Serikali imetoa shilingi Bilioni 19.6 kwa ajili ya Mradi wa Kuboresha Ubora wa Elimu ya Sekondari SEQUIP mkoani Njombe.
Kati ya fedha hizo jumla ya Shilingi Bilioni 4.360 zimetolewa kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu mbalimbali ikiwemo majengo ya madarasa, maabara, mabweni, bwalo la chakula...
Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imetoa shilingi Bilioni 19.6 kwa ajili ya Mradi wa Kuboresha Ubora wa Elimu ya Sekondari SEQUIP mkoani Njombe
Kati ya fedha hizo jumla ya Shilingi Bilioni 4.360 zimetolewa kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu mbalimbali...
Mkuu wa wilaya ya Makete mkoani Njombe Kissa Kasongwa ameagiza wakazi wa wilaya hiyo kuchukua tahadhari dhidi ya moto unaoteketeza misitu na kupoteza fedha nyingi kila mwaka hali inayopelekea kurudisha nyuma uchumi wa wanaMakete
DC Kissa ameeleza hayo wakati akizungumza na wakazi wa Bulongwa...
"Mimi niliwaahidi Wananjombe kuwa nitawatumikia mpaka wao watakaposema tumekuchoka, Sasa Wananjombe wenyewe wanasema tunakuhitaji kwahiyo nitagombea (tena) kwa ajili ya Wananjombe kwanza, Mimi sigombei kwa ajili yangu, kwanza kwa ajili yao; na Mimi nitagombea kwasababu Wananjombe bado wananitaka...
Erasto Raphaely Kabupa (50) mkazi wa kijiji cha Igelehedza kata ya Ilembula wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe amedaiwa kufariki Dunia wakati akishiriki tendo la ndoa na mke wa mtu katika nyumba ya kulala wageni. Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Njombe Mahamoud Banga amethibitisha taarifa za...
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) - Dayosisi ya Kusini Kati limefanikiwa kupata zaidi ya shilingi milioni 210 katika harambee ya ujenzi wa kanisa la Makao makuu iliyofanyika leo Juni 7,2025 ambapo Mgeni Rasmi alikuwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake (UWT) mkoa wa Njombe Dkt. Scholastika Kevela amewataka viongozi na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Njombe waliojiondoa na Chama hicho kujiunga na CCM akidai kuwa Chama chao kina utaratibu wa kusikilizana.
Dkt...
Mbombo ngafu! Sasa mali na majengo kugawanywa baada ya mmoja ya wana Chadema kusema hivyo.
Inawezekana jengo la makao makuu Mikocheni likafungwa kwa amri ya mahakama mpaka mgao ukamilike au team Mbowe muda wowote wakaingia ndani ya jengo, wakajaa, na wasitoke
Sisi team Mbowe tunasubiri...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Njombe, Dkt. Scholastika Kevela, amewataka wanawake kote mkoani humo kujiandaa kwa uchaguzi mkuu ujao, akisisitiza kuwa chini ya serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), hakuna atakayeweza kuvuruga mchakato wa uchaguzi.
Dkt. Kevela...
Kamati ya Siasa ya halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi mkoa wa Njombe imetoa maelekezo kwa kamati za siasa wilaya zote mkoani humo kuwachukulia hatua wanachama na viongozi wote wa chama hicho wanaoandika maneno yenye kukejeli na kutukana viongozi mitandaoni.
Akitoa taarifa ya kikao cha...
Ukipita barabara hiyo hupati utulivu wa safari barabara haijatulia yani chombo chako cha usafiari hakitatulia kwakuwa barabara si smooth halafu nyembamba.Hali hii inaweza kupelekea kuasababisha ajali za magari au hata waenda kwa miguu,na maeneo ya madaraja yapanuliwe.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Wilaya ya Njombe, Seth Vegula, amesema kuwa kama viongozi wa chama, wameguswa sana na hali ya sasa ya kisiasa nchini, akisisitiza kuwa CHADEMA ni chama kilichosajiliwa kwa mujibu wa katiba na hivyo kina haki zote za kikatiba kufanya...
Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imepanga kutumia kiasi cha zaidi ya shilingi bilioni 30 kwa ajili ya ukarabati wa barabara muhimu za maeneo mbalimbali nchini zilizoharibiwa na mvua.
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ametoa taarifa hiyo akiwa mkoani Morogoro alikoenda kwa dharura baada ya...
MBAO..
Habari zenu wakuu!! Mi ni dalali na mchanaji wa mbao mkoani NJOMBE,, naomba kutangaza anayehitaji kujumua mizigo wa mbao ama kuanza biashara ya MBAO zilizokaushwa,, aina ya miti ni pines,, anaweza kunicheki kwa namba 0657765168 nipo njombe mjini.. BEI ya shambani.
Mtu unatoka Dar hadi Iringa hamna hotel ya maana yenye chakula cha maana shida ni nini wakuu au ni ubahili wa watu wa hii mikoa?
Mbona wenzetu njia ya Kaskazini kuna hotel na vyakula vya maana, nyama choma kila mahali sie wa nyanda za juu tunafeli wapi?
Mimi ni kijana ambaye Nina nia ya kuwekeza kwenye kilimo Cha nyanya ila Sina elimu kuhusu nyanya vizuri. Napenda kujua je naweza kupanda nyanya mkoa wa njombe ? Na kama inawezekana ni mwezi gani naweza kupanda ?
Na ni mbegu aina gani inakubali vizuri njombe ?
:.Mawazo Yako ni muhimu sana
Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Njombe Josaya Luoga leo Machi 27, 2025 amemtembelea na kumjulia hali Katibu Mwenezi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA, BAWACHA Taifa Sigrada Mligo anayepatiwa matibabu katika Hospotali ya Halmashauri ya Mji Njombe (Kibena) kutokana...
Mwenyekiti wa wafanyabiashara mkoa wa Njombe na nyanda za juu kusini A Siphaeli Msigala amesema wao kama wafanyabiashara wanaipongeza serikali kwa kuweka mazingira rafiki katika kufanya biashara zao.
Aidha Msigala, ameiomba serikali iendelee kushughulikia changamoto mbambali ambazo bado...
Wakati mwezi wa funga ukielekea ukingoni ,Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) mkoa wa Njombe imefutulisha watu zaidi ya 1500 wakiwemo madereva bodaboda, bajaji, wafanyabiashara ,viongozi wa dini na Serikali na kisha kutumia fursa hiyo kutoa elimu ya kodi kwa ajili ya ustawi wa nchi.
Specioza...
Kamati ya ushauri ya wilaya ya njombe imeridhia mapendekezo ya kubadili jina la jimbo la uchaguzi la Njombe Mjini na kuitwa jimbo la Njombe Kusini
Wakizungumza katika kikao maalumu kilichofanyika leo Mchi 22, 2025 katika ukumbi wa halmashauri ya mji na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa...