njombe

  1. JamiiForums Tanzania Uwezo Tanzania yazindua Mradi wa Kijiji Changu awamu ya IV Njombe

    Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa elimu baada ya kuzindua Mradi wa Kijiji Changu (My Village) Agosti 11, 2026. NJOMBE, Agosti 11, 2026. Shirika la Uwezo Tanzania imezindua rasmi awamu ya nne ya Mradi wa Kijiji Changu (My Village)...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa kwenda Masasi, Njombe na Mbeya

    Wakuu Naomba kujuzwa usafiri mzuri kwa sasa (Luxury) kwenda Miji tajwa hapo juu kutoka Dar, hasa kwa basi kwenda zinazofanya safari za usiku. Asante
  3. JamiiForums Tanzania SINGLE LADY ULIEPO NJOMBE NJOO TUYAJENGE!

    SINGLE LADY ULIEPO NJOMBE NJOO TUYAJENGE
  4. JamiiForums Tanzania RC Mtaka: Njombe mfanyabiashara ana mauzo ya 500ml kwa mwezi lakini anapanda daladala

    Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka amesema ni muhimu Wafanyabiashara kuwa na maisha yanayoendana na kipatao chao . Mtaka amesema hayo leo Julai 13, 2026 wakati akizungumza na Wakulima wa Parachichi watakaoenda nchini India kujifunza Soko la Parachichi India ambapo amesema wapo Wafanyabiashara...
  5. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Watoto chini ya miaka mitano na Wajawazito wamekuwa wakitozwa pesa katika Kituo cha Afya Mundindi

    Naomba kuwasilisha malalamiko kuhusu changamoto zinazowakabili wananchi wanapopata huduma za afya katika Kituo cha Afya Mundindi. Kuna madai kwamba watoto walio chini ya umri wa miaka mitano na wanawake wajawazito wamekuwa wakitozwa fedha za matibabu, licha ya utaratibu wa Serikali kutoa huduma...
  6. JamiiForums Tanzania Ongezeko la Wanawake kujifungua kwa njia ya upasuaji ni fasheni, presha au sababu za kiafya?

    SAFARI ya uzazi, ambayo kwa familia nyingi hutarajiwa kuwa ya matumaini na furaha ya kumpokea mtoto imeanza kugubikwa na hofu, mashaka na maswali yasiyo na majibu katika baadhi ya hospitali nchini. Kwa baadhi ya wazazi, chumba cha kujifungulia kimegeuka kuwa eneo la shinikizo, maamuzi ya haraka...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ruvuma kupaa: Ndege za ATCL kuongezwa, vyuo vikuu viwili kuanza Oktoba, mkandarasi barabara ya njombe kukabidhiwa mradi

    RUVUMA KUPAA: NDEGE ZA ATCL KUONGEZWA, VYUO VIKUU VIWILI KUANZA OKTOBA,MKANDARASI BARABARA YA NJOMBE KUKABIDHIWA MRADI Ongezeko kubwa la abiria wanaoingia na kutoka Songea mkoani Ruvuma sasa limeisukuma Serikali kuongeza safari za ndege za Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), hatua...
  8. JamiiForums Tanzania Nimefiwa na dada yangu Oliva 25 Jun 2026 tunasafirisha kwenda Njombe

    Nimefiwa na dada yangu 25 Jun 2026 dada yangu alikuwa mfanyabiashara wa mbao buguruni Jina lake Oliva kwa dhat nawashukuru wafanyabiashara wote wa mbao bugurun kwa upendo mmejitoa sana kufariji familia .Tunasafirisha kwenda Njombe ndio nyumban. Mtaalamu wa ujenzi wa nyumba za kisasa. Eng James...
  9. JamiiForums Tanzania MSAADA BIASHARA YA CHIPS MKOA WA NJOMBE

    Habari za muda wana jf Katika harakat zangu za maisha nimejikuta tu nadondekea njombe. Nina wiki mpka sasa. Maisha yamenichapa balaa mfukoni Nina kama 1.5M nikawa nawaza biashara ya viazii kwa maana chips. Naomba wazoefu wa mkoa huu wanaujua vizurii wanielekezee hii biashara INALIPA kwa hapa. 2...
  10. JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa Milioni 1.5, Biashara ya Chips Njombe inalipa?

    Habari za muda wana JF, Katika harakati zangu za maisha nimejikuta tu nadondokea Njombe. Nina wiki mpaka sasa. Maisha yamenichapa balaa. Mfukoni nina kama 1.5M, nikawa nawaza biashara ya viazi, kwa maana ya chips. Naomba wazoefu wa mkoa huu wanaoujua vizuri wanielekezee. Hii biashara inalipa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania TUNASAMBAZA MBAO KAVU KWA BEI YA JUMLA KILA WIKI KUTOKA NJOMBE KUJA DAR ES SALAAM & PWANI.

    •Unahitaji mbao kwa bei ya jumla na upo Dar ea salaam au pwani? •L & J TIMBER SUPPLIERS tunakuletea mbao kwa bei ya jumla hadi mahali ulipo ndani ya Dar es salaam na Pwani moja kwa moja kutoka Njombe. •Mbao zetu zimekidhi ubora & bei zetu ni nafuu sana. •Kubwa zaidi ni kwamba malipo...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tunasambaza mbao kavu moja kwa moja kutoka Njombe kwa bei ya jumla ndani ya Dar es salaam na Pwani

    KAMA WEWE: •Unauza mbao reja reja kwenye banda lako. •Una hardware pia unauza mbao za ujenzi. •Una workshop kwaajili ya kutengeneza furniture. •Una mradi wa ujenzi na unahitaji mbao za ujenzi kwa bei ya jumla. •Unahitaji mbao kwa matumizi yako mengine kwa bei ya jumla. •Kama upo kwenye...
  13. JamiiForums Tanzania Katibu wa Siasa na Uenezi CCM-Njombe: Ukiwa CCM una uhakika wa kwenda mbinguni, hatuendi kwa kusali sana

    Katibu wa Siasa na Uenezi CCM, Wilaya ya Njombe, Hitler Msolla amesema hayo Mei 12, 2026 wakati wa ziara ya kikazi katika Kata ya Mjimwema, alipokuwa akizungumza na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa kata hiyo huku akiwakumbusha Viongozi umuhimu wa kulipia kadi zao za chama na kufanya...
  14. JamiiForums Tanzania Hodi hodi Njombe Town

    Wenyeji wa Njombe Mjini, nakuja Njombe tarehe 30/04/2026 nahitaji connection ya Lodge nzuri au Hotel ya kawaida maana naona hiyo tarehe bila kufanya booking mapema sitapata Lodge au hotel hapo Mjini kati, Bajeti yangu kwa Lodge au Hotel ni 30k - 50K, Ila kama hali ya kupata hifadhi nzuri (Lodge...
  15. JamiiForums Tanzania Kliniki ya Ardhi yafanyika kuelekea wiki ya Afya mahala pa kazi Njombe

    Katika kuelekea wiki ya Usalama na Afya Mahala pa Kazi mwaka 2026 Ofisi ya Kamishna wa Ardhi Msaidizi mkoa wa Njombe pamoja na Halmashauri ya Mji zimeanza kutoa huduma za Kliniki ya Ardhi kwa wananchi katika viwanja vya Mjimwema, mkoani Njombe April 26, 2026. Akizungumza katika Kliniki hiyo...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Njombe Mjini ni mbovu, inawekewa viraka kwa kuwa kuna ugeni wa Mei Mosi

    Kila maeneo ukipita kwenye hiyo Barabara lazima utakuta kuna maeneo ni pabovu au kuna viraka kama vyote. Serikali imekaa kimya, ajabu imeleta Mei Mosi ifanyike Njombe, hata hivi viraka vinazibwa kwa kuwa kuna ongezeko la wageni.
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Makete: Walimu 17 watishiwa kushtakiwa

    WALIMU 17 WATISHIWA KUFUNGULIWA MASHITAKA KWA KUTAKA KUHAMA CHAMA CHA WALIMU WILAYANI MAKETE, MKOANI NJOMBE Makete – Wakati haki ya kujiunga na kujiondoa kwenye vyama vya wafanyakazi ikiwa imehifadhiwa katika Katiba ya Tanzania na kanuni za kimataifa za kazi, hali ya kustaajabisha imejitokeza...
  18. JamiiForums Tanzania Naomba Nielekezwe namna ya kufika idodi, Iringa kutokea Njombe

    Wasalaam Naomba kuelekezwa namna ya Kufika Idodi, Iringa nikiwa natokea Njombe kwa usafiri wa basi. Nipo mapumzikoni Njombe Nimekaa iddle na ningetamani kuhudhuria msiba wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Isimani Mh. William Lukuvi Ahsante.
  19. JamiiForums Tanzania KERO Hali ya barabara kuu Njombe - Songea kuanzia eneo la Soko Kuu hadi Uwanja wa ndege ni mbovu sana

    Hali ya barabara kuu ya Njombe–Songea, kuanzia eneo la Soko Kuu la Njombe hadi Uwanja wa Ndege wa Njombe Mjini, imezua malalamiko kwa wakazi na watumiaji wa njia hiyo baada ya kuharibika na kugeuka tope kufuatia matengenezo ya viraka. Inadaiwa kuwa matengenezo yanayofanywa na Wakala wa Barabara...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Umeme unakatika sana hadi inakera maeneo ya Matika, Wilaya ya Ludewa (Njombe)

    Kero yangu ni kukatika-katika kwa umeme mara kwa mara katika eneo la MATIKA, Kata ya Lugarawa, Wilaya ya LUDEWA, Mkoa wa Njombe huku wahusika wakikaa kimya bila kufanyia ufumbuzi suala hili, tunaomba TANESCO Wilaya ya LUDEWA watueleze ni lini tatizo hili litakwisha maana imekuwa ni kero kubwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…