novemba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bei ya Mafuta yashuka mwezi Novemba, EWURA yatahadharisha wauzaji

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kushuka kwa bei za mafuta ya petroli na dizeli nchini kwa mwezi Novemba 2024, ikilinganishwa na bei za mwezi Oktoba. Kwa mujibu wa EWURA, bei ya petroli kwa lita moja kwa bandari ya Dar es Salaam imepungua kutoka Shilingi 3,011...
  2. Bunge la 12 | Mkutano wa 17 Kikao cha 7, leo Novemba 6, 2024 Asubuhi

    Bunge linaendelea na kipindi cha maswali na majibu ambapo wabunge wanauliza maswali na Mawaziri wanatoa majibu. Tufuatilie yanayojiri moja kwa moja kutoka viunga vya mji wa Dodoma! https://www.youtube.com/watch?v=4wO3TRtbUYI
  3. Ndege ya Air Tanzania kutoka Mumbai yapata hitilafu, safari yaahirishwa hadi Novemba 6, 2024

    MABADILIKO YA RATIBA YA NDEGE YA MUMBAI-DAR ES SALAAM 04 Novemba 2024, Dar es Salaam Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) inapenda kuutaarifu umma kuwa ratiba ya leo ya safari ya kutoka Mumbai kwenda Dar es Salaam imebadilishwa kutokana na hitilafu ya kiufundi. Kwa kuzingatia kipaumbele chetu cha...
  4. U

    Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kuongoza kikao cha Baraza la Mawaziri

    Wadau hamjamboni nyote? Kikao ni kesho usiku kuanzia saa 3 usiku huko Tel Aviv Hofu dhidi ya shambulizi la Iran yatajwa! Taarifa zaidi kukujia. Times of Israel: ======== November 1, 2024: PM to hold security cabinet meeting Sunday night amid Iranian threats, Lebanon ceasefire push. Prime...
  5. Prof. Kitila Mkumbo: Waliopinga DP World wajitokeze hadharani wakiri mafanikio

    https://www.youtube.com/watch?v=MBMd95jalzs Prof. Kitila Mkumbo aeleza mafanikio ya uwekezaji wa DP World na Mradi wa SGR Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais -Mipango na Maendeleo, Mheshimiwa Prof. Kitila Mkumbo, leo tarehe 01 Novemba 2024 amewasilisha mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa...
  6. Mikopo ya Asilimia 10 Kuanza Kutolewa Kabla ya 30 Novemba, 2024.

    MIKOPO YA ASILIMIA 10 KUANZA KUTOLEWA KABLA NOVEMBA 30, 2024. Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Dkt Festo Dugange amesema mikopo ya Halmashauri ya asilimia 10 itikanayo na mapato ya ndani ya Halmashauri kwaajili ya vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye...
  7. Z

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali; zoezi la kutafasiri sheria zote kwa lugha ya Kiswahili kukamilika mwezi Novemba.

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali amesema kuwa zoezi lililo kuwa linaendelea la kuzitafasiri sheria mbalimbali kutoka lugha ya Kiingereza kwenda kwenye lugha ya Kiswahili zoezi hilo litakamilika Mwezi Novemba mwaka huu 2024. Sisi wananchi tunaipongeza Wizara ya Katiba kwa kazi nzuri inayo ifanya...
  8. K

    LGE2024 Kuna chama hapa nchini kinahaha wakati tunaelekea kwenye Uchaguzi Wa Serikali Za Mitaa!

    Juzi nimepigiwa simu na jirani yangu akiniomba nitaje jina langu liandikwe na CHAMA fulani ili niandikwe kwa watakaowapigia kura CHAMA hicho. Binafsi nilimjibu kuwa mimi ni mtu mzima mwenye akili timamu kamwe sitarubuniwa. Naona hicho CHAMA kinahaha naona wana hali ngumu kipindi hiki.
  9. LGE2024 Morogoro: Matukio yaliyojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024

    Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Morogoro. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kushiriki na wengine. Ramani ya Mkoa wa Morogoro HISTORIA YA MKOA WA MOROGORO Morogoro ni mji uliopo...
  10. LGE2024 Pwani: Matukio yaliyojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024

    Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Pwani. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kushiriki na wengine. Ramani ya Mkoa wa Pwani Historia ya mkoa wa Pwani Kabla ya uhuru mkoa wa Pwani ulikuwa...
  11. LGE2024 Lindi: Matukio yaliyojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024

    WanaJF, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Lindi. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kushiriki na wengine. Ramani ya Mkoa wa Lindi Historia ya Mkoa wa Lindi Mwaka 1961 wakati...
  12. Sony kuzindua PS5 Pro Novemba

    Wadau wa teknolojia ya gaming, leo Sony wametoa wasilisho la kitaalamu kuhusu sifa za Ps5 Pro ambayo itazinduliwa rasmi Novemba 7, kwa wale wa pre order dirisha litafungufuliwa 26 septemba, na Bei katika maduka yao itaanza kwa $699 tu, hiyo ikiwa ni version isiyo support disc...
  13. F

    Natarajia kuanza kuvuna pilipili Novemba wanunuzi jitokezeni

    Sijui soko la Sasa la pilipili like ila ningependa kujua ili nilinganishe na wakati huo pilipili ikishakuwa tayari Hivyo naombeni kujuzwa soko lake likoje yaani pilipili inauzwaje kuanzia kipimo cha chini hadi gunia na aliye tayari afanye booking ili tuje kufanya biashara
  14. U

    Donald Trump kuamtangaza rasmi mgombea mwenza wake muda wowote kuanzia sasa, kuelekea uchaguzi Mkuu wa Novemba 2024

    UDATES Trump taps J.D VANCE Ohio’s junior senator as his running mate Former U.S. President Donald Trump on Monday selected J.D. Vance, a senator from the Midwestern state of Ohio, as his running mate in November’s presidential election. Trump made the announcement on his Truth Social media...
  15. Trump asema damu itamwagika asiposhinda urais Novemba

    Marekani ikiwa ni kinara wa demokrasia imeonesha kuwa demokrasia ni janga jengine la dunia Hata kurudi kwake kugombea pamoja na kukabiliwa na kesi chungu nzima ni funzo jengine la matatizo ya tawala za kidemokrasia. ==== Trump says there will be a 'bloodbath' if he loses the election...
  16. Rais Samia Aongoza Kikao Halmashauri ya CCM Taifa, Ikulu DSM Leo Novemba 29, 2023

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kilichokutana tarehe 29 Novemba, 2023 Ikulu Jijini Dar es salaam, Awali kikao hicho kilitanguliwa na kikao cha Kamati Kuu...
  17. Naibu Waziri Mambo ya Ndani afika eneo la ajali ya Treni na Basi iliyoua watu 13, Novemba 29, 2023

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini ametembelea eneo ambalo kumetokea ajali iliyohusisha basi la Kampuni ya Ally’s Star lenye namba T.178 DVB likitoka Dar es Salaam kwenda Mwanza kugonga kichwa cha Treni katika makutano ya reli na barabara, nje kidogo ya Mji wa Manyoni Mkoani...
  18. CCM Manyara yakutana kumjadili Pauline Gekul, kutoa tamko Novemba 27, 2023

    Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Manyara kimefanya kikao leo Jumapili Novemba 26, 2023 kujadili sakata la Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul anayekabiliwa na tuhuma za ukatili na udhalilishaji, na kesho Novemba 27, 2023 kitatoa tamko lake. Gekul anatuhumiwa kutoa maelekezo kwa kundi la...
  19. Dullah Mbabe apoteza kwa pointi dhidi ya Eric Katompa, Arusha, Novemba 25, 2023, Dullah alalamikia Majaji

    Mzaramo Abdallah Pazi maarufu kama Dullah Mbabe anapigana na Mcongo, Erick Katompa katika pambano la Uzito wa Super Middleweight Mkoani Arusha Wawili hao waliwahi kukutana Oktoba 1, 2021 ndani ya Viwanja vya PTA pale Sabasaba Jijini Dar es Salaam ambapo Katompa alimtwanga Dullah Mbabe...
  20. Kulikoni mpaka leo mshahara wa novemba haujaingia?

    Tuliopo TRA mpaka sasa mshahara haujaingia? Kuna tatizo gani huko Hazina
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…