The Constitutional Reform Act 2005 (c. 4) is an Act of the Parliament of the United Kingdom, relevant to UK constitutional law. It provides for a Supreme Court of the United Kingdom to take over the previous appellate jurisdiction of the Law Lords as well as some powers of the Judicial Committee of the Privy Council, and removed the functions of Speaker of the House of Lords and Head of the Judiciary of England and Wales from the office of Lord Chancellor.
Jana katika kipindi cha MALUMBANO YA HOJA iliyohusu NINI NAFASI YA VIJANA KWENYE UCHAGUZI 2025. Kwa kweli vijana walisema mengi kuhusu mustakabali wa nchi yetu kuelekea uchaguzi wa 2025.
Kwanza waligusia Tume Huru ya Uchaguzi na wakasema kwa uwazi kuwa Tume hii si huru. Pili walisema kuwa ili...
Kama upinzani utakomaa na no reform no election ni rasmi vituo vya kupiga kura vya kawaida kutatokea vurugu ambazo zitaharibu utulivu na polisi hawawezi tuliza ghasia vituo vyote nchi nzima!
Namna pekee ni kutumia vifaa vya electronic kama sim kupiga kura,yaani Kila raia mwenye sifa za kupiga...
Maridhiano yalikuwa ni maamuzi ya chama sio Mbowe.
No reform No election ni maamuzi ya chama.
Lissu ulipinga hadharani maamuzi ya chama kuingia kwenye maridhiano mpaka ukawaita viongozi wenzio wajinga.
Leo na wewe vumilia maoni na mitazamo tofauti ya wanachama hiyo ndio demokrasia.
Hii tabia...
Jamani natamani sana taifa letu lipate uhuru wa mara pili, tangu mwaka 1961 mpaka 2025, Tanzania imekuwa chini ya chama cha ccm. Mambo yanaenda hovyo hovyo sana. Angalau mwaka huu Tundu Lisu ameonyesha matumaini makubwa ya "freedom is coming tomorrow" na sera ya "No reform No election"
Katika...
Rais Samia amesema Uchaguzi Mkuu kufanyika kwa njia ya Haki, kwa kusimamia misingi yote ya Kanuni, Sheria na desturi zote za Uchaguzi, Falsafa ya 4R itaendelea kuwa moja ya nyezo kuu katika uchaguzi mkuu ujao
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa...
Habarini wakuu
Suala la Chadema kuja na kauli mbiu ya No Reform No Election (NORENE) imetafrisiwa na wananchi wadadisi wa mambo kuwa Chadema wamekujanayo kutoka ng'ambo, mbaya zaidi wamesahau hata kubadilisha na kuiweka kwenye lugha mama.
Kuna kitu kimoja ambacho Chadema hujikwaa (technical...
Endapo viongozi wa CCM watakubali kuahirisha Uchaguzi mkuu sasa hivi ili kuanzisha mchakato wa Katiba kwa ajili ya kufanya mageuzi ya kimfumo yanayopiganiwa na Watanzania watafaidika na mambo manne kama ifuatavyo:
Serikali ya Awamu ya Sita itaendelea kuwepo madarakani hadi hapo Katiba Mpya...
Kama mnasema hamtagomea uchaguzi wakati huohuo mnasema bila mabadiliko hakuna uchaguzi.
Je utafiti umefanyika wa kutisha KUWA mbinu zenu zitasaidia mabadiliko ambayo yatasababisha uchaguzi huru na haki.
Je utafiti umethibitisha kama reform isipofanyika mnauwezo wa kuzuia uchaguzi usifanyike...
Yes tunatambua mifumo ya uchaguzi ni mibovu. Inatoa mianya ya rushwa, unyanyasaji kwa wagombea, wizi wa kura na mengine mengi yanayosababisha wapinzani kupokwa haki zao.
LAKINI..
Hawa CCM ukiwaachia upenyo kwa kuwaambia no reform no election hali ukijua kabisa CCM hawana aibu hata wakisimama...
Ukitaka kujua CCM ni wajinga sana ni uhalisia kwamba, Kampeni wanayoipinga ya No Reform No Election, kimsingi inawasaidia wao zaidi na inafaida kwao na kwa Taifa.
Kampeni ya No Reform No Election ina faida zifuatazo kwa CCM na Taifa kwa ujumla;
1. Endapo Uchaguzi utahairishwa, Utawala wa Awamu...
Inashangaza sana kwamba CCM wanapinga nini maana hata wenyewe hawajui wanapinga nini
1. Je mnapinga reforms ambayo ni mabadiliko ya mfumo wa sheria za kupiga kura
2. Je mnapinga uchaguzi kusubiri mabadiliko ya sheria
3. Mnapinga vyote
Sasa kama sheria ambazo kila mwangalizi yeyote , wananchi...
https://www.instagram.com/reel/DHvHL1bOb01/?igsh=azBpMGl4d2VlbW4z
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania bara, Stephen Wasira amesema hakuna Mtu wala Chama cha Siasa chenye uwezo wa kuzuia Uchanguzi Mkuu wa Mwaka 2025 usifanyike na kuwataka Watanzania kuwapuuza Viongozi wa...
My Take
Muda utaamua ngoja tuone
---
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema, amesisitiza kuwa ajenda kuu ya chama hicho kwa sasa ni kuhakikisha kunakuwa na mabadiliko ya sheria na kanuni za uchaguzi kabla ya kushiriki chaguzi zozote.
Akizungumza...
Nimekuwa nikifuatilia kwa umakini dhana ya No reform No election na kutafakari iwapo itafanikiwa. Kimsingi kuzuia uchaguzi ni ngumu katika nchi hii bila sapoti ya wananchi, wanachama, vyama vya siasa, viongozi wa dini, NGO nk.
Tathmini yangu ni kuwa zoezi hili ni kama ifuatavyo:
1 zoezi hili...
Huyu bidada ni nondo haswaa ,kwa sasa hakuna kiongozi yeyote wa Bawacha aliyejaribu hata theluthi ya ubora wa Halima James Mdee !!
Huyu mama na wenzake waingie mzigoni hayo mengine tutaongea tukimaliza mapambano
Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa mara, Chacha Heche mapema leo amefika kwa Baba wa Taifa, Julius Nyerere akiwa na ujumbe wake wenye vielelezo vya matukio yaliyojitokeza katika chaguzi za TanzAnia 2019 - 2024 kuzungumza na familia ya Baba wa Taifa Mwitongo Butiama
Katika taarifa aliyowasilisha...
Pamoja na uchawa mwingi sana Raisi Samia kwasasa amelewa madaraka. Kwasababu hiyo hata weza kukataa fursa ya yeye kuongezewa mwaka mzima kwasababu ya kufanya marekebisho ya sheria ya No reform no election. Wapambe wake wanapenda sana madaraka na kiasi kwamba wakiambiwa ni fursa ya mama kukaa...
Katika watu makini katika wakati huu ni watu waliotengeneza hii slogan ya No Reform, No Election,.mmeweza. Wenzenu wanasema kazi na utu, wakati hizo kazi hazionekani Wala huo utu haonekani. No Reform, No Election ni kauli iliyobeba common course and unified ideology ndo maana tunaona ikiungwa...
Wakuu,
Wakati viongozi wa Chadema wakiendelea kuinadi kampeni ya ‘No Reforms No Election’ katika mikoa ya Nyanda za Juu Kusini, chama hicho kimewaita walioomba (watia nia) wa nafasi mbalimbali kwenye kikao maalumu cha kujadili hali ya kisiasa.
Kikao hicho kitakachofanyika Aprili 3, 2025...
Wanajukwaa bila shaka ni wa zima wa afya njema.
Wahenga walisema "kuuliza si ujinga"
Hivi msimamo wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema wa No Reform No Election ni kitu gani kinawapa nguvu, ujasiri na morali ya kuendelea nao mbele wasibadili gear angani?
Je nani yuko nyuma yao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.