohamed Said

    Nyerere Day 2022: Nyumba ya Bi. Mwamtoro bint Chuma Mtaa wa New Street na Kariakoo

    NYUMBA ALIYOJENGA NA ALIYOISHI MWALIMU MTAA WA IFUNDA MAGOMENI 1958 Tulipomaliza mahojinao yetu nje ya nyumba ya Bi. Mwamtoro bint Chuma nyumba ambayo iko nyuma ya Ofisi Ndogo ya CCM tukaelekea Magomeni Mtaa wa Ifunda kwenye nyumba aliyojenga Mwalimu mwaka wa 1958 na akaishi pale kwa kipindi...
  9. Mohamed Said

    Nyerere Day 2022: Mwalimu na Edouard Masengo 1958

    NYERERE DAY 2022: EDOUARD MASSENGO ALIPOKUTANA NA JULIUS KAMBARAGE NYERERE Jioni hii rafiki yangu moja kutoka Ulaya kanipitia kunijua hali na kaniletea CD ya muziki wa Edouard Masengo na Mwenda Jean Bosco. Ikawa kanikumbusha kuwa Masengo alipata kuja Dar es Salaam wakati akiwa katika kilele...
  10. Abdul Nondo

    Siku ya kumbukumbu ya Nyerere isifungamanishwe na siku ya Mwenge

    Ushauri wangu kwa viongozi wa serikali na mamlaka ya serikali walione hili. Mimi najiuliza kwanini sherehe za kilele cha Mbio za Mwenge wa uhuru zifungamanishwe na siku ya kumbukumbu ya Baba wa Taifa tar 14 Oktoba? Mimi nashauri hizi siku zitenganishwe sababu sherehe ya mwenge...
  11. Mohamed Said

    Nyerere Day: Julius Nyerere, Dossa Aziz na Ujenzi wa Chuo Kikuu Cha Dar-es-Salaam 1958

    NYERERE DAY: MWALIMU NYERERE NA DOSSA AZIZ WALIPOKUBALIANA KUJENGA CHUO KIKUU WAKIWA WAMEEGESHA GARI MLIMANI Viongozi wa TANU walikuwa na kawaida wakimaliza mkutano wa hadhara Mnazi Mmoja watakatiza barabara kwa miguu kuja Princess Hotel wakafanya tathmini ya mkutano, kula chakula na kunywa...
  12. Mohamed Said

    Nyerere Day StBongo TV

    Nyerere Day STBONGO TV STARTIMES NYERERE DAY 2022 KEVIN LAMECK NA MOHAMED SAID Kipindi kitarushwa saa tatu kamili asubuhi leo na marudio ni saa nne kamili usiku.
  13. Mohamed Said

    Stbongo Tv Nyerere Day 2022

    BONGO TV NA NYERERE DAY Kevin Lameck wa Bongo TV leo asubuhi alinitembelea nyumbani kwa nia ya kufanya kipindi cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwa ajili ya Nyerere Day kesho. Bwana Kevin kanirushia maswali mazito moja akitaka kujua kama historia ya Mwalimu imekamilka...
Back
Top Bottom