no reforms no election

The Constitutional Reform Act 2005 (c. 4) is an Act of the Parliament of the United Kingdom, relevant to UK constitutional law. It provides for a Supreme Court of the United Kingdom to take over the previous appellate jurisdiction of the Law Lords as well as some powers of the Judicial Committee of the Privy Council, and removed the functions of Speaker of the House of Lords and Head of the Judiciary of England and Wales from the office of Lord Chancellor.

View More On Wikipedia.org
  1. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu ashtakiwa kwa Uhaini, arudishwa rumande, kesi yake kusikilizwa Aprili 24, 2025

    Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu imepigwa kalenda hadi Aprili 24, 2025. Lissu alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kusomewa mashitaka 3 ikiwemo uhaini na kuchapisha taarifa za uongo kwenye mtandao wa kijamii wa...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche atoa msimamo wa CHADEMA kukamatwa kwa Lissu, adai ni njama ya kuzuia harakati za 'No Reforms No Election'

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelaani vikali kile ilichokiita kukamatwa kwa Mwenyekiti wake Taifa, Tundu Lissu, kikieleza kuwa hatua hiyo ni matumizi makubwa ya nguvu na inalenga kuzuia harakati za kudai mageuzi ya kisiasa kupitia kampeni ya No Reforms No Election. Akizungumza...
  3. Metronidazole 400mg

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mikutano ya CHADEMA yazuiwa hakuna ruhusa ya kujadili masuala yanayohusu kampeni ya "No reforms, no election"

    Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma linadaiwa kuwazuia viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuendelea na mikutano yao, ikiwemo mikutano ya hadhara na mkutano na waandishi wa habari uliopangwa kufanyika Alhamisi saa 5 asubuhi. Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, amesema...
  4. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania No reforms No Election ni wazo la watanzania na siyo CHADEMA

    Baada ya uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka 2019 huku kukiwa na kumbukizi ya kufutwa kiharamu Kwa uchaguzi wa Zanzibar mwaka 2015, watanzania wengi wenye akili timamu walisema kuwa hawatashiriki kupiga kura tena kwenye maisha yao labda kama Sheria za uchaguzi zitarekebishwa. Lakini mwaka 2020...
  5. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 No Reforms no Election ni kwa manufaa ya kisiasa kwa Samia kama akitafakari vyema na kuifanyia kazi

    Samia ameingia madarakani kama Rais miaka minne iliyopita baada ya kifo cha Rais Magufuli. Mwezi october mwaka huu anategemewa kutangazwa tena na Tume ya Taifa ya uchaguzi (aliyoiunda yeye mwenyewe kuwa rais). Hata hivyo kuna ajenda ya chama cha CHADEMA ya No Reforms, No Election ambayo kama...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 No Reform No Election yaingia Mbamba Bay, Hakika Siku ya Mwisho kila goti litapigwa

    Haya maeneo ambayo Chadema inapita kwenye Kanda ya Kusini ikiwemo Mbamba Bay, yalijaa watu walioamini kwamba CCM ni dini, na kwamba ukiondoka ccm utahukumiwa na Mungu siku ya kiama. Kazi inayofanywa na Chadema ni kazi iliyotukuka, ni kama kuwaondoa Wananchi hawa kwenye Makaburi meusi ya fikra...
  7. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwabukusi afunguka mazito atoa msimamo wa TLS''hatumuogopi mtu'' agusia no reform no election

    09 April 2025 MWABUKUSI AFUNGUKA MAZITO ATOA MSIMAMO WA TLS ''HATUMUOGOPI MTU'' AGUSIA NO REFORM NO ELECTION https://m.youtube.com/watch?v=zFB3QFtmK3w TLS ni mshauri wa umma people's power wakati mwanasheria mkuu ni mshauri wa serikali afafanua rais wa TLS mwanasheria msomi Boniface...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Mkuu Majaliwa: Reforms zimeimarisha hali ya demokrasia nchini

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amesema hali ya siasa na utekelezaji wa demokrasia nchini umeendelea kuimarika kutokana na maboresho ya mifumo na jitihada mbalimbali zinazofanywa na Serikali. Majaliwa ameyasema hayo leo Jumatano, Aprili 9, 2025, jijini Dodoma...
  9. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu ataja mambo wanayoyataka ili CHADEMA ishiriki uchaguzi

    Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chadema, amesema chama chake hakitashiriki Uchaguzi Mkuu ujao bila kufanyika mabadiliko sita muhimu ya mfumo wa uchaguzi, akisisitiza kauli yao ya “No Reforms, No Election” akiwa katika Operesheni ya Kanda ya Kusini wilayani Namtumbo, Ruvuma. Mambo hayo sita ni...
  10. HenrysoN

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Mbinu 10 za kimkakati za kuibua mageuzi ya kweli Tanzania – kwa Hekima, Busara, na Uswahiba na Wananchi

    Utangulizi. Katika mazingira ya sasa ya kisiasa nchini Tanzania, ambapo vyombo vya dola hutumika kudhibiti maandamano, vyombo vya habari vinakandamizwa, na wanasiasa wa upinzani hukumbwa na vitisho, utekaji na hata mauaji—ni muhimu sana kwa vyama vya upinzani, hasa CHADEMA, kuangalia upya mbinu...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwita: 'No Reforms, No Election' Tunayoijua haikusema tususie Uchaguzi!

    "Demokrasia ndio inayowafanya mrudi mzungumze na katika kuzungumza mnapata jambo moja. CHADEMA ni taasisi ambayo inaongozwa na instrument's mbalimbali, lakini instrument namba moja inayoongoza ni Katiba ya CHADEMA ambayo imesajiliwa kwa Msajili wa vyama vya siasa, ndio mwongozo namba moja wa...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche anyimwa Uwanja Tunduru, alazimika kufanya Mkutano kando ya Barabara

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche leo Aprili 8, 2025, amelazimika kufanya mkutano wake nyumbani kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Tunduru Kaskazini Mzee Mandunda Mandunda, kilomita 2 kutoka mjini baada ya kukosa uwanja wa...
  13. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lembrus Mchome: Tundu Lissu hana tofauti na Magufuli ni dikteta uchwara

    Kiongozi wa Chadema wa Wilaya ya Mwanga ameeleza waandishi wa habari kwamba Lissu ni dikteta sawa na JPM. Mchome ameeleza hayo wakati akiongea na waandishi wa habari. Mchome amelalamika chama chake kushindwa kuifanyia kazi barua yake ambayo inaonyesha Mnyika, Golugwa na wengine kwamba...
  14. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Sikumuelewa Lissu na wala sikumuunga mkono awe Mwenyekiti lakini sasa nakubaliana naye 100%

    Waliosema muda ni mwalimu mzuri wala hawakukosea, wakati wa mchakato wa kumpata mwenyekiti wa Chadema sikutaka Lisu ashinde niliunga mkono Mbowe atosha. Lakini kama unavyojuwa muda sasa unaongea kumbe siasa za maridhiano ni mradi wa watu wachache chamani huku Watanzania wengi wakiendelea...
  15. Emilio Mzena

    JamiiForums Tanzania Hofu ya no reforms no election; Amos Makalla atangaza ziara ya kusini

    Tukiwaambia huko Lumumba hakukaliki muwe mnaelewa jamani. CCM kupitia Katibu Mwenezi wake Taifa, Qmos Makalla wametangaza ziara ya kusini mwa nchi, mikoa ya Lindi na Mtwara kuanzia tarehe 10 mpaka 18 mwaka huu. Hiyo ni baada ya kijiji anachozoa Tundu Lissu na John Heche huko kwenye ziara yao...
  16. figganigga

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kanda ya kusini: Angalia Mangaka walivyo Mpokea Tundu Lissu. No reforms no Election

    Asubuhi hii Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Tundu Lissu akiwasalimia wananchi wa kata ya Mangaka, Jimbo la Nanyumbu akiwa njiani kuelekea Namtumbo kuendelea na Operesheni #NoReformsNoElection.
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: Uchaguzi hautafanyika wananchi mkakubaliana na msimamo wetu mkaandamana siku ya uchaguzi

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amesema siku ya uchaguzi mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu, chama hicho kitaitisha maandamano ya kuuzuia uchaguzi usifanyike. Kauli hiyo ya Lissu, inajibu swali kuhusu mbinu ambayo chama hicho itaitumia kuzuia uchaguzi...
  18. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, Hoja ya No Reforms no Election ikipuuzwa, inaweza kuibua upya madai ya Tanganyika?

    Hellow! Kuna mfumo usioonekana unazidi kuleta mtikisiko mkubwa unaoibua hisia za mabadiliko ya kimfumo mwaka huu, Narudia kusema, CCM imekosea sana kutaka kufanya uchaguzi wa mwaka huu kuwa ni uchaguzi wa ngwe ya pili ilhali huu ni uchaguzi mpya, ilani ni mpya. Uchaguzi ni mpya, na mambo hayo...
  19. figganigga

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 ‘Bon Yai’ Meneja Kampeni wa Freeman Mbowe, ajiunga na Kambi ya Tundu Lissu.. No reforms, no Election

    BONI YAI ABADILISHA GIA ANGANI? Boniface Jacob aka Boni Yai, ambaye alikuwa Meneja Kampeni wa Freeman Mbowe na ni mtu wake wa karibu, amefanya maamuzi kuonyesha kuwa anasimama na uongozi wa Tundu Lissu kwenye No Reforms, No Election. Wafuasi wa Mbowe wamekuwa wanatumiwa na mfumo kuihujumu...
  20. figganigga

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kanda ya kusini: Wananchi wa Naipanga wasimamisha Msafara wa Tundu Lissu wasalimiane

    Wananchi wa Naipanga, jimbo la Nachingwea wasimamisha msafara wa Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @TunduALissu uliokuwa unaelekea Masasi. Mwenyekiti akasimama kuwasalimia wananchi hao. #NoReformsNoElection
Back
Top Bottom