Haki za wanawake: Dunia inafanya majaribio (pilot study) kuhusu wanawake (women empowerment) kushika nafasi kubwa duniani. Dunia nzima inawaona chadema (wanaume) kama vile wanachukua advantage kwa Rais kuwa mwanamke wakidhani kuwa wanawake ni dhaifu kuliko wanaume. Walitumia watu dhaifu sana...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Pwani, Boniface Jacob maarufu kama Boni Yai, amesema kuwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe, ana haki ya kuchagua kupumzika kwenye siasa, lakini si sahihi kwake kubaki kimya kuhusu masuala makubwa ya...
Ni kipindi kigumu na kibaya kwa wasanii wa Tanganyika.. Hawasikiki tena na kazi zao haziuziki wala kushabikiwa tena.
Hata zile drama zao zilizokuwa zinawapa viewers na kiki kwasasa zinaonekana ni upuuzi mtupu
Hakuna trendings tena mitandaoni
Hakuna 'new subscribers'
Hakuna interviews tena...
Tumepoteza wengi waliohusika na wasiohusika 29/10/25.
Ni kisa kimoja kwa dogo mmoja tunayemfahamu baada ya vurugu kuanza yeye alikuwa anafanya kazi kariakoo. Wakaambiwa wafunge maduka, kweli akatekeleza hilo shida akaanza kuangaika kupata usafiri kurudi nyumbani
Kwa bahati mbaya hakuweza...
Leo hii wachungaji, manabii, maaskofu wengine mapadri wanatekwa na wengine wamefanikiwa kukimbia nchi...
Makanisa yamefungwa baadhi, haya naskia hata kwenye Ibada wametumwa watu waovu ndio hao mnawaita wasiojulikana kwenda kusikiliza mahubiri ili kusudi kama ni kukosoa ama kuhubiri Haki na...
GT
The world is naked. Hakuna jambo utafanya watu wasijue chaguo ni moja tu uwe mkweli watu wakuamini au uwe muongo watu wakudharau.
Ulimwengu huu wa science and Technology kuna vitu vinafaanyika hadi CCM wanabaki midomo wazi wachague moja waache siasa za ujima na stone age.
Tofauti na hapo...
Yaani watu waone kabisa nchi yao inaibiwa na hakuna wakuitetea kabisa, watulie tu, eti kwasababu watatekwa na kupewa kesi.
Yaani nione watu wanauliwa na kutekwa na hakuna wakuwatetea, mimi nitulie kwasababu wale sio ndugu zangu??? Mnadhani kila mtu ni mjinga hivyo.
Yaani nione wamama hospitali...
Kuna nyakati mbili mwanamke akipitia basi mwanaume unatakiwa uwe mpole sana na ujue kujali sana
Yani hapa ile haiba ya mamlaka na ushapavu wa kiume unaupunguza kidogo ili uende sambamba na nyakati hizo
Sehemu ya kwanza ni pale mwanamke anapokuwa mjamzito,huwa anapitia mabadiliko makubwa ya...
Nimefatilia binadamu wengi wabaya tena waliokuwa wakichukiwa sana huanza kupendwa na kuonekana wema pale tu wanapofariki sijui hii inatokana na nini?
Kuna wakati nachukiwa na watu mpaka natamani nife ili nianze kupendwa,.
Je kwanini binadamu tumekuwa tukipenda sana marehemu na kuwaona wema...
Kimazoe, mwanadamu wa jinsia ya kike, kwa kiasi kikubwa alionekana ni mtu mwema zaidi, mnyenyekevu zaidi, msikivu zaidi, asiye mdhulumaji. Ilikuwa siyo kawaida kumpata mwanamke akiwa jambazi.
Lakini siku zinavyoenda mambo yamebadilika sana. Wanawake wa sasa, wengi wao, hasa waliopata nafasi za...
Habari wanajukwaa , Wana nzengo katika jukwaa hili ....
Leo tuongee jambo , ULIJISIKIAJE pindi una ANGALIA MOVIE / series za KUTISHA SANA yaaaani zile Kila dakika ni KUTISHA tuu
Mimi muda huu naangalia ya KUTISHA balaa inaitwa The Strain....yaaaani ni series ya kuhusiana. Na virus na...
Mmesahau Yohana Mbatizaji aliwekwa jela kwa kusema ukweli kisha akakatwa kichwa?
Paul na Sila waliwekwa jela kwa kuhubiri injili.
Msishangae yanayotokea leo kwenye taifa hili na yanamsibu Tundu Lissu
Waislamu huwaita Wakristo makafiri na kuwa Mungu wao sio wa ukweli hii ni kwa mujibu wa imani yao.
Wakristo nao kwa mujibu wa imani yao wanaamini kuwa kuna Mungu mmoja tu. Nae ni Mungu wa Yakobo.
Sasa ina kuwaje manabii hawa kushauri watu kwenda kusali misikitini kisa tu wapate mahala pa...
Wenye uelewa watujuze hii kitu,inafanywaje?,mazingira gani mazuri kwa biashara hii?, vyumba vya aina hufaa kwa biashara hii?je banda zuri la manyasi linafaa kwa biashara hii?vibali vyake vinapatikanaje?,jinsi gani utafawafanyia wateja bookings kutoka nje ya nchi,na mengineyo,
Kwani,MH.Rais wetu...
Huu ni ushauri kwa Wogombea wote. Kama unaona hupendwi na wananchi soma alama za nyakati na usilazimishe. Wengi wa wagombea hasa kwenye nafasi za Udiwani, Ubunge nakadhalika wanalazimisha wapendwe na wananchi ilihali wananchi hawataki.
someni alama za nyakati na wananchi ndiyo wenye sauti...
Acha kuvaa vipensi vifupi vinavyobana mapaja na makalio.
Acha kuwa motivated sana mambo ya kwenye tv.
Hakikisha kufuatilia majarida na story books anazosoma mtoto wako mdogo.
Mwanaume akimbilii kukaa na wadada kwenye hadhara.
Mwanaume hapendi vya bure bure na offer za kila mara
Kama utabiri utatolewa alafu usitimie huo utabiri bila taarifa za uhakika kutoka kwa Mungu, utakuwa utabiri wa uongo.
Kama kile kimeandikwa kwenye biblia kisiwe kama kilivyosemwa, tutakuwa hatuna haja kuendelea kujivunia neno la Mungu.
Tunajivunia neno la Mungu(biblia) kwa sababu ilituambia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.