The Constitutional Reform Act 2005 (c. 4) is an Act of the Parliament of the United Kingdom, relevant to UK constitutional law. It provides for a Supreme Court of the United Kingdom to take over the previous appellate jurisdiction of the Law Lords as well as some powers of the Judicial Committee of the Privy Council, and removed the functions of Speaker of the House of Lords and Head of the Judiciary of England and Wales from the office of Lord Chancellor.
Kuhusu Msajili wa Vyama vya Siasa na Uingiliaji wake Kipindi cha Uchaguzi
Wakuu, ni wazi kwamba tunapokaribia uchaguzi, kuna wasiwasi mkubwa kuhusu jinsi Msajili wa Vyama vya Siasa anavyoingilia kazi za vyama, hasa vya upinzani. Kulingana na Sheria ya Vyama vya Siasa (Cap 258 R.E 2019), Msajili...
Wakati Tundu Lissu akikamatwa na kuswekwa Gerezani kwa tuhuma za hila dhidi yake na Chadema.
Wakati viongozi na Makada wa Chadema wakitekwa, kuuwawa na kupotezwa.
Wakati Maofisa wa System wakienda kumwaga vitu vya kemikali kwenye Ofisi za Chadema Mbeya kuwatisha Wanachadema na Wanambeya kuacha...
Kwanini tunaimba mshikamano na umoja,kwanini tuna tekeleza Operation ya NO REFORMS,NO ELECTION, kwa sababu tumechoshwa na ghiliba ya mabadiliko ya sheria na kanuni za uchaguzi kwa zaidi ya miongo mitatu.
CCM haina nia ya dhati kuruhusu/Kutengeneza mianya ya haki itakayo kiweka chama hicho nje...
Kamata Tundu Lissu, kamata John Heche, halafu kikao Cha Kamati Kuu kiitishwe, maazimio yawe No Reforms No Election ifutwe.
Makamo Zanzibar anakaimu uenyekiti halafu Tume inasemwa ilikosea kusema Kusaini Kuna mwisho. CHADEMA wanasaini.
John Mrema aliposema siku si nyingi watia nia wasikate...
No Reforms No Chadema.
Uchaguzi Mkuu uko palepale, Mwezi Octoba 2025.
Vyama zaidi ya 17 Vitashiriki, watanzania wote wanajiandaa kuwachagua viongozi wao hiyo October.
Mwaka 2024 wakati John Mrema akiwa ni sehemu ya viongozi wa CHADEMA Makao Makuu, walitoa kauli mbiu ambayo ilitumika kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa.
Kauli mbiu hiyo ya "WATAKE WASITAKE" ilikuwa inaashiria kumbukizi ya kilichotokea kwenye uchaguzi wa 2020 na kwamba kwenye uchaguzi wa 2024...
VIDEO:
@TunduALissu , na ukosefu wa haki katika uendeshaji wa siasa.
https://x.com/Jambotv_/status/1913827455850119224?t=JWa3mF0HEhHnqIvfLSZ0Jg&s=0
Hao ni RC kupitia Askofu Pissa, President wa TEC kwenye ibada ya Lindi
Hiyo ni KKKT -Morogoro
Vuguvugu la No Reforms No Elections ndilo...
Simbachawene Aijibu 'No Reform' ya CHADEMA: Tumeunda Tume Huru, Tukianza Heka Heka Hakuna Atakayebaki.
Dodoma: Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora George Simbachawene amesema, falsafa ya 4R ya Rais Samia Suluhu Hassan imesaidia kufanyika kwa...
Mlifanya maandamano na mikutano ya kufa mtu mkishinikiza serikali isiingie ubia na wawekezaji, mlijifanya nyie mnajua sana sheria kuliko mawakili wa serikali, kila inachokifanya serikali kwenu hakuna zuri.
Suala la mkataba wa Bandari ndilo lilimpa umaarufu Mwabukusi hadi leo amekuwa Rais wa...
Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Dk Rumeleza Nshala
Baada ya kukwepa kwenda kutia saini kanuni za maadili ya uchaguzi Aprili 12, 2025 jijini Dodoma, Chama hicho sasa kinasema haki ya kutia saini kanuni hizo bado ipo.
Kutosaini kanuni hizo kunatokana na msimamo wa Chadema kwa kutaka madiliko kabla...
Hivi kuna sababu gani kwa polisi wetu kutumika vibaya na CCM kwa kuteka, kukamata, kuumiza na kumbakia kesi ya uhaini Mh Tundu Lissu Mwenyekiti wa CHADEMA wakati tunaweza kushindana kwa hoja na hoja zinazoshinda ndizo zitoe mwelekeo wa taifa na nchi hii...
TUAMUE TU NA TUFANYE HIVI:
Tuwe na...
Hii slogan ni sawa na kisu kikali kinachotishia uhai wa washika mpini waliojisahau na kudhani wana haki miliki na Tanganyika..
Mwanzoni walidhani haitawezekana lakini sasa kisu hiki kimeanza kugusa nyama na makali yake yameanza kuwatisha sana hata kabla hakijaufikia mfupa! Au mshipa mkuu wa...
"Kama WanaChadema tulitumia HAKI yetu kukishauri Chama chetu kupitia (waraka maarufu wa G55), lakini mpaka sasa ni wazi Chama hakijakubaliana na ushauri wetu. Katika Demokrasia kuna wengi wape, wachache wasikilizwe.
Ukifanya Fact-Check wengi wanasema kwa sasa twende na #NoReformsNoElection...
Kwa Mara nyingine tena, Dola imethibitisha kua ndio inayokitumia chama Cha Mapinduzi kuendesha Nchi.
Adui wa Siasa Safi, Utawala wa Sheria na Maendeleo ya Watu ni DOLA inayokitumia CCM.
Mwl Nyerere alihakikisha anaunganisha Dola na CCM kua kitu kimoja.
CHADEMA inasema Bila Mabadiliko , Hamna...
Wakuu,
Polisi na CCM mnazidi kuboronga, mmeamsha dude, hamjifunzi kila wakati mnarudia kule kule!
====
Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma linadaiwa kuwazuia viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuendelea na mikutano yao, ikiwemo mikutano ya hadhara na mkutano na waandishi wa...
Baada ya uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka 2019 huku kukiwa na kumbukizi ya kufutwa kiharamu Kwa uchaguzi wa Zanzibar mwaka 2015, watanzania wengi wenye akili timamu walisema kuwa hawatashiriki kupiga kura tena kwenye maisha yao labda kama Sheria za uchaguzi zitarekebishwa.
Lakini mwaka 2020...
Samia ameingia madarakani kama Rais miaka minne iliyopita baada ya kifo cha Rais Magufuli. Mwezi october mwaka huu anategemewa kutangazwa tena na Tume ya Taifa ya uchaguzi (aliyoiunda yeye mwenyewe kuwa rais). Hata hivyo kuna ajenda ya chama cha CHADEMA ya No Reforms, No Election ambayo kama...
Ukiona mtu yeyote awe rafiki yako au ndugu yako anaepinga no reforms no election ujue ni aidha ananufaika moja kwa moja na mfumo uliopo (CCM) kama sivyo basi ujue huyo mtu HANA AKILI NA NI MJINGA wa kiwango Cha SGR.
Zifuatazo ni hoja walizonazo Wanaopinga no reforms no election ya chadema...
Tukiwaambia huko Lumumba hakukaliki muwe mnaelewa jamani.
CCM kupitia Katibu Mwenezi wake Taifa, Qmos Makalla wametangaza ziara ya kusini mwa nchi, mikoa ya Lindi na Mtwara kuanzia tarehe 10 mpaka 18 mwaka huu.
Hiyo ni baada ya kijiji anachozoa Tundu Lissu na John Heche huko kwenye ziara yao...
Asubuhi hii Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Tundu Lissu akiwasalimia wananchi wa kata ya Mangaka, Jimbo la Nanyumbu akiwa njiani kuelekea Namtumbo kuendelea na Operesheni #NoReformsNoElection.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.