no reforms no election

The Constitutional Reform Act 2005 (c. 4) is an Act of the Parliament of the United Kingdom, relevant to UK constitutional law. It provides for a Supreme Court of the United Kingdom to take over the previous appellate jurisdiction of the Law Lords as well as some powers of the Judicial Committee of the Privy Council, and removed the functions of Speaker of the House of Lords and Head of the Judiciary of England and Wales from the office of Lord Chancellor.

View More On Wikipedia.org
  1. Huihui2

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA kajiandikisheni kwenye vituo, hiyo No Reforms No elections, ni kukubali kushindwa

    Chadema wapo busy na "no reform no election" mara Matone ya mvua na mambo mengine ya hovyo hovyo halafu baadae waje kusema wameibiwa kura. Kwanza Huku kwetu wananchi wanajiandikisha kama kawaida hapa ndio nakuja kuamini kumbe hata Hawajulikani. Chadema wapo busy na "no reform no election" mara...
  2. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Joseph Mbilinyi: Tunapush "No Reforms, No Election' kwani lengo ni kugombea kwenye Uchaguzi

    Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amesema licha ya kutokuwa sehemu ya uamuzi wa kugawa jimbo hilo, lakini ni miongoni mwa wanaosubiri mchakato huo kukamilika, huku akikanusha taarifa za kuwa hatagombea. Pia, amesisitiza anachosubiri ni uamuzi wa Tume Huru ya Taifa ya...
  3. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amani Golugwa: Kuhusu kushiriki zoezi la kujiandikisha uchaguzi iulizwe Tume, hawakujibu barua yetu

    Wakuu, CHADEMA kupitia Naibu Katibu Mkuu CHADEMA Bara, Amani Golugwa wamegusia kuhusu zoezi la kujiandikisha na kuboresha taarifa kwenye daftari la mpiga kura ambapo wanasema waliletewa barua na Tume watoe maoni kwenye kanuni kadhaa ambazo walikuwa wamepelekewa na waliijibu tume kwa barua...
  4. I

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbivu na Mbichi Kujulikana Baada ya Kikao Cha CHADEMA na Ofisi Ya Msajili wa Vyama Vya Siasa

    Mkutano kati ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Msajili wa Vyama vya Siasa unatarajiwa kuwa na matokeo muhimu katika mchakato wa kisiasa nchini Tanzania. Msajili wa Vyama vya Siasa ana majukumu ya kusajili na kufuta vyama vya siasa, kuratibu shughuli za Baraza la Vyama vya Siasa...
  5. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mnyika aeleza walichozungumza na Msajili wa Vyama Vya Siasa kwenye kikao chao. Asimamia ajenda yao ya No Reforms No Election

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) leo, Jumanne Machi 18.2025 kimemueleza Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusiana na msimamo wake wa 'No Reform, No Election' Akizungumza na wanahabari nje ya viunga vya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa muda mfupi baada ya kutoka kwenye ofisi hizo...
  6. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuihoji CHADEMA kuhusu No reforms No election ni Akili ndogo

    Wakati mwingine kwenye hii nchi watu wanaoongoza kufanya vituko vinavyokataliwa kimantiki na Sheria ni wanasheria, tena wanasheria wabobevu. Sasa msajili wa vyama vya siasa kuwaita CHADEMA kuwahoji kuhusu kauli mbiu Yao ya No reforms No Election siyo matumizi mabaya ya muda kweli? Soma Pia...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa uongozi wa Lissu na Heche umeshindwa kufanya mambo ya msingi yafuatayo

    Nataka nitangaze kuwa naunga mkono msimamo wa Chama cha CHADEMA wa NO REFORMS NO ELECTION na pia nauunga mkono uongozi wa sasa wa CHADEMA wa Mwenyekiti Lissu na Makamu wake (bara) John Heche. Uongozi huu umeleta energy mpya, matumaini mapya na imani mpya kwa wananch, hata hivyo kuna mambo kadha...
  8. Parabolic

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kabla ya kuuliza Chadema watazuiaje uchaguzi, jiulize uchaguzi utafanyikaje kwa hali hii?

    Tangu Chama cha Demokrasia na Maendeleo kilipotangaza kauli mbiu yake ya No reforms No Election ikimaanisha hakuna mabadililiko hakuna uchaguzi, kumekuwa na maoni tofauti ya utekekelezaji wa kauli mbiu hiyo. Baada ya uongozi mpya kuingia chini ya Tundu Lissu, msisitizo umekuwa sio tu kususia...
  9. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 UVCCM Dodoma: No reforms No election ni kuingilia kazi ya tume

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) mkoa wa Dodoma, Abdulhabib Mwanyemba amesema baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani ambao wamekuwa wakijinasibu na kudai ‘No Reform, No Election’ ni waongo, akidai kuwa hufanya vikao vya siri vya kuwaandaa watu kugombea nafasi...
  10. Bams

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali Za Mitaa Ilikuwa Sauti Ya Mungu Kudhihirisha Uharamia wa CCM. Watanzania Tuamke

    Kuna wakati, mambo mabaya hutokea yakiwa yamebeba dhamira njema. Watu wa imani wanalifahamu hili. Yawezekana ukawa unataka kusafiri kwa basi, usiku ukaugua ghafla, ukasikitika sana kwa sababu hutaweza kusafiri. Lakini basi hilo hilo ulilotaka kusafiri nalo likapata ajali. Wewe ukawa umesalimika...
  11. lutemi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hii ndiyo faida ya No Reforms No Election

    MHESHIMIWA RAIS MUNGU AKIKUPA NAFASI HUWA HAIJIRUDII MARA MBILI na KUMBUKA kwamba anataka wakati wote utumie uta wala wako kwa hekima. 1. Ipe ZANZIBAR UHURU KAMILI kwa kuandika KATIBA ambayo uliisimamia (Zanzibar una wajukuu zako, una makaburi ya ndugu zako, Mila na desturi zote zipo ZANZIBAR)...
  12. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chama cha NLD chatangaza kushiriki Uchaguzi Mkuu. Katibu atangaza chama kitagawa fomu bure kwa wataotaka kugombea

    Wakuu, CHAMA cha National League for Democrats (NLD) ,leo jumapili kimetangaza kuanza kwa mchakato wa ndani ya chama wa kuwapata wagombea wa nafasi za Udiwani, Ubunge na Rais kuelekea Uchaguzi Mkuu, utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu. Aidha chama hicho kimetangaza neema kwa wagombea...
  13. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video: Huyu kijana wa UVCCM ametoa wapi nguvu ya kumkanya Tundu Lissu namna hii? No Reform No Elections inawauma sana CCM

    Wakuu, Nimekutana na hii video clip ya Mjumbe Wa Baraza Kuu La Umoja Vijana Wa CCM Taifa Victor Makundi akizungumzia ajenda ya No Reform No Election ya Tundu Lissu. Kijana mdogo kama huyu anapata wapi nguvu ya kuiita CHADEMA chama cha Kicoba? Confidence hii anatoa wapi...
  14. McLaren

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Zungu: CHADEMA inaenda kuleta mgogoro kati ya raia na polisi

    Akiwa anachambua kauli ya No Reforms No Election, Zungu ambaye ni mchambuzi maarufu wa siasa nchini amesema na mtangazaji wa kipindi cha Morning Bantu cha ST Bongo amesema: "Kama walichokizungumza CHADEMA kitaenda kufanikiwa basi inaenda kuleta ugomvi kati ya raia na vyombo vya dola,kwasababu...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Hatutasusia Uchaguzi, tutazuia uchaguzi kwa nguvu ya Umma, sio bila mabadiliko hatutashiriki uchaguzi

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa Tundu Lissu akizungumza wakati wa mkutano kati ya CHADEMA na Jukwaa la Wahariri (TEF) unaofanyika siku ya Jumapili Machi 2, 2025 Makao Makuu ya CHADEMA, Dar es Salaam Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa...
  16. A

    JamiiForums Tanzania No reforms No election ni project nzuri lakini ngumu mno. Plan B & C ni ipi?

    Wana madai ya Msingi sana. UHALISIA ULIVYO Kiukweli mazingira yaliyopo kwasasa katika chaguzi zetu hayatoi nafasi kwa upinzani kushinda nafasi yeyote ile isipokuwa kwa hisani, huruma au utashi wa CCM yenyewe.... Hili lilishasemwa sana sitaki nirudie. Kukubali Uchaguzi katika...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Wapo wana CCM wanaounga mkono 'no reforms no election'

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema wapo baadhi ya wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wanaounga mkono kauli ya chama hicho ya bila mabadiliko hakuna uchaguzi inayojulikana kama 'no reforms no election'. Akizungumza katika mahojiano na chombo kimojawapo cha habari nchini Heche...
  18. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Tumemweleza Balozi wa Norway kuhusu hali ya kisiasa nchini na sera yetu ya "Bila Mabadiliko Hakuna Uchaguzi"

    Wakuu, Hatimaye Tundu Lissu amefichua alifhoenda kuzungumza na Balozi wa Norway: Lissu kupitia ukurasa wake wa X amesema: "Balozi Tine Tonnes wa Norway ametukaribisha kwa mazungumzo kwenye makazi yake rasmi mjini Dar. Tumepata fursa ya kumweleza Balozi Tonnes juu ya hali ya kisiasa nchini na...
  19. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025 utafanyika kwa amani na utulivu sana, CHADEMA hawataambulia kitu chochote, wapuuzwe tu!

    October ya mwaka huu 2025, ndio mwezi wa uchaguzi wa Tanzania kwa mujibu wa katiba. Ni wasaa muhimu sana kwa vyama vya siasa kote nchini kujiandaa vizuri kisera na kwa hali na mali ili hatimae kushiriki kikamilifu tendo hilo muhimu la kidemokrasi kwa mujibu wa katiba. Vipo vyama mbalimbali vya...
  20. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Njia zimebaki mbili tu kuhusu Uchaguzi Mkuu 2025

    Nashukuru sana wanasiasa mahiri walio saidia kurahisisha ujumbe na inazidi kuwa ngumu kwa matapeli kudanfanya tena. Tuna chaguo mbili tu! Hakuna chaguo la tatu 1. Kama una amini chaguzi za 2019,2020 na 2024 zilikuwa na huru na haki. Wewe basi pigania kupiga kura 2. Kama una amini chaguzi za...
Back
Top Bottom