Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kushuka kwa bei za mafuta ya petroli na dizeli nchini kwa mwezi Novemba 2024, ikilinganishwa na bei za mwezi Oktoba.
Kwa mujibu wa EWURA, bei ya petroli kwa lita moja kwa bandari ya Dar es Salaam imepungua kutoka Shilingi 3,011...
Bunge linaendelea na kipindi cha maswali na majibu ambapo wabunge wanauliza maswali na Mawaziri wanatoa majibu. Tufuatilie yanayojiri moja kwa moja kutoka viunga vya mji wa Dodoma!
https://www.youtube.com/watch?v=4wO3TRtbUYI
MABADILIKO YA RATIBA YA NDEGE
YA MUMBAI-DAR ES SALAAM
04 Novemba 2024, Dar es Salaam
Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) inapenda kuutaarifu umma kuwa ratiba ya leo ya safari ya kutoka Mumbai kwenda Dar es Salaam imebadilishwa kutokana na hitilafu ya kiufundi.
Kwa kuzingatia kipaumbele chetu cha...
Wadau hamjamboni nyote?
Kikao ni kesho usiku kuanzia saa 3 usiku huko Tel Aviv
Hofu dhidi ya shambulizi la Iran yatajwa! Taarifa zaidi kukujia.
Times of Israel:
========
November 1, 2024: PM to hold security cabinet meeting Sunday night amid Iranian threats, Lebanon ceasefire push.
Prime...
https://www.youtube.com/watch?v=MBMd95jalzs
Prof. Kitila Mkumbo aeleza mafanikio ya uwekezaji wa DP World na Mradi wa SGR
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais -Mipango na Maendeleo, Mheshimiwa Prof. Kitila Mkumbo, leo tarehe 01 Novemba 2024 amewasilisha mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa...
MIKOPO YA ASILIMIA 10 KUANZA KUTOLEWA KABLA NOVEMBA 30, 2024.
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Dkt Festo Dugange amesema mikopo ya Halmashauri ya asilimia 10 itikanayo na mapato ya ndani ya Halmashauri kwaajili ya vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali amesema kuwa zoezi lililo kuwa linaendelea la kuzitafasiri sheria mbalimbali kutoka lugha ya Kiingereza kwenda kwenye lugha ya Kiswahili zoezi hilo litakamilika Mwezi Novemba mwaka huu 2024.
Sisi wananchi tunaipongeza Wizara ya Katiba kwa kazi nzuri inayo ifanya...
Juzi nimepigiwa simu na jirani yangu akiniomba nitaje jina langu liandikwe na CHAMA fulani ili niandikwe kwa watakaowapigia kura CHAMA hicho.
Binafsi nilimjibu kuwa mimi ni mtu mzima mwenye akili timamu kamwe sitarubuniwa.
Naona hicho CHAMA kinahaha naona wana hali ngumu kipindi hiki.
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Morogoro. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kushiriki na wengine.
Ramani ya Mkoa wa Morogoro
HISTORIA YA MKOA WA MOROGORO
Morogoro ni mji uliopo...
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Pwani. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kushiriki na wengine.
Ramani ya Mkoa wa Pwani
Historia ya mkoa wa Pwani
Kabla ya uhuru mkoa wa Pwani ulikuwa...
WanaJF,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Lindi. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kushiriki na wengine.
Ramani ya Mkoa wa Lindi
Historia ya Mkoa wa Lindi
Mwaka 1961 wakati...
Wadau wa teknolojia ya gaming, leo Sony wametoa wasilisho la kitaalamu kuhusu sifa za Ps5 Pro ambayo itazinduliwa rasmi Novemba 7, kwa wale wa pre order dirisha litafungufuliwa 26 septemba, na Bei katika maduka yao itaanza kwa $699 tu, hiyo ikiwa ni version isiyo support disc...
Sijui soko la Sasa la pilipili like ila ningependa kujua ili nilinganishe na wakati huo pilipili ikishakuwa tayari
Hivyo naombeni kujuzwa soko lake likoje yaani pilipili inauzwaje kuanzia kipimo cha chini hadi gunia na aliye tayari afanye booking ili tuje kufanya biashara
UDATES
Trump taps J.D VANCE Ohio’s junior senator as his running mate
Former U.S. President Donald Trump on Monday selected J.D. Vance, a senator from the Midwestern state of Ohio, as his running mate in November’s presidential election.
Trump made the announcement on his Truth Social media...
breaking news
donald trump
kuanzia
kuelekea
kuelekea uchaguzi mkuu
mgombea
mgombea mwenza
mkuu
muda
mwenza
news
novemba
rasmi
trump
uchaguzi
uchaguzi mkuu
wake
wowote
Marekani ikiwa ni kinara wa demokrasia imeonesha kuwa demokrasia ni janga jengine la dunia
Hata kurudi kwake kugombea pamoja na kukabiliwa na kesi chungu nzima ni funzo jengine la matatizo ya tawala za kidemokrasia.
====
Trump says there will be a 'bloodbath' if he loses the election...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kilichokutana tarehe 29 Novemba, 2023 Ikulu Jijini Dar es salaam, Awali kikao hicho kilitanguliwa na kikao cha Kamati Kuu...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini ametembelea eneo ambalo kumetokea ajali iliyohusisha basi la Kampuni ya Ally’s Star lenye namba T.178 DVB likitoka Dar es Salaam kwenda Mwanza kugonga kichwa cha Treni katika makutano ya reli na barabara, nje kidogo ya Mji wa Manyoni Mkoani...
Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Manyara kimefanya kikao leo Jumapili Novemba 26, 2023 kujadili sakata la Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul anayekabiliwa na tuhuma za ukatili na udhalilishaji, na kesho Novemba 27, 2023 kitatoa tamko lake.
Gekul anatuhumiwa kutoa maelekezo kwa kundi la...
Mzaramo Abdallah Pazi maarufu kama Dullah Mbabe anapigana na Mcongo, Erick Katompa katika pambano la Uzito wa Super Middleweight Mkoani Arusha
Wawili hao waliwahi kukutana Oktoba 1, 2021 ndani ya Viwanja vya PTA pale Sabasaba Jijini Dar es Salaam ambapo Katompa alimtwanga Dullah Mbabe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.