n.k

  1. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini hatusemi tapeli, jambazi n.k wanakipaji cha kuzaliwa? Kwani kipaji ni nini?

    Kipaji ni Nini, na Kwa Nini Hatusemi Tapeli au Jambazi Ana Kipaji? Katika jamii zetu, mara nyingi tunasikia watu wakisifiwa kuwa na vipaji vya kipekee—kama kucheza mpira, kuimba, kuruka sarakasi au kukimbia kwa kasi ya ajabu. Mtu akionyesha uwezo wa ajabu, husemwa “amezaliwa na kipaji.” Hii ni...
  2. Young silver

    JamiiForums Tanzania Naomba kupata summary ya ufaulu form six 2025 kitaifa

    Naomba kupata summary ya ufaulu form six 2025 kitaifa, I mean idadi za one za tatu, nne, Tano n.k, two, three n.k. Plzzzzz
  3. Knock life

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza kwa wale ambao mmezaliwa na kukulia kijijini je ukiwa unafikiria jambo huwa unafikiria kwa lugha yako ya Asili mfano kisukuma n.k

    Naomba kuuliza kwa wale ambao mmezaliwa kijijini je mkiwa mnafikiria jambo lolote huwa mnatumia lugha zenu za Asili.? Maana Mimi binafsi huwa natumia kiswahili., kwakuwa sijakulia kijijini , .
  4. S

    JamiiForums Tanzania Unahitaji nini usaidiwe kwenye IT industry? Software, website,blog, ads na n.k

    Unahitaji nini usaidiwe kwenye IT industry? Software, website,blog, ads, email na n.k Karibu usaidiwe unachotaka kwenye IT kama maswali utajibiwa Mawasiliano:0756704145 Eneo: Dar es salaam, Mbezi
  5. Logikos

    JamiiForums Tanzania Tunapotafuta Mfumo wa kiutawala (Demokrasia) tusiangalie USA n.k. (Oligarchy) bali tujitahidi kufikia kina True Democracy (Cantons za Uswizi)

    Demokrasia ni nguvu ya umma katika maamuzi na utawala wao, hio ni kwenye makaratasi ingawa kinachotokea ni tofauti sana hadi kuna siku niliwahi kusema yafuatayo https://www.jamiiforums.com/threads/heri-udikteta-kuliko-maigizo-ya-demokrasia.2145190/ Sababu kama dikteta ni mzuri huenda tukapiga...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna Wasabato maarufu hapa Tanzania kwenye sanaa, michezo, siasa, system, biashara, n.k

    Sijaanzisha post hii kwa lengo lolote la kidini, ni pure curiosity. Ni kawaida kwamba kundi lolote linapokuwa na idadi kubwa ya waumini au wafuasi, huanza pia kuzaa watu maarufu kwenye medani mbalimbali—iwe ni kwenye siasa, sanaa, michezo, biashara, au hata kwenye system. Lakini kwa upande wa...
  7. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini mikoa au wilaya ambayo waislamu ni wengi kuna ustaarabu mwingi sana? No vibaka,wizi,mauaji n.k

    Nimejiuliza sana Aisee sijui kwanini mikoa Mingi ambayo waislamu ni wengi imestaarabika sana kuzidi ile mikoa ambayo ni dini nyingine ndiyo wengi? Mikoa mingi ambayo waislamu ni wengi kuna vitendo vichache au hamna vya vibaka,wizi,ujambazi l,mauaji ya wanandoa au ndugu hamna kabisa Aisee na watu...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Mbeya Mjini kama kuuza duka, ufundi mitambo na n.k.

    Natafuta kazi Mbeya Mjini kama kuuza duka, ufundi mitambo na n.k. Nina stashahada ya ufundi mitambo (Mechanical Engineering) 0756704145
  9. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Zifahamu njia zitumikazo kuwarudisha tena extinction animals kama dinasours na wengineo

    Nikiwa Rais wa Tanzania moja ya mradi wa life science ni kurudisha extinction animals waliopotea kama Dinasours woolly mammoth Atlas bear Many others Hizo njia ni kama zifuatazo DNA seguencing Gene editing Clonning Mass breeding
  10. K

    JamiiForums Tanzania Hakuna aliyewahi kumpenda mtu mbabe, muaji, muonezi, mbaguzi, mfitini n.k hata kama huwa anakupa hela

    Kwa hulka ya mwanadamu alivyo huwa hampendi mtu Muuaji, mbabe, mtesaji, muonezi, mchonganishi, mbaguzi, mfitinishi, hata kama anakupa hela kiasi gani, watakuchukia tu. Hata ukijilazimisha kuwachekesha vipi, watakupa tabasamu la uongo lakini miyooni mwao hawakupendi, mapenzi yao yote watampa...
  11. MABATI YA SUNBAK TANZANIA

    JamiiForums Tanzania Je watumishi wa Mungu hamuwezi kuhubiri bila kuongelea uchawi?

    Kuna jambo huwa nashindwa kulielewa . Je watumishi wa Mungu haumuwezo kuhubiri bila kuongelea uchawi? Je,lazima makinisani watu wazungumzie habari za ushirikina.
  12. W

    JamiiForums Tanzania Watoto wanaposema uwapeleke kwenu wakati uliishi Kota, nyumba ya kupanga, ulipoishi pamekuwa sehemu ya biashara, n.k. unawajibu nini ?

    Sehemu ulipoishi ni kota, kuna familia nyingine imehamia Sehemu ulipoishi ni nyumba za kupanga, kuna wapangaji wengine Ulipowahi kuishi pamebadilika kabisa, sio tena sehemu ya makazi ni mji wa kibiashara kuanzia mafremu, magorofa, gesti, magorofa, n.k. Kijijini kwenu hawakujui au...
  13. funaku

    JamiiForums Tanzania Tarehe 2 juni wafuasi wa CCM,CHAUMMA,ACT,CUF N.K Waruhusiwe kwenda kwenye kesi ya uhaini

    Kama hii kesi ni ya public interest nategemea makundi mbalimbali ya kijamii kufika mahakamani kwenda kusikiliza kesi hii.
  14. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Sayari kama dunia, mars, neptune, n.k zimetokea wapi (how do they formed)

    Nikiwa Rais kutakuwa na miradi ya kutengeneza sayari mpya mfano wa dunia, mars n.k from scratch
  15. Fufua Tumaini Jipya

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaohitaji kijana Mdogo wa miaka 18 katika kazi kama dukani n.k naomba tuwasiliane.

    Habari wakuu . Yupo Kijana Ana hizi sifa Miaka 18 Elimu form four Ila hakufaulu. Uzoefu wa kazi Kazi za kusimamia Nyumba na shughuli za bustani. Kuuza dukani Kuhusu mdhamini yupo mama yake anamdhamini . Kijana anatokea singinda ni Kijana wa kujituma Sana. Waweza piga namba hii...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini wadada wa kiafrika wengi mnachukia asili ya nywele zenu ? mmekazana na mawigi, weaving, rasta, n.k. Please acheni kujichukia, love yourself.

    Huko masaluni na maduka ya vipodozi hugharamika sana kununua nywele za watu wengine kwa mtindo wa mawigi, weaving, rasta, dreds, n.k. nyingine zinazalishwa viwandani. Ukitaka ugombane na mwanamke alievaa wigi basi mvue, yani ataonyesha kuzichukia nywele zake kwa kuziziba. Nywele zinavyovutwa...
  17. Kinyungu

    JamiiForums Tanzania Toyota VX,VXR n.k siyo Salama kwa viongozi. Serikali isitishe matumizi yake kwa viongozi wa Serikali

    Haya magari yanatumiwa na viongozi wa wengi wa Serikali siyo salama. Tusidhani wao Wajapan watafanya utafiti kuthibitisha hilo. Ukiangali hizi gari zinapata ajali au kugongwa zinakuwa kama mtu kakunja makaratasi. Uanzishwe uchunguzi wa kitaifa juu ya haya magari. Au tusubiri hadi limpate...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Epuka mazoea ya kulala na aina hii ya wanawake, kitu kizito kitakuja kukupiga bila kutarajia

    Mwanzoni wengi huwa makini kuchukua tahadhari / precautions lakini kadri muda unavyoenda mazoea yakiwa tabia wanajisahau sana, mwisho wa siku wanaingia kwenye mfumo Under age / Chini ya miaka 18 - Wala haihitaji kufumaniwa red handed, yaani habari zikisambaa tu unatembea na mwanafunzi halafu...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Tutumie tu akili ya kawaida hivi Yesu Kristo ana uhusiano gani na Mchaga, Mmakonde, Msukuma, Mhaya, Mzaramo, Mjita n.k.

    Nauliza tu mna uhusiano gani na Yesu?
  20. R

    JamiiForums Tanzania Mnaojiweza au mliowahi kujiweza kiuchumi mkiwa chini ya miaka 30, nje ya ajira, utajiri wa familia, n.k mliwezaje?

    Wenzetu mliwezaje wezaje, wengine tumejipata kwenye 30 na kitu, hali za huko nyuma zilikuwa mbaya sana
Back
Top Bottom