nyerere

  1. S

    Yericko Nyerere atikisa Afrika, Ashinda Tuzo ya Mwandishi Bora wa Vitabu Afrika

    Usiku wa Machi 07.2026 katika jijini la Kigali nchini Rwanda, Mtanzania Yericko Nyerere ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya uandishi bora wa vitabu Barani Afrika, tuzo inayotolewa na 'Shining Stars Africa Awards' Yericko ambaye pia ni kada wa CHAUMMA alishinda kwa kura 7584 sawa na 53% alikuwa...
  2. Dalton elijah

    Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula amjibu Yericko Nyerere

    ASKOFU HAKATISHWI TAMAA KWA UWONGO! Wiki chache zilizopita, aliyekuwa mgombea wa Ubunge katika Jimbo la Kigamboni kupitia tiketi ya CHAUMMA...
  3. A

    KERO Askari wa Hifadhi ya Taifa, Nyerere tuna UGUMU WA MAISHA na tunadai posho

    Habari; Mimi ni askari wa hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) ninayefanya kazi katika hifadhi ya Taifa Nyerere. Kwa kipindi kilefu askari wa hifadhi tumekuwa tukipitia ugumu wa maisha kutokana na kadhaa kama ifuatavyo I) kutokulipwa staiki zetu Kwa Wakati, lakin pia Malipo ya staiki mbali...
  4. N

    JamiiAI: Uwezo kwenye Utambuzi wa Picha ya baba wa taifa (nyerere)

    JamiiAI imeonesha kiwango cha juu cha usahihi, kasi, na uthabiti wa kimfumo katika utambuzi wa picha na uchambuzi wa historia ya taarifa, kama inavyothibitishwa na vielelezo (screenshots) vya mafanikio yake ya kiutendaji. Mfumo huu umefanikiwa kuchanganua taswira kwa undani mkubwa, kubaini...
  5. Mohamed Said

    Historia ya Mwalimu Nyerere na Soko la Kariakoo Lazima Ihifadhiwe

    Usiku ndiyo pana utulivu wa kufanya kazi.
  6. JanguKamaJangu

    Stephen Wasira amtembelea na kumjulia hali Mama Maria Nyerere, mke wa Hayati Baba wa Taifa, Februari 18, 2026

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (Bara) Ndg. Stephen Wasira, amemtembelea na kumjulia hali Mama Maria Nyerere, mke wa Hayati Baba wa Taifa na Rais wa kwanza wa Tanzania Mwalimu Julius Kambarage Nyerere nyumbani kwake Msasani jijini Dar es Salaam leo Februari 18, 2026.
  7. Mohamed Said

    Shariff Abdallah Attas na Mwalimu Julius Nyerere Sokoni Kariakoo

    https://youtu.be/XfpiwoY773Q?si=AatqVE4wrUgwhP7w
  8. Mohamed Said

    Jiwe la Kumbukumbu la Nyumba Aliyolala Mwalimu Nyerere Ujiji 1954 Wakati wa Kupigania Uhuru wa Tanganyika

    https://youtu.be/zZS4uioW6_g
  9. kavulata

    Kila aliyegombana na Nyerere alikuwa na usaidizi wa wazungu

    Wazungu hawakuanza leo kuzitaka rasilimali zetu. Wakati wa kutafuta uhuru kuna watu wetu walitumiwa na wakoloni kuzuia tusipate uhuru. Hata baada ya kupata uhuru kuna watu walitumiwa na wakoloni kupora uhuru na rasilimali zetu. Watu hawa wanaona viongozi wanakosea kwenye kila kitu, eti wao kwa...
  10. K

    Nyerere angewasikiliza Mtei na Kambona uchumi wa Tanzania ungekuwa mkubwa sana

    Nyere alishidwa sehemu moja tu kwenye uchumi. Wakati wa nyerere Tanzania ilikuwa masikini na hakufanikiwa kuja na suluhu ya maana. Sera na maazimio yake hayakufanikiwa ndiyo maana hadi leo Kenya nchi ndogo zaidi imetuzidi uchumi. Kuna watu wawili ambao angewasikiliza tusingekuwa hapa Edwin...
  11. britanicca

    Nyerere alikuwa Dikteta makini sana, waliofuata ni washamba labda kwa mbaaali Mkapa

    Jumapili ni tulivu! Pamoja na kwamba Tuna PM wa mchongo, na wakati huo Namba moja na Namba mbili hawapatani wanaogopa kutiliana sumu tuangalie hapa chini Haina ubishi wote mliokuwapo wakati wa Nyerere alikuwa dictator Lakin mwenye akili natoa mifano michache tu 1. Mzee mtei aliachana naye kwa...
  12. NostradamusEstrademe

    Wazee waliomsaidia Nyerere kuleta Uhuru

    Kama kichwa cha habari kilivo hapo mnaweza kumtambua nani na nani mimi nimemtambua Nyerere na Mzee Mshumi Kyate. Huyu mzee Kyate alikuwa mvuvi ndio alikuwa ana jukumu la kulisha familia ya Nyerere mboga kipindi alivyoamua kuacha kazi shule ya Pugu. Kuna siku moja alikutana na Nyerere pale Fire...
  13. Lycaon pictus

    Mwalimu Nyerere hakuona kazi kujiuzulu

    1. Mwaka 1955 alijiuzulu ualimu Pugu sekondari baada ya kuambiwa achague siasa au ualimu 2. Kama mwaka 1958 hivi alijiuzulu ubunge baada ya kuona hamna anachofanya, mapendekezo yake yote yanatupiliwa mbali. 3. Mwaka 1962 alijiuzulu uwaziri mkuu 4. Akamaliza na kujiuzulu/kung'atuka urais. Au...
  14. Pakome

    Nyerere hakutaka jambo lolote aliloanzisha libadilishwe, Rais aliyetaka kubadilisha alijiingiza kwenye matatizo makubwa

    Ni vigumu sana kuzungumzia Chama Cha Mapinduzi pasipo kumhusisha Mwl Nyerere Hii ni kwasababu Chama Cha Mapinduzi kinaishi kwa kufuata misingi ya Mwl Nyerere Mambo yote aliyoanzisha Mwl Nyerere hakutaka kuona yakibadilishwa Raisi yeyote yule aliyemfuata na akajaribu kubadilisha basi alijikuta...
  15. Allen Kilewella

    Watajeni wote waliotekwa au kuuawa Enzi Nyerere akiwa Rais

    Mara kadhaa nimekuwa nikisikia baadhi ya watu wakisema kuwa enzi za Mwalimu Nyerere akiwa Rais watu "wengi" Sana waliuawa au kupotezwa. Sasa kabla ya waliofanya kazi na Nyerere wote kufa, ni Bora watu wanaowafahamu waliouawa zama Julius Nyerere alipokuwa Rais wa nchi yetu, wawataje watu hao...
  16. Mohamed Said

    Abdallah Omari Likonda Anaeleza Historia ya Duka la Mafuta ya Taa la Mama Maria Nyerere na Joseph Kiboko Nyerere 1950s

    https://youtu.be/rnnegB5L8I0
  17. M

    Kero na ubaya wa Muungano, lawama apewe Mwl Nyerere.

    Tatizo na sababu za kuutaka muungano, ilianzia kwenye maasi ya jeshi wakati huo 19/1/1964. Jeshi liliasi, na Nyerere akijificha kigamboni kunusuru maisha yake. Miezi mitatu tu baadae akamshawishi hayati Karume Rais wa Zanzibar wakati huo, waunganishe nchi. Nyerere aliona atakuwa salama kama...
  18. R

    Taasisi ya Mwalimu Nyerere inayoongozwa na Mzee Butiku inapoteza hadhi yake!

    Hii Taasisi inakwenda kupoteza hadhi yake. Inaongozwa na chawa kachara. Matamshi yake ya juzi yanaivua nguo taasisi acha yeye mwenyewe anakuwa "takataka"! Kupoteza heshima yake kubwa aliyoijenga for decades! Haongelei matatizo makubwa ya utawala wa Samia, mauaji ya watu on 29, na mengine...
  19. Kipenzi Changu

    Mwalimu Nyerere anatupa taabu sana kuirudisha Tanganyika yetu

    Mtu makini na mwenye maono asingeweza kuiua Tanganyika kwa kufukia fukia mambo kwa koti la muungano. Kwenye muungano Nyerere alichemka big time, matokeo yake anatupa taabu vijana kuurudisha muungano wetu. Hata waliopo kwenye madaraka tukiwahoji hawana cha maana cha kujibu zaidi wanatupia mpira...
  20. K

    Mwananchi: Gen Z subirini tufe kwanza ndo muiwashe Tanzania moto, tusikubali kudanganywa na mabeberu, vijana fanyeni kazi

    Wakuu, Huyu Mzee anawasha moto kwa Gen Z, hii kauli ya kusema tunashawishiwa na mabeberu wanaikamia sana Hivi ni kweli vijana hatujui tunataka nini? Nani alisema tunataka kuiwasha moto Tanzania na si kuijenga kutoka kwa mafedhuli tena wazawa wa nchi hii Kama ni kazi tunafanya na ndo hii ya...
Back
Top Bottom