Mpenzi wangu, ananileteaga stori za kuwachukia wapigania haki wa No Reforms No Election,
Daaah, anakera mnoo!
Sometimes ananikuta nimetulia, nasikiliza clips za No Reforms No Election, anaanza kutia maneno ya kuwaponda makamanda, eti "hawa wahuni, wavunja amani"
Napandwa na hasira kaalii...