no reforms

The Constitutional Reform Act 2005 (c. 4) is an Act of the Parliament of the United Kingdom, relevant to UK constitutional law. It provides for a Supreme Court of the United Kingdom to take over the previous appellate jurisdiction of the Law Lords as well as some powers of the Judicial Committee of the Privy Council, and removed the functions of Speaker of the House of Lords and Head of the Judiciary of England and Wales from the office of Lord Chancellor.

View More On Wikipedia.org
  1. The Burning Spear

    Huyu Bibi ana hoja asikilizwe no reforms no election.

    1
  2. Gabeji

    Moto wa No reforms No election umeanza kuwaingia walimu watanzania, freedom is coming tomorrow!

    Hakika Mungu ni mwema, baada ya miaka mingi kupita sasa walimu wameanza kuelewa na kutumia elimu yao kwa ajili ya manufaa ya Taifa zima. Hii imetokea kwa kukataa na kugoma kujishughulisha na maswala ya uchaguzi na kuwa sehumu ya laana katika vizazi vyao vyote. Tume inayojiita tume huru ya...
  3. Youbettersleep

    NO REFORMS NO ELECTION ni kauli mbiu kuu ya wananchi na CHADEMA

    NO REFORMS NO ELECTION ni kauli mbiu kuu ya wananchi na CHADEMA kwa ujumla, yaani ni kwamba hii statement sio ya CHAMA bali tangu 2005 watu walitaka mabadiliko ila watu wenye IQ kubwa kutoka CHADEMA wakaja kuiweka na kuipa moto. Kwasasa kila raia anaijua sio mtoto wala mtu mzima yaan hadi wafu...
  4. M

    GE2025 No reforms no election! Tumekaribia Ushindi, No reforms no election ikishinda, Tanzania inakuwa huru!

    Tumekaribia, ng'ambo yetu ile paleee! Ushindi upo upande wetu No reforms no election ina upepo wa Mungu wenye kisulisuli, unaangusha mibuyu na mibuyu Ndani ya CCM, hivi punde watauimba huu wimbo wazi wazi bila kificho, huu mwezi haupiti, Wengi wao wataumgana na waungwana sisi kuimba kwa...
  5. W

    PreGE2025 Mbunge wa COVID 19, Anatropia asema no reforms no election ndio msimamo wa mwanademokrasia yeyote hata wana CCM

    "Waliotafuta majukwa mengine nawapongeza lakini mimi ni mmoja ya wabunge hawa wanaoitwa 'Covid 19' niliyeandika barua ya kuomba kurudi kwenye chama kwahiyo bado naamini CHADEMA ndiyo jukwaa sahihi pamoja na yaliyotokea nimeomba kupata nafasi nyingine kwenye chama" "Nilichokuwa nakipigania kabla...
  6. The Burning Spear

    Moto wa No reforms no Election watinga kwenye harusi ya Kamanda

    GT. Moto wa No reforms no.Election hakuna wa kuuzima maana aliyeuwasha amefungwa ukonga na watu wanamwelewa sana.
  7. M

    Natabiri: Hotuba ya Rais Samia atalazimika kuitataja No reforms mara nyingi kushinda hata uchache wa alichofanya kwa awamu yake hii!

    Tega masikio utaniambia niko paleee!
  8. M

    No reforms, No election. Huo ndo msimamo wa wananchi

  9. B-2 STEALTH BOMBER

    Hii No reforms no election siokwa CHADEMA wala CUF Bali ni kwa ajili ya kesho iliyo bora kwa Watanzania

    Hatupigi kura. Nasema tena hatupigi kura.. Oiii wazee miaka 60 ya uhuru hata mmeshindwa kulinda rasilimali na kutupea manouver ya kutukomboa na kipindupindu, Umaskini, malaria na ujinga. Kila siku wale wale ndio hukamata hatamu na keki ya taifa tumechoka. Watoto wa maskini hawnaa kazi ila...
  10. kagoshima

    No reforms no election ni mkakati wa kurudisha mamlaka, maamuzi, heshima kwa wananchi

    1. Wananchi ndio waamue kiongozi wanaye mtaka, tofauti na sasa ambapo kura ya raia haina thamani 2. Wananchi ndio wawe sauti ya mwisho kwenye maamuzi 3. Lipatikane bunge lan wananchi litakalo isimamia serkalo na siyo bunge serikali 4. Chaguzi zetu ziwe na mashiko na sio za bora lipite...
  11. Abraham Lincolnn

    Haihitaji Degree kutambua anachofanyiwa Lissu ni kutokana na 'No reforms, No election' Watanzania wangekuwa na akili wangekuwa barabarani muda huu

    Tunaposema Tanzania ni taifa mfu, au Taifa lenye wajinga wengi mno ambao CCM inatumia kama mtaji nadhani sote tunajionea na kushuhudia. Watu kadha wa kadha wametekwa, wamepotea, hakuna aliyewajibika. Si Polisi ambao walionekana mchana kweupe wakimbeba marehemu kwenye basi lenye abiria wala si...
  12. F

    PreGE2025 Je, mnajua kwanini serikali ya CCM kamwe haitaki kusikia kauli ya No Reforms No Election? Angalia hapa moja ya sababu kubwa iliyonaswa hivi karibuni

    Moja ya mambo yanayowafanya CCM kutotaka kamwe kusikia kauli mbiu ya CHADEMA ya NO REFORMS NO ELECTION ni pamoja na ukweli kwamba tayari CCM wameshatumia mabilioni ya wananchi kuagiza na kuandaa vifaa mbalimbali kwa ajili ya kampeni ya uchaguzi mwishoni mwa mwaka huu. Hap chini ni moja ya...
  13. Genius Man

    Huyu ndio yule kijana aliyepigwa ngumi jiwe alipoenda kufanya vurugu kwenye mkutano wa no reforms no ELECTION wa CHADEMA

    Huyu ndio yule kijana aliye pigwa ngumi jiwe na mlinzi wa chadema alipoenda kufanya vurugu kwenye mkutano wa no reforms no ELECTION wa CHADEMA. kuna video inatrend mitandaoni ikimuonesha mlinzi wa chadema aliye valia suti nyeusi akiwa na upara akamrushia ngumi nzito kijana mwenye t shirt...
  14. Huihui2

    Ushuhuda: Licha ya No Reforms No Elections, Serikali ya Marekani bado inaiamini sana Tanzania

    Shirika la Fedha la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (DFC) wiki hii lipo nchini Tanzania kujadili mikakati ya jinsi ya kuwavutia wawekezaji wa Kimarekani kuja Tanzania ili kushirikiana na makampuni ya Kitanzania, hasa katika sekta za miundombinu na madini muhimu. Kaimu Balozi Andrew Lentz...
  15. secretarybird

    Secretarybird nahitaji ushauri nasaha, no reforms no election imenitia matatani

    Asalamaleku wakuu! Wakuu naombeni mnipe ushauri Kwa hili lililonitokea maana yaonekana nimejichanganya na masikitiko pamoja na majuto yamenijaa hadi pomoni. Kama mnavyojua sasa hivi Kuna vuguvugu la "no reforms no election" na mimi ni mmoja wa mtu ninayeunga mkono hii movement na katika...
  16. MIMI BABA YENU

    Ajenda ya No Reforms No Election inawapiginisha Chadema katika mikutano ya hadhara

    Wingu zito la mgogoro ndani ya CHADEMA juu ya wanaounga mkono na wanaopinga Kampeni ya No Reforms na No Election limeendelea kutanda na sasa limefikia hatua mbaya zaidi, wameshindwa kuuficha mgogoro wao na sasa wameamua kuchapana makonde kwenye mikutano ya hadhara. Chokochoko zilianza kwenye...
  17. DuaZaMama

    Moto wa No reforms No Election kuendelea kanda ya Magharibi hii leo

    Baada ya jana vijana wa CCM kuingilia mkutano wa Chadema pale Singida leo ni zamu ya tabora ,tegemeeni "october tunatiki" katikati ya no reforms no election ni moto juu ya moto.
  18. Aathan

    No reforms no election

    Juzi kuna mdada kanionjesha utamu. Cha ajabu wakati nakaribia kupiga bao, kanambia yeye atasema no reforms nami niwe najibu no election. Bao tamu sana Jaribuni hii kitu ma gen-z
  19. uran

    Serikali wanawatumia Yanga kuzima upepo wa Vijana wa No reforms

    Naona hii kete ya Yanga! Malengo makuu ni kuhamisha upepo wa no reforms no Election. 😃😃
  20. Heparin

    PreGE2025 Dodoma kumekucha, CHADEMA yatikisa ngome ya CCM. Mamia wamsindikiza John Heche wakiimba 'CCM wauaji'

    Dodoma imetikisika, ndivyo unavyoweza kusema. No reforms, no election inazidi kuchanja mbuga ambapo CHADEMA wamefanya mkutano wao jijini humo na kuhudhuriwa na Makumi ya Maelfu ya watu. Baada ya mkutano huo, wapenzi wa chama hicho wamemsindikiza Makamu Mwenyekiti wao, John Heche huku wakiimba...
Back
Top Bottom