no reforms

The Constitutional Reform Act 2005 (c. 4) is an Act of the Parliament of the United Kingdom, relevant to UK constitutional law. It provides for a Supreme Court of the United Kingdom to take over the previous appellate jurisdiction of the Law Lords as well as some powers of the Judicial Committee of the Privy Council, and removed the functions of Speaker of the House of Lords and Head of the Judiciary of England and Wales from the office of Lord Chancellor.

View More On Wikipedia.org
  1. Area 56

    Afande akifurahia hotuba ya Tundu Lissu kuhusu No Reforms No Elecetion

    Askari wa Jeshi la Polisi, akifurahia hotuba ya Lissu kuhusu No Reforms No Election ambapo Lissu amegusia pia namna maaskari na watumishi wengine wa umma wanavyokutana na kikotoo baada ya kustaafu. Kila mmoja atafikiwa tu na Lissu kwa namna yake. Lissu ndio habari ya nchi kwa sasa
  2. Stuxnet

    No Reforms No Elections: Kama kweli itatokea ni nini kitawakabili Lissu na CHADEMA

    Kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania na sheria za nchi, uchaguzi ni msingi wa demokrasia na haki ya kikatiba (Kwa mfano, Katiba ya Tanzania ya 1977, Kifungu cha 5 na 21). Kutoa vitisho vya "kuharibu uchaguzi" au kuanzisha "uasi" ni uvunjifu wa sheria za Tanzania, kama vile: (1) Kanuni ya Jinai...
  3. figganigga

    Kanda ya kusini: Tundu Lissu awatoa machozi ya Furaha Wananchi wa Ruangwa kwenye Kampeni za No reforms no Election

    Ruangwa imeitwa ikaitika, Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Tundu Lissu akizungumza na wananchi wa Ruangwa Alasiri ya leo tarehe 06 Aprili 2025, ikiwa mwendelezo wa Operesheni #NoReformsNoElection Kanda ya Kusini.
  4. M

    Ndugu yangu John Mrema, fedha za tone tone wanazilipana posho ya ziara ya No reforms no elections

    Jana nimesikia huko Lissu akiwa hotelini anakula minyama ya kuku tu , tone tone ni style ya upigaji tu, Lema sio lofa, amekaa ameona ngoja abuni mpango wa kula hela, akamshauri Lissu waanzishe tone tone, watu wamechanga sasa hivi wanazitumia mikoani kwenye posho ya kuwaambia wananchi kuwa bila...
  5. Just Pray

    PreGE2025 Mwenyekiti BAWACHA: Akina mama tuungane kudai mabadiliko ya sheria za uchaguzi 'No Reforms, No Election'

    Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake CHADEMA Sharifa Suleiman, amewasisitiza Wanawake nchini kuungana na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika kudai mabadiliko na kutoshiriki kwenye uchaguzi mpaka pale mabadiliko ya kweli yatakapofanyika. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
  6. N

    Kinachowatisha CCM kwenye No Reforms no Election

    CCM wanafahamu kwamba huo wito ukiitikiwa na wananchi, Idadi ya watakao jitokeza kupiga kura itakuwa ni sawa na zero, au Negligible kabisa, hivyo itawawaacha uchi kwa matokeo wanayopika kila siku. Kwa kufahamu hilo wana itaka CHADEMA ishiriki uchaguzi ili kutimiza ndoto za wizi wao. Nami...
  7. Tlaatlaah

    PreGE2025 Wanaotangaza nia CHADEMA wakati kuna ajenda ya No reforms No election, inaashiria nini kuelekea uchaguzi 2025?

    Katika maeneo mengi nchini, hivi sasa joto la teuzi ndani ya vyama vya siasa kuelekea uchaguz mkuu wa October mwaka huu 2025 linaendelea kupanda taratibu, lakin ni kali mno. Vipo vyama vya siasa nchini, mathalani Chadema, eti imekusudia kutumia wanachama wake kuzuia uchaguzi huo muhimu wa...
  8. M

    Kuhusu No reforms No election.

    No reforms No election ni kaulimbiu inayopanga kuzuia kufanyika uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025 ikiwa hakutakuwa na Reforms za Uchaguzi. Kwa hiyo itakuwa kama ifuatavyo:- 1. Wapinzani watazuia uchaguzi kwa nguvu. Kuzuia uchaguzi kwa nguvu kutasababisha pengine watu wengi kupata madhara makubwa...
  9. G Sam

    Kwahiyo lengo la "No Reforms, No election" kwa mujibu wa G-55 ilikuwa ni kuhamasisha tu? Huo ndiyo ulikuwa udalali wa kisiasa sasa

    Ukisoma huo waraka sehemu ya tatu aya ya 2 inasema lengo la kupitisha "No reforms, no election" ilikuwa si kuzuia uchaguzi bali kuhamasisha tu. Huo ndiyo ulikuwa mpango wa kauli mbiu? Tunaposema udalali wa kisiasa ni pamoja na ubabaishaji kama huo. Ndiyo maana mlilia yalipotangazwa matokeo...
  10. Blood of Jesus

    Tundu Lissu: Asanteni Watanzania kwa kuendelea kuielewa agenda ya *No reforms, no election*

    Watanzania wameendelea kupata elimu hii ya bure na kinachotia moyo ni kwa namna wanaielewa sera hii kwa haraka na kwa weledi. Hii ni baada ya ziara ya Kanda ya Nyasa. Amina.
  11. Chakaza

    CCM Mbona Mnafeli? Majibu ya NO REFORMS NO ELECTION Yanapaswa Kutolewa na NEC au Serikali na Sio CCM Maana Nanyi Ni Washindani!

    Ni wazi Makalla na yule Babu Wassira pengine hawajui kuwa CCM ni washiriki wa uchaguzi kama ilivyo Chadema, ACT, CUF nk au bado wao ni OLD FASHIONED kiasi cha kushindwa kutofautisha CCM chama na Serikali katika utendaji. Chadema wao wanapanbana na Tume ya uchaguzi na Wizara ya sheria/mambo ya...
  12. B

    PreGE2025 Mbinu za kuzuia uchaguzi ili NO REFORMS NO ELECTION ianze kueleweka haraka kwa watawala

    Bado ccm na serikali Ina haha ni kwa namna Gani CHADEMA inaenda kudhibiti uchaguzi mkuu ingali vyombo vya ulinzi viko kwake pasipo watu. CHADEMA yenyewe Ina watu ndio maana hamasa imekuwa kubwa sana kuitikia hii kauli mbiu ya NO REFORMS NO ELECTION. Nasisitiza viongozi wa CHADEMA kuungana kwa...
  13. R

    Mikusanyiko mikubwa ya WANANCHI katika ziara ya chedema ya NO REFORMS NO ELECTION inaashiria nini? Kuna kitu hawaridhiki na CCM, siyo wajinga

    Kuna kitu kinawasumbua, Kuna kitu hawaridhiki nacho watanzania ndiyo maana wanakusanyika wakiamini drive aliyo nayo Lisu and chadema as a whole can make a difference kwa hicho kinachowasumbua! Wanajua ubaya wa CCM , wanajua mapungufu ya CCM, lakini bado wana UOGA, wana uoga wa kusema wakiogopa...
  14. K

    Chama Cha Mapinduzi Tukubaliane na NO Reforms NO Elections ili Tusimalizane Wenyewe kwa Wenyewe.

    Nimeanza kuamini kuwa hii No reforms,no elections ya akina Lissu inaweza kutusaidia na sisi CCM.Inaweza kuzuia kutekana au kuuana wenyewe kwa wenyewe kama ilivyotokea Iringa kiongozi wa CCM kuuawa,ilivyotokea Mwanza juzi kiongozi wa CCM ambaye ana nia ya kugombea Tarime kutekwa,kutishiwa kuuawa...
  15. W

    PreGE2025 Godbless Lema aachia kionjo cha wimbo wake mpya wa 'No reforms No Election' atakaouachia kesho March 25, 2025

    Mjumbewa kamati kuu Chadema Godbless Lema kupitia Ukurasa wake wa X ame sahre kionjo cha wimbo wa No reforms no election ambao ameshirikia na Hellen pamoja na Happyness. Rasmi utatoka March 25, 20225 (Jumanne)
  16. W

    SI KWELI PreGE2025 John Heche hataki No reforms No election na ametangaza kugombea Tarime vijijini

    Wakuu JamiiCheck, nmekutana na Taarifa inayoeleza kuwa Jihn Heche hataki ajenda ya No reform na ametangaza kugombea ubunge jimbo la Tarime vijijini?
  17. The Palm Beach

    THRDC waunga mkono na kuifafanua kwa ufasaha movement ya Watanzania ya NO REFORMS, NO ELECTION inayoongozwa na CHADEMA

    https://youtu.be/cQ8my9Fu7jU?si=8G2_TzDMHKYELqgD ➡Huyu hapa ni Mkurugenzi Mtendaji wa asasi ya kiraia ya kulinda na kutetea haki za binadamu - Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDC) Bwana Onesmo Olengurumwa akifafanua dhana dhima ya kauli mbiu ya kudai mabadiliko ya kikanuni...
  18. Ileje

    PreGE2025 Lissu amwambia Balile "Maswali yako ni Nonsense"

    Maswali ya hovyo ya Balile katika mkutano wa Chadema na wahariri wa vyombo vya habari yapelekea kuambiwa anauliza nonsense jambo ambalo limemkera sana na kuanza kutafuta kanuni za mkutano. Balile ambaye ndiye alikuwa anaongoza mkutano huo alitumia muda mwingi kuvuruga mkutano badala ya...
  19. Just Pray

    PreGE2025 UVCCM Dodoma: No reforms No election ni kuingilia kazi ya tume

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) mkoa wa Dodoma, Abdulhabib Mwanyemba amesema baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani ambao wamekuwa wakijinasibu na kudai ‘No Reform, No Election’ ni waongo, akidai kuwa hufanya vikao vya siri vya kuwaandaa watu kugombea nafasi...
  20. Just Pray

    SI KWELI PreGE2025 Sugu atangaza kugombea ubunge Mbeya Mjini, aonesha mashaka dhidi ya 'No reforms, No Election'

    Wakuuw Wakuu huko mjini Facebook nimekutana na hii taarifa ya MillardAyo na Wasafi kuwa Sugu ametangaza rasmi kugombea ubunge Mbeya mjini na anaonekana Sugu mwenyewe amepost huko X, Je, ni kweli wakuu?
Back
Top Bottom