no reforms no election

The Constitutional Reform Act 2005 (c. 4) is an Act of the Parliament of the United Kingdom, relevant to UK constitutional law. It provides for a Supreme Court of the United Kingdom to take over the previous appellate jurisdiction of the Law Lords as well as some powers of the Judicial Committee of the Privy Council, and removed the functions of Speaker of the House of Lords and Head of the Judiciary of England and Wales from the office of Lord Chancellor.

View More On Wikipedia.org
  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 No Reform No Election yaingia Jimbo la Mtama, Wananchi wamtaka Nape atafute kazi ya Kufanya, nafasi yake ya Ubunge haipo tena

    Hii ndio Taarifa ya sasa kutoka Jimbo la Mtama, Ambako Ile No Reform No Election inafundishwa muda huu. Baada ya Mkutano kuanza wananchi waliomba Nafasi ya Kumfuta Ubunge Nape Nnauye kwa Tuhuma za kushiriki wizi wa kura karibu kila mwaka wa Uchaguzi tangu alipoasisi bao la mkono, Uamuzi wa...
  2. H

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hakuna Watia Nia Waitwao G55, Watia Nia Wote Halali Wakubali Kwa Kauli Moja Kuweka Nguvu Kwenye NO REFORMs NO ELECTION

    Kuna habari zinasambaa eti kuna watia nia wa kugombea ubunge kupitia CHADEMA wanajiita G55, na wanadai kuwa wapo watia nia 200. Hawa watu ni waongo na matapeli. CHADEMA wana utaratibu wa kuwatambua watia nia kwa ngazi zote. Utaratibu wenyewe ni kama ifuatavyo: 1. Kwa ngazi ya ubunge, mwenye...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Godbless Lema: Lindi mna Waziri Mkuu Mweupe, Maisha yenu magumu

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema akiwa Lindi jana Aprili 3, amesema watu wa Lindi wana Waziri Mkuu mzuri, mweupe lakini watu wake wana maisha magumu sana, na kutaka wajue kwanini CHADEMA wanasema kama hakuna mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi watazuia Uchaguzi usifanyike. Kupata...
  4. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanaotaka kukwamisha operation ya chama ya "No Reforms no Election" wanaharibu Legacy ya Freeman Mbowe

    Katika operesheni za mwishonimwishoni chini ya uongozi wa Freeman Mbowe kama mwenyekiti wa chama ni hii operesheni ya No Reforms no Election. Operesheni hii ilipitishwa na vikao vyote vikuu vya chama kuanzia kamati kuu hadi mkutano mkuu Taifa, tena chini ya uenyekiti wa Mbowe. Kinachoshangaza...
  5. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 VIDEO: Freeman Mbowe akitangaza agenda ya No reform No Elections, G55 Wanadhihirisha ule ulikuwa ni mchezo wa maigizo wa Mbowe

    Kuna wakati Watanzania tunaanza kuamini Freeman Mbowe alizungukwa na vijana hatari sana huku yeye akila na kulala nao. Kama wanavyojitambulisha hawa vijana wanaojiita G55 ni vijana toka team iliyojitanabaisha kuwa ni team Mbowe wakati wa Uchaguzi wa ndani ya CHADEMA mapema mwaka huu. Kama...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu No reforms No election.

    No reforms No election ni kaulimbiu inayopanga kuzuia kufanyika uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025 ikiwa hakutakuwa na Reforms za Uchaguzi. Kwa hiyo itakuwa kama ifuatavyo:- 1. Wapinzani watazuia uchaguzi kwa nguvu. Kuzuia uchaguzi kwa nguvu kutasababisha pengine watu wengi kupata madhara makubwa...
  7. sonofobia

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waraka wa wagombea 2020 na watia nia wa ubunge 55 wa CHADEMA. Wapinga chama kususia uchaguzi mkuu

    Miongoni mwa sababu walizozitoa G-55 katika waraka huo ni pamoja kwamba wanaona haiwezekani kuzuia uchaguzi ikiwa si washiriki, badala yake wanapaswa kushiriki na kuzuia kwenye vituo vitakavyoonekana kufanyika ubadhilifu. Licha ya viongozi wakuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...
  8. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jinsi 'No reforms, No Election' itakavyoiua CHADEMA

    Huu ni wakati muhimu kwa vyama vya siasa kujipanga vyema, maana uchaguzi mkuu ni msimu wa mavuno—wakati wa kuuza sera kwa wananchi na kuona matokeo yake. Ukizubaa, umeliwa. Changamoto ipo kwa CHADEMA na kampeni yao ya "Bila Mabadiliko, Hakuna Uchaguzi." Kaulimbiu hii ni tamu, inavutia kisiasa...
  9. F

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Changamoto za "No Reforms No Elections"

    Ninavyoelewa mimi ni kuwa kama hapatakuwa na mabaliko katika mfumo na utaratibu wa chaguzi zetu basi hapatakuwa na uchaguzi. Kimsingi sio wazo baya ila panahiajika ufafanuzi. Nina mawazo yafuatayo: 1. Nani ataamua kuwa reform zilizofanyika ni za dhati na zitaleta kweli mabadiliko. K.m...
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA waendelea kutimkia CCM, Kingozi wa BAVICHA Songea ahamia CCM, aitaja 'No Reforms No Election' asema ni maneno ya vita

    Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma, Khalifa Mtukura amejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwa miongoni mwa wanachama 26 waliohama kutoka vyama vya upinzani. Mtukura ametangaza uamuzi huo wakati wa mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Emmanuel...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchome wa Chadema atangaza kugombea Ubunge bila kujali harakati za "no reforms, no election"

    Mwenyekiti mstaafu BAVICHA mkoa Kilimanjaro na Mwenyekiti wa wilaya ya Mwanga Lembrus Mchome ametangaza nia yake ya kugombea Ubunge bila kujali harakati za Chama chake, CHADEMA za kuzuia Uchaguzi kama hakutakua na Mabadikiliko. Kupitia ukurasa wake rasmi wa mtandao wa X, Mchome mwanachama wa...
  12. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche: Anayetafuta Hela Kupitia CHADEMA anaombwa Aondoke

    "Tumeenda Ikulu baada ya uchaguzi wa mwaka 2019 na 2020, kwa kauli ya Rais mwenyewe amesema yaliyojitokeza 2019 na 2020 hayatajirudia tena. Tumeshiriki kikao, Mwenyekiti Mbowe anatuongoza, tulikuwa na Mnyika na Kinana alikuwa anaongoza timu ya CCM na nyaraka tunazo, wakasema yaliyojitokeza...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Wagombea wa Ubunge CHADEMA kukusanya Saini milioni 15 kupinga Wizi wa Uchaguzi

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche amewataka wale wote wanaotaka kugombea ubunge kupitia chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 kuchukua fomu za maoni na kwenda nazo majimboni kwa ajili ya kukusanya saini za Watanzania. Kupata matukio na...
  14. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Lema ajitosa kugombea Ubunge, apinga ajenda ya 'No Reform, No Election'

    𝐋𝐄𝐌𝐀 𝐀𝐉𝐈𝐓𝐎𝐒𝐀 𝐊𝐔𝐆𝐎𝐌𝐁𝐄𝐀 𝐔𝐁𝐔𝐍𝐆𝐄 , 𝐀𝐏𝐈𝐍𝐆𝐀 𝐀𝐉𝐄𝐍𝐃𝐀 𝐘𝐀 "𝐍𝐎 𝐑𝐄𝐅𝐎𝐑𝐌𝐒, 𝐍𝐎 𝐄𝐋𝐄𝐂𝐓𝐈𝐎𝐍" Kupitia ukurasa wake wa Twitter (X), Godbless Lema ametangaza kuwa ameungana na wanachama wengi wa CHADEMA wanaopinga ajenda ya No Reforms, No Election. Lema ameweka wazi msimamo wake wa kushiriki kwenye uchaguzi...
  15. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche: Wewe unayesema twende kwenye uchaguzi bila mabadiliko unaiunga mkono CCM

    Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche ameeleza kuwa No reforms No election ni ya Watanzania wote ndiyo maana hadi viongozi wa dini wanaiongelea. Kama wewe huungi mkono mabadiliko maana yake unaiunga mkono CCM. Ikumbukwe kuwa kuna kundi huko CHADEMA limesema wao hawaungi mkono Ajenda hii na...
  16. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mnyika: Rais amewadanganya viongozi wa dini kuhusu mabadiliko ya uchaguzi, ataka kauli hiyo ipuuzwe

    Katibu mkuuwa CHADEMA, John Mnyika ameeleza kuwa Kauli aliyoitoa Rais Samia kwa viongozi wa dini kuhusu mabadiliko yaliyofanyika kwenye uchaguzi. Ameeleza kuwa kauli hiyo ipuuzwe na wadau waendelee na Ajenda ya No reforms No election
  17. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naunga mkono hoja ya Lissu kwamba Rais apewe miaka 3 ya mpito ili kufanya mabadiliko, kisha Uchaguzi ndio ufanyike

    Wazo la lissu ni mukide kabisa !! Rais apewe miaka mitatu ya mpito ili tufanye reforms za uhakika kuanzia katiba na maoni kwa wananchi kazi hii mpaka ikamilike itachukua sio chini ya miaka 3 !! Hii itakuwa ofa tu kwa mheshimiwa rais na baada ya hapo uchaguzi uitishwe sasa na akishinda anapiga...
  18. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Inavyoonekana hii imefanywa kuwa SIRI na inawindwa kwa udi na uvumba ijulikane kabla ya Oktoba

    Naona kabisa kuna mhaho wa kutaka kujua uchaguzi utazuiwaje usifanyike?. Na vinara wa kuhamasisha NO REFORMS, NO ELECTION(Lissu na Heche) hawana maneno mengi wanasema tu tena kwa kujiamini kabisa,"TUTAZUIA UCHAGUZI" halafu hawafafanui kiundani namna UCHAFUZI utakavyozuiliwa🤣🤣🤣🤣🤣 Ngoja niingie...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mtu akıkwambia No reforms no election mjibu Reforms zimeshafanyika na uchaguzi utafanyika

    Mtu anakwambia no reforms wakat reforms zimeshafanyika na bunge lilipitisha sheria tatu hivi karibuni ikiwemo sheria ya tume ya taifa ya uchaguzi na sheria ya vyama vya siasa, we kama hukusikiliza ulikuwa ulaya shauri yako Reforms zimeshafanyika na uchaguzi utafanyika kama alivyosema namba moja...
  20. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtu akıkwambia No reforms no election Mjibu Reform zimeshafanyika na uchaguzi utafanyika

    Mtu anakwambia no reforms wakat reforms zimeshafanyika na bunge lilipitisha sheria tatu hivi karibuni ikiwemo sheria ya tume ya taifa ya uchaguzi na sheria ya vyama vya siasa, we kama hukusikiliza ulikuwa ulaya shauri yako Reforms zimeshafanyika na uchaguzi utafanyika kama alivyosema namba moja...
Back
Top Bottom