The Constitutional Reform Act 2005 (c. 4) is an Act of the Parliament of the United Kingdom, relevant to UK constitutional law. It provides for a Supreme Court of the United Kingdom to take over the previous appellate jurisdiction of the Law Lords as well as some powers of the Judicial Committee of the Privy Council, and removed the functions of Speaker of the House of Lords and Head of the Judiciary of England and Wales from the office of Lord Chancellor.
Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Dk Rumeleza Nshala
Baada ya kukwepa kwenda kutia saini kanuni za maadili ya uchaguzi Aprili 12, 2025 jijini Dodoma, Chama hicho sasa kinasema haki ya kutia saini kanuni hizo bado ipo.
Kutosaini kanuni hizo kunatokana na msimamo wa Chadema kwa kutaka madiliko kabla...
Taarifa ndio kama mlivyosikia, kwamba ule moto wenye Neema wa No Reforms No Election sasa unaingia Kanda ya Pwani.
Mungu hakuumba watu wa Dar ili wale Mihogo, utumbo na Miguu ya kuku, Hiyo ni kazi ya Shetani, kuchagua chawa badala ya wananchi si kazi ya Mungu
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, anasema chama hicho bado kina nafasi ya kushiriki kwenye uchaguzi mkuu wa 2025, na kwamba kutosaini kanuni za maadili hakuwaondoi kikatiba kushiriki uchaguzi, kwani hakuna muda wa mwisho wa kusaini — wanaweza kufanya hivyo siku yoyote watakayotaka...
Wajumbe wa Mkutano Mkuu waliokaa tarehe 14 April Mwaka 2025 Jimbo la SEGEREA kwa pamoja wamemfukuza aliyekua Mwenyekiti wao wa Jimbo hilo Bw. Patrick Asenga kwenye kikao kwa kuwa ni sehemu ya watu wanaopinga ajenda ya CHADEMA inayoitwa NO REFORMS NO ELECTION.
Kupata matukio na taarifa zote kwa...
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro, ametoa wito kwa Watanzania wote kuwapuuza wanasiasa wanaowashawishi kutoshiriki katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, akisisitiza kuwa haki ya kushiriki uchaguzi ni ya kikatiba kwa kila Mtanzania mwenye vigezo.
Akizungumza Aprili 14, 2025 katika...
Katibu wa NEC anayeshughulikia Itikadi, Uenezi na Mafunzo ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla, ameielezea CHADEMA kuwa haina dira ya kisera inayoweza kuwasaidia wananchi, zaidi ya kutegemea maneno na misaada ya kifedha kutoka kwa wanachama wake.
Akihutubia mkutano wa hadhara...
Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika TLS, Wakili Boniface Mwabukusi ameeleza kusikitishwa na tafsiri ya sheria inayochukuliwa na Tume huru ya Taifa ya uchaguzi, akisema hakuna sheria inayozuia Chama cha siasa kushiriki uchaguzi kwa kutosaini Kanuni za maadili ya uchaguzi.
Kupitia ukurasa...
Ukweli ni kwamba tunahitaji mabadiliko ya kanuni na sheria za uchaguzi. Hatuwezi kuwa conservative. Kwanini hawa jamaa hawataki mabadiliko?
Hivi kweli unaweza ukawa na mfumo kama huu ukasema una uchaguzi huru na haki?
Chadema mlichelewa sana kuamua jambo hili. Lakini siyo mbaya kwasasa...
Katibu wa Itikadi, Uenezi na mafunzo wa CCM, Amos Makalla wakati akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi katika Uwanja wa Maulid ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake katika mikoa ya Lindi na Mtwara, amesema;
"Mko tayari kwa uchaguzi...Niwaombe muda utakapofika mkiunge mkono...
Na:Mathias Byabato
Binafsi uwa siandiki sana kuhusu mambo ya siasa. Leo nimeona nisaidie muktadha kadri ya uelewa wangu. Kwa watu wanaojua mantiki na umuhimu demokrasia katika taifa lolote wanajua hasara kadhaa zitazojitokeza iwapo itasalia hivi hivi Kwa chadema kutoshiriki uchaguzi wowote 2025...
Katika kila kona ya nchi yetu—kutoka mijini hadi vijijini, kutoka kwa masikini hadi matajiri—Watanzania tumekuwa tukilalamika, tukilia kimya kimya, tukibeba maumivu ya mfumo kandamizi usiowajali wananchi. Mfumo huu hauwaheshimu wapiga kura, hauzingatii Katiba, na huwahukumu wanaodai mabadiliko...
No Reforms No Election ya Ndugu Tundu Antipas Lissu imejiziika RASMI leo kwani hata Serikali ya awamu ya Sita ikileta Reforms nzuri kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Rais Wabunge na Madiwani 2025,ni RASMI kuwa Chadema hawawezi kushiriki Uchaguzi Mkuu wowote wa INEC mpaka mwaka 2030
Tume ya Huru ya...
Tangu kuchaguliwa kwa Lissu na kuja na Falsafa ya NO REFORM NO ELECTION sijaandika uzi hapa jamvini,Leo baada ya CHADEMA kutoshiriki utiwaji wa saini katika kanuni za Uchaguzi kitendo kinachowaweka CHADEMA kuwa nje moja kwa moja kushiriki Uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025 nimeona nitie neno fupi...
Hii slogan ni sawa na kisu kikali kinachotishia uhai wa washika mpini waliojisahau na kudhani wana haki miliki na Tanganyika..
Mwanzoni walidhani haitawezekana lakini sasa kisu hiki kimeanza kugusa nyama na makali yake yameanza kuwatisha sana hata kabla hakijaufikia mfupa! Au mshipa mkuu wa...
Ndugu zangu Watanzania,
CHADEMA wanashangaza sana, wanasikitisha sana, wanatia aibu sana, wanaleta maswali yasiyo na majibu na kuonyesha namna ambavyo bado ni chama kichanga na chenye Ombwe la uongozi na viongozi. Inaonyesha ni chama kilichokosa viongozi na uongozi wa kuonyesha njia na muelekeo...
"Kama WanaChadema tulitumia HAKI yetu kukishauri Chama chetu kupitia (waraka maarufu wa G55), lakini mpaka sasa ni wazi Chama hakijakubaliana na ushauri wetu. Katika Demokrasia kuna wengi wape, wachache wasikilizwe.
Ukifanya Fact-Check wengi wanasema kwa sasa twende na #NoReformsNoElection...
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA Amos Makalla, amesema Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepumzika.
Ameyasema hayo Aprili 10, 2025, wakati akizungumza na wananchi wa Kata ya Somanga, mkoani hapa mara baada ya kukagua maendeleo ya Daraja la Somanga-Mtama...
Mbunge wa Geita Vijijini, Mhe. Joseph Musukuma, amesema kuwa kampeni ya No Reforms No Election inayoendeshwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) haina nafasi ya kufanikiwa kwa sababu haina uwezo wa kuzuia uchaguzi mkuu. Aidha, amedai kuwa kuna mipango inayoendelea ndani ya chama hicho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.