no reform no election

The Constitutional Reform Act 2005 (c. 4) is an Act of the Parliament of the United Kingdom, relevant to UK constitutional law. It provides for a Supreme Court of the United Kingdom to take over the previous appellate jurisdiction of the Law Lords as well as some powers of the Judicial Committee of the Privy Council, and removed the functions of Speaker of the House of Lords and Head of the Judiciary of England and Wales from the office of Lord Chancellor.

View More On Wikipedia.org
  1. Erythrocyte

    Mbarali nayo yapata Neema ya No Reform No Election, Wananchi Wavimba kwa Furaha

    Hii ndio Taarifa Mpya ya leo kutoka Kanda ya Nyasa, kwenye vile vinavyoitwa vipora vilivyosalia. Wananchi wote wa Mbarali wakiwemo wanaccm wamekubaliana na hoja ya Chadema ya No Reform No Election. Cha kufurahisha ni kwamba, Hata Polisi waliposikia hoja kuhusu Kikokotoo walishangilia. Hali...
  2. LIKUD

    Jinsi kampeni ya " NO REFORM NO ELECTION" inavyo prove ubovu wa Elimu ya mkoloni( Colonial Education) kwa waafrika

    Ndio maana kila siku huwa napinga kulipia hela kwenye shule inayo fundisha kwa kutumia mtaala wa Necta.( No value for money) Mtaala unao muandaa mwanafunzi kufaulu mitihani yake ya mwisho. Mtaala unao mkaririsha mwanafunzi. Na point zao siku zote huwaga ni zile zile👇👇👇👇👇 1. Poor leadership...
  3. Gwappo Mwakatobe

    PreGE2025 Ushauri Wangu Kuhusu Kaulimbiu au Msimamo wa "No Reforms, No Election"

    Awali ya yote niseme kuwa watu kutofautiana mawazo ni jambo zuri na la kawaida sana, ikiwa wataendelea kuheshimiana kwa tofauti zao, yaani kutofautiana pasina kuhitilafiana. Misimamo ya CHADEMA na G55 ni tofauti ambazo zinazungumzika pasina kuvunjiana heshima na kuhisiana vibaya. Kuitana...
  4. SSH2025_2030

    Mbogamboga uwanja ni wetu - hakuna tena kelele za No reform no election!

    Mwali tunae Oktoba na tunatamba nae. Hivyo kuanzia sasa hadi Oktoba Media zote, Wasanii, wananchi wote wapi upande wetu. Tupewe nini tena?
  5. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mwenyekiti wa BAWACHA Kanda ya Nyasa: Wanawake tutaandamana kudai haki, na serikali isipuuze No Reform No Election

    Wanawake tytaandamana kudai haki, na tunaiomba serikali isipuuze hii kampeni ya No Reform No Election, kwani wanachi wamechoka kunyimwa haki haki yao na wataipata kupitia Chadema"- Mwenyekiti wa BAWACHA Kanda ya Nyasa. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025...
  6. The Burning Spear

    Haya ndiyo mambo yanayoipa nguvu kampeni yetu ya "No reform No Election", CCM kazi mnayo

    Sikiliza hii afu ndo utaelewa kwa nini hatutaki uchaguzi uchwara.
  7. Doctor Mama Amon

    Wadau Waunga Mkono Ajenda ya No Reform No Election: Wataka Bunge Lisubiri Kuvunjwa Mpaka Mabadiliko Yafanyike Kwanza

    Na Waaandishi Wetu BAADA ya kuanza kukua na kushika kasi kwa ajenda ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ya kutaka kuzuia kufanyika uchaguzi mkuu wa 2025, wasomi, wanazuoni na wachambuzi wameibuka kuunga mkono. Wengi wanaona umuhimu wa kusikilizwa na kufanyiwa kazi kwa ajenda ya...
  8. Erythrocyte

    PreGE2025 Moto wa No Reform No Election waibabua CCM, Masasi yalipuka kwa Shangwe

    Taarifa zingine za leo zinaonyesha kwamba Timu ya Chadema inayotoa Elimu ya Uchaguzi Huru na Haki huko Kanda ya Kusini imefika Masasi. Unaambiwa Moto uliowaka kwenye Mkutano wa Masasi haujawahi kutokea katika kipindi kirefu mno kwenye eneo hilo Kwa kifupi ni kwamba Wananchi wote wameelewa...
  9. K

    PreGE2025 Anayeona NO REFORM NO ELECTION haina maana kwake mlango uko wazi kwenda vyama vingine

    No reform No Election limewatia tumbo joto hasa wasaka tonge. Slogan hii ilianzishwa na Wana CHADEMA wote na leo wanapotaka nafasi za Rais, Ubunge na Udiwani wanatoka wazi kuukana slogan yao. Ndugu zangu tumbo ni mbaya sana. Wengi pale CHADEMA wako kwa nafasi ya matumbo yao na siyo kuitetea...
  10. Tlaatlaah

    PreGE2025 CHADEMA inajichinja na kujikaangaa kwa mafuta yake yenyewe

    Wailianza kwa mbwembwe sana chini ya uongozi mpya kwamba, mapambano ya kidemokrasia dhidi ya maslahi mapana ya wanachadema na wananchi wote wa Tanzanzania, sasa yanapata pumzi mpya, uelekeo mpya na yatakua yana sura mpya kuelekea uchaguzi mkuu wa Tanzania october2025. Na wanachadema wengi...
  11. S.M.P2503

    Pendekezo la kesi- icc dhidi ya serikali ya Tanzania- wanasheria CHADEMA amkeni na mfanye kazi- fofofo- hamtatoboa na hiyo no reform no election

    PENDKEZO LA KESI- ICC DHIDI YA SERIKALI YA TANZANIA- WANASHERIA CHADEMA AMKENI NA MFANYE KAZI- FOFOFO HAIWATOI KWENYE NO REFORM NO ELECTION. NAWAPA MUONGOZO BILA MALIPO. Kichwa: Pendekezo la Uchunguzi wa Uhalifu wa Kisiasa na Ukiukaji wa Haki za Binadamu katika Serikali ya Tanzania Kwa...
  12. D

    Naamini mshauri na mdhamini wa G55 ni yule yule aliyeigharimu CHADEMA kwa kulamba asali kwenye kipindi cha Uchaguzi

    Ni yule yule aliyelamba asali ya lowassa 2015 na kumpitisha kuwa mgombea kwa kubadili gia angani. Ni yule yule aliyekuwa nyuma ya Covid19 akiwafundisha mbinu za kuwaingiza bungeni viti maalum kwa barua za siri huku akiwakana mbele za kamera 2020-21 Ni yule yule aliyesema hatogombea uenyekiti...
  13. H

    Jimboni Ruangwa, Kwa Majaliwa, Wananchi Waunga Mkono NO REFORM NO ELECTION

    Sote tunafahamu kuwa uchaguzi wa 2020 ulituletea Waziri Mkuu ambaye ni kinyume cha Katiba. Katiba yetu inatamka wazi kuwa Rais atamteua mbunge mmojawapo aliyechaguliwa na wananchi kuwa Waziri Mkuu, ma atathibitishwa na Bunge. Waziri Mkuu tulite naye hakuchaguliwa na kura hata moja ya...
  14. kipara kipya

    No reform No election mipaka ifungwe asikimbie mtu nje ya nchi wote wahesabiwe hapa hapa kama Mbowe...

    Naona ngojera zimepamba moto kila anaye kwenda tofauti kimtazamo na dikteta uchwara ana tenguliwa bila kufatwa kwa taratibu...ombi letu ni moja No reform haipingwi ila wakati ukifika wote wasihame nchi kenge wa mtandaoni na kenge walio nje ya maji huko nairobi waje hapa hakuna kukimbia...Dikteta...
  15. Peter Mwaihola

    Ukweli wa wazi: Kidonda cha CHADEMA kimepata dawa inayowasha

    Kumekuwa na vuguvugu na dalili za mgawanyiko kuhusu msimamo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA kupitia kaulimbiu No Reforms No Election iliyoasisiwa na chama hicho chini ya mwenyekiti wake Tundu Lisu. Mgawanyiko huo wa kimtazamo unatokana na kampeni ya kutoshiriki uchaguzi pasipo...
  16. Lord Denning

    No Reform No Election ni Mpango wa Mungu kuiponya Tanzania. Anayeuliza itafanikiwaje? Muoneshe Picha hizi!

    Kikundi kinachofanya siasa za kitapeli wakiungana na mabwana zao CCM wanajaribu kuwakebehi CHADEMA eti watafanikishaje No Reform No Election? Wasichojua hakika ni kwamba, No Reform No Election sasaivi si tena ajenda ya CCM bali ni ajenda ya Watanzania baada ya Mungu kuamua kuiponya Tanzania...
  17. Doctor Mama Amon

    PreGE2025 Sababu za CHADEMA Kuwatengua Mwita na Catherine zafahamika: Wamesaini waraka wa kupinga ajenda ya ‘No Reform no Election’

    Mtaalam wa masuala ya utawala na uongozi, wa Chuo Kikuu cha Munich, Ujerumani, Profesa Dagobert Pinochet, anasema kuwa, tabia ya baadhi ya viongozi walioko kwenye ngazi za juu za utendaji kupinga kichini chini maamuzi halali wanayopaswa kuyasimamia, ni sumu kwa uhai wa taasisi. Pinocheti...
  18. Gilbert A Massawe

    PreGE2025 Vita ndani ya CHADEMA imeanza rasmi

    Baada ya Uchaguzi wa Mwenyekiti Chadema na kumpaata Mshindi Ndg Tundu Lissu alieshinda kwa ushindi mwembamba Dhidi ya Freman Mbowe Mwenyekiti wa Muda Mrefu ( M7 )watalaam wa siasa walionya mpasuko mkubwa kutokea Lissu bado ajue 47% kwenye Chama chake awapo upande wake na wengi wao ndio...
  19. Upekuzi101

    No Reform No Election ni sawa ila je tumeboresha taarifa zetu katika daftari la wapiga kura?

    No Reform, No Election inakwenda vizuri na muda SI mrefu mabadiliko makubwa yanakwenda kutokea katika kupiga kura, utaratibu wa Tanzania Ili uweze kupiga kura ni lazima uwe unejiandikisha katika daftari la kidumu la wapiga kura na pia inatakiwa uwe umehakiki taarifa zako. Ni kweli tunatakata...
  20. Waufukweni

    PreGE2025 Tundu Lissu: Hatutasusia Uchaguzi, tutazuia uchaguzi kwa nguvu ya Umma, sio bila mabadiliko hatutashiriki uchaguzi

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa Tundu Lissu akizungumza wakati wa mkutano kati ya CHADEMA na Jukwaa la Wahariri (TEF) unaofanyika siku ya Jumapili Machi 2, 2025 Makao Makuu ya CHADEMA, Dar es Salaam Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa...
Back
Top Bottom