nyerere day

Public holidays in Tanzania are in accordance with the Public Holidays Ordinance (Amended) Act, 1966 and are observed throughout the nation.

View More On Wikipedia.org
  1. Mohamed Said

    Nyerere Day: Kutoka Ukumbi wa Arnautoglo 1963 hadi Ukumbi wa Diamond 1985

    NYERERE DAY KUTOKA UKUMBI WA ARNAUTOGLO 1953 HADI UKUMBI WA DIAMOND JUBILEE 1985 Julius Kambarage Nyerere aliunyanyua mguu wake kuanza safari ya uongozi wa Tanganyika tarehe 17 April 1953 katika uchaguzi wa kugombea urais TAA. Julius Nyerere sasa akijulikana kama Baba wa Taifa aliliaga taifa...
  2. Mohamed Said

    Nyerere Day Baba Kabwela UNO 1955

    NYERERE DAY BABA KABWELA UNO 1955 Mwisho wa kipindi cha Aridhio TBC 1 kuanzia leo hadi Nyerere Day yenyewe wataweka kipindi kifupi kutoka mahojiano niliyofanya na Mtangazaji Safina Yasin.
  3. K

    Kumbukumbu ya miaka 16 tangu kifo cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    Ikiwa leo ni siku tunakumbuka kifo cha Baba wa Taifa hili hatuna budi kumuenzi kwa kuyafuata yale aliyokuwa akiyapigania 1. Kupambana na Rushwa na Ufisadi (Uhusani kwenye uchaguzi tuwakatae MAFISADI) 2. Tupige vita UDINI (Hususani kwenye UCHAGUZI, Kiongozi mwenye nasba na Udini tumkatae) 3...
Back
Top Bottom