The Constitutional Reform Act 2005 (c. 4) is an Act of the Parliament of the United Kingdom, relevant to UK constitutional law. It provides for a Supreme Court of the United Kingdom to take over the previous appellate jurisdiction of the Law Lords as well as some powers of the Judicial Committee of the Privy Council, and removed the functions of Speaker of the House of Lords and Head of the Judiciary of England and Wales from the office of Lord Chancellor.
Lissu amekuwa failure katika ajenda yake ya kwanza akiwa kiongozi wa chadema. Mzee Butiku anasema uchaguzi ni jambo takatifu. Haliwezi kuzuiwa.
https://youtu.be/moFRPTLZiJ0?si=wXKDmukBjuS9eenO
Nimeota ndoto ya No election no reform na G55.
Sina uchama ila ni mtu wa maombi na nilisikitika Sana kuona mpasuko ndani ya chama Cha chadema. Nilichoonyeshwa ni kama ifuatavyo
1. Walio nyuma na G 55 ni kaka mkubwa mstaafu ,wazee wa mfumo wa kijani . dhumuni ni kumpa kaka mkubwa nafasi...
Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa CHADEMA Jimbo la Arusha Mjini, Emanuel Zakaria maarufu kama Baba Bony, ametoa onyo kali kwa kundi la G- 55 ambalo linapinga msimamo rasmi wa chama hicho wa "No Reforms, No Election" kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025.
Akizungumza mara baada ya tamko la aliyekuwa...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema, amesema anapanga kuweka hadharani majina ya vigogo wanaodaiwa kuwa nyuma ya pazia la sakata la G-55, akibainisha kuwa baadhi yao wamekuwa wakinufaika kifedha kupitia mradi huo huku wengine wakitumika kama...
Viongozi wa dini mkoani Kagera wamelaani na kukemea vikali kauli ya Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Lisu aliyoitoa akihamasisha uasi na kuvuruga uchaguzi mkuu ujao.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread...
Wanabodi,
Mungu na Shetani
Hiii ni moja ya Mada zangu za holistic approach zinazotumia dhana dhanifu ya Mungu na shetani。
Hii ni mada fikirishi.
Outline.
Utangulizi
Declaration of Interest
Holistic Approach
Mungu na Shetani ni nani na wako wapi.
Mpango wa Mungu na Mpango wa Shetani.
No Reform...
https://youtu.be/--J45XU5LAs?si=_xbKbAZN1lVA2KpD
Mh. Tundu Lisu ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema ameeleza kwa undani na urahisi sana mabadiliko 6 ambayo Chadema inadai, Katika mkutano wa leo wa uliofanyika Nachingwea.
Sikliza kwenye link hiyo kuanzia dakika ya 27
Naomba CHADEMA Media...
https://youtu.be/jTqkxc2Tb1M?si=Fg9Jj9oj4OED-XMS
➡Waonywa kuwa, kama wamekula hela za CCM watazitapika maana
➡Wasema, G55 ni kitu gani mbele ya taasisi kubwa kama CHADEMA?
➡Wapewa nafasi ya kujirudi na kutubu ili chama kiwasamehe vinginevyo, watasagawa sagwa na jiwe kuu la pembeni - taasisi...
Hii ndiyo tafsiri ya No Reforms No Election iliyowekwa enzi za Mbowe
Sasa ninyi G55 chini ya uongozi wa Mrema tafsiri yenu mmepata wapi?
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania...
Ruangwa imeitwa ikaitika, Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Tundu Lissu akizungumza na wananchi wa Ruangwa Alasiri ya leo tarehe 06 Aprili 2025, ikiwa mwendelezo wa Operesheni #NoReformsNoElection Kanda ya Kusini.
Friends and Our Enemies,
Kwa kinachoendelea hivi sasa ndani ya CHADEMA ni kitu ambacho kilionelana tokea mwanzo kabisa kuwa kinakuja kutokea,nacho ni MPASUKO...
Hatuwezi kufurahia MPASUKO huo ndani ya CHADEMA,lakini ni SUALA lisilojificha TENA.
Bad Lucky or Good lucky hii ni nchi ya...
Wakuu,
John Mrema ameendelea kutoa cheche kuhusiana na msimamo wa CHADEMA wa kuzuia Uchaguzi, akisema kuwa agenda ilianza mwaka 2020 January na haikuanza mwaka 2024 kama ambavyo baadhi ya watu wamekuwa wakipotosha
Aliongeza kuwa Mbowe hakuwahi kusema kuwa CHADEMA itazuia Uchaguzi na hivyo...
Mtu yeyote anayewahubiria watu kuwa hakutakuwa na uchaguzi, huyo mtu ni tapeli.
Ni kwamba uchaguzi utakuwepo
Watu wataamka wataenda kupiga kura na matokeo yatatangazwa. Na maisha yataendelea.
Ushauri wangu Chadema washiriki uchaguzi kwenye mazingira hayo hayo na matendo yatakayotokea ndio yawe...
CCM wanafahamu kwamba huo wito ukiitikiwa na wananchi, Idadi ya watakao jitokeza kupiga kura itakuwa ni sawa na zero, au Negligible kabisa, hivyo itawawaacha uchi kwa matokeo wanayopika kila siku.
Kwa kufahamu hilo wana itaka CHADEMA ishiriki uchaguzi ili kutimiza ndoto za wizi wao.
Nami...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tawi la Msimbazi (maarufu Msimbazi Mama) kimemtaka mqanachama wa Chama hicho, Patrick John Asenga kuwasilisha barua ya kujieleza kufuatia taarifa mbalimbali ambazo Mwanachama huyo amezitoa kwenye mitandao ya kijamii akionesha kwenda kinyume na msimamo na...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Godbless Lema amewataka polisi kushiriki harakati za kudai haki na kukataa kutekeleza amri au maagizo yasiyo ya haki wanayopewa na viongozi wao.
Kwa upande wa John Heche: Posho siku moja tu Bungeni tulikuwa tunalipwa laki nne...
Hii ndio Taarifa ya sasa kutoka Jimbo la Mtama, Ambako Ile No Reform No Election inafundishwa muda huu.
Baada ya Mkutano kuanza wananchi waliomba Nafasi ya Kumfuta Ubunge Nape Nnauye kwa Tuhuma za kushiriki wizi wa kura karibu kila mwaka wa Uchaguzi tangu alipoasisi bao la mkono, Uamuzi wa...
Kuna habari zinasambaa eti kuna watia nia wa kugombea ubunge kupitia CHADEMA wanajiita G55, na wanadai kuwa wapo watia nia 200. Hawa watu ni waongo na matapeli.
CHADEMA wana utaratibu wa kuwatambua watia nia kwa ngazi zote. Utaratibu wenyewe ni kama ifuatavyo:
1. Kwa ngazi ya ubunge, mwenye...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema akiwa Lindi jana Aprili 3, amesema watu wa Lindi wana Waziri Mkuu mzuri, mweupe lakini watu wake wana maisha magumu sana, na kutaka wajue kwanini CHADEMA wanasema kama hakuna mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi watazuia Uchaguzi usifanyike.
Kupata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.