nmb

NMB Bank Nepal is a commercial bank in Nepal with headquarters in Kathmandu. The bank is licensed by central bank of Nepal, the Nepal Rastra Bank and has 163 branches across the nation providing retail and commercial banking services.
Recently, it acquired Om Development Bank.
The bank's shares are publicly traded in the Nepal Stock Exchange. The Bank has a joint venture agreement with Netherlands Development Finance Company (FMO) a Dutch development bank which holds 17% of the bank's shares and is the largest shareholder of the Bank.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Kero Benki ya NMB Bukoba

    Kero,NMB tawi la Bukoba tunaomba mtoe utaratibu unaoeleweka hasa kwa upande wa cheki za shule hazina mfumo unaeleweka mfano kati closed and open cheque, mnsababisha kero na usumbufu
  2. JamiiForums Tanzania NMB huduma kwa wateja muitoe kama mmeshindwa kuwajali wateja

    Leo siku nzima , najaribu kuwapigia simu huduma kwa wateja simu inaita dk 30 bila kujibiwa. Hao, mliowaajiri hiko kitengo cha huduma kwa wateja kazi yao ni ipi. Badilikeni, miamala imekwama na watu wanawapigia kupata suluhisho, simu hampokei .Hamjui mnakwamisha shughuli za watu. Ndio maana...
  3. JamiiForums Tanzania NMB Mkononi ina shida gani..?

    Wakuu, Jana nimekwenda kwa wakala kutoa hela ya mboga kidogo kama 400k ila nashangaa hadi leo hii sijapata SMS kwenye simu yangu kutoka NMB mkononi na nimejiunga toka kitambo na kila transaction niliyokuwa nafanya awali nilikuwa na pata SMS. Hii inakuwaje wataalam maana napenda sana hii issue...
  4. JamiiForums Tanzania Mteja azimia NMB Buzuruga, ni baada ya kukaa kwenye foleni masaa manne

    Katika hali isiyo ya kawaida mgonjwa mmoja aliyekuwa akitaka kutoa hela kwa ajili ya matibabu alijikuta akizimia baada ya kukaa foleni kwa muda mrefu. Katika benki ya NMB iliyopo Buzuruga plaza, yenye madirisha matano ya tellers, ni madirisha mawili tu yalikuwa yakifanya kazi, na katika...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Yeyote aliye na mashine ya uwakala wa CRDB au NMB ambayo kwa sasa amesimama kuitumia kwa muda, Naomba anisaidie

    Wakuu, habari ya majukumu wanajukwaa,. Nakuja kwenu,Mimi nina kibanda cha MPESA eneo fulani lenye mzunguko kiasi ndani ya jiji la Dar es Salaam. Nilimekuwa nikifanya uwakala wa mitandao ya simu (Tigopesa,Airtel money na M-Pesa), kwa muda wa mwaka mmoja, nikiwa na Lengo la kuongeza uwakala wa...
  6. JamiiForums Tanzania TRA kwanini Wamehamishia akaunti ya malipo KCB, siyo tena NMB? Ni ufisadi baada ya Magufuli?

    TRA na BOT watajitetea kwa sababu zozote zile lakini sisi tunaolipa kodi ktk nchi hii, kwa kujua nani anamiliki KCB (Kenya Commercial Bank) hii ni chini ya kiwango cha uzalendo uliohubiliwa miaka mitano iliyopita. Nalinganisha malipo niliyofanya 2020 na mwaka huu, yakielekezwa benki tofauti...
  7. JamiiForums Tanzania Tozo mpya za NMB kwa watumiaji wa Tanzanite Debit MasterCard kuanzia tarehe 28 Agosti, 2021

    Nimeona mahali tangazo lao kuhusiana na jambo hili , hebu lisome mwenyewe
  8. F

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi ( staffs) wa NMB bank wanapwaya sana kujua huduma za mwajiri wao

    Habari wadau. Kwa zaidi ya mara 1. Nimegundua bank yetu ya makabwela inapwaya sana kwenye training za staff wao. Zamani kidogo Kuna siku nilienda kuprocess refund ya malipo online. Staff wote niliowakuta kila mmoja alikuwa haelewi process zilivyo. Na manager alikuwa ametoka. Ilibidi nimsubiri...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa NMB Bank wanapwaya kwenye kuelimisha wateja kuhusu products zao

    Habari wadau. Kwa zaidi ya mara 1. Nimegundua bank yetu ya makabwela inapwaya sana kwenye training za staff wao. Zamani kidogo Kuna siku nilienda kuprocess refund ya malipo online. Staff wote niliowakuta kila mmoja alikuwa haelewi process zilivyo. Na manager alikuwa ametoka. Ilibidi nimsubiri...
  10. JamiiForums Tanzania Ni benki ipi nzuri kupokelea mshahara kati ya CRDB na NMB?

    Naomba msaada kuhusu ni benki nzuri inayotoa huduma kiurahisi kati ya Nmb na Crdb naaamanisha kuwahi kutoa pesa mapema ya mshahara
  11. JamiiForums Tanzania Je, kuna mabadiliko yoyote ya riba kwenye Benki?

    Habari ya uzima wanajamvi? Natumaini wote tumejaliwa zawadi adhimu ya uhai na Mola yeye atuwezeshaye kufanya yote tuyafanyayo kila siku. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada au jambo nililopenda kulijua kutoka kwenu.Mimi nipo kijijini kwa mda mrefu sijafika mjini. Huku niliko hakuna Benki...
  12. JamiiForums Tanzania Business Analyst Cum Project Manager (PMO) at NMB Bank

    Contract duration: 2 years’ contract Job Purpose To ensure business needs are addressed through definition and implementation of correct functional and technical requirements, proper translation of the requirements into functional and technical specifications and testing of delivered solution...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Ushawahi toa pesa UTT-AMIS kupitia benki tofauti na CRDB/NMB?

    Tupeane uzoefu ilikuchukua siku ngapi kuzipata kwenye account?
  14. M

    JamiiForums Tanzania NMB tuoneeni huruma, kiwango mnachokata baada ya kuomba risiti ni sh10,000 -- ni kubwa mno

    Niende moja kwa moja kwenye mada, leo nimekwenda kuchukua fedha kwenye ATM zao na nikaomba risiti, kiwango kilichokatwa nikikubwa mno (sh 10,000). Hii gharama ya huduma ya kibenki ni kubwa mno, sikuamini macho yangu, ilibidi niangalie mara mbili kama ni sh 10,000 au 1,000. Nawashauri NMB...
  15. JamiiForums Tanzania NMB Bank huduma mtandaoni inahitaji muwe na Watalaamu wa IT

    Katika hali ya kushangaza NMB mmeamua kufunga kimya kimya matawi kadhaa mliyofungua kwa mbwembwe huko nyuma. Hata mawakala mliowapa ujiko wa kufungua matawi kwa niaba yenu mmewaacha solemba baada ya kuingia gharama kubwa za ujenzi au mmelipana kimya kimya pia? Siku hizi mmekuja na upepo wa kila...
  16. JamiiForums Tanzania NMB haya makato yenu kwenye mobile app ni makubwa sana na wizi uliovuka mipaka. Ushahidi huu hapa

    Siku zote nimekuwa nikitoa hela kwa kutumia application ya NMB Mobile Bank na mara zote hizo sikuwai kuwa makini na masuala ya ada ya makato ambayo inachukuliwa na hawa NMB, mpaka pale nilipoamua niangalie huwa wanachukua shilingi ngapi ndipo niliposhangazwa zaidi. Nilianza kutoa laki moja na...
  17. JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kufahamishwa kiwango cha makato ya ATM card benki ya NMB

    Binafsi natumia account ya nmb chap chap, ambayo tulifunguliwa kwa msaada wa kampuni mahala tunapofanyia kazi. Maafisa wa benki wakati wanaipigia chapuo tender hii walituambia makato ya nmb chapchap ni kwa kiwango cha sh,1150 pasi na malipo ya mwisho wa mwezi ukilinganisha na account zingne...
  18. JamiiForums Tanzania Relationship Manager at NMB Plc

    Relationship Manager, SME - Eastern Zone, Morogoro (Re-advertised) Reporting Line: Senior Coverage Manager, SME Location: Eastern Zone – to be based in Morogoro Application Deadline: 04th June 2021 Job Purpose Responsible for growing both Liabilities (Deposits) and Assets from Small and Medium...
  19. JamiiForums Tanzania Nifungue ipi kati ya NMB Bonus Account vs CRDB Saving Account

    Nina mpango wa kufungua akaunti ya akiba ili niwe nahifadhi pesa. Kisha baada ya mwaka ni draw zikiwa na interest nizifanyie wazo ambalo nitakuwa nimepanga. Kwa wazoefu ipi ni nzuri zaidi, na je kuna tofauti gani kati ya hizo nilizotaja na Fixed Deposit Account? Ahsante kwa msaada wenu.
  20. JamiiForums Tanzania Relationship Manager: Diaspora at NMB Bank

    Job Purpose: To be liaison between diaspora clients and the bank to ensure growth of this segment and entire business value chain with the aim of maximizing the Bank’s revenue through understanding of customer’s needs. Main Responsibilities To sell, develop business and ensure that there is...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…