Hali ya barabara kuu ya Njombe–Songea, kuanzia eneo la Soko Kuu la Njombe hadi Uwanja wa Ndege wa Njombe Mjini, imezua malalamiko kwa wakazi na watumiaji wa njia hiyo baada ya kuharibika na kugeuka tope kufuatia matengenezo ya viraka.
Inadaiwa kuwa matengenezo yanayofanywa na Wakala wa Barabara...
Kero yangu ni kukatika-katika kwa umeme mara kwa mara katika eneo la MATIKA, Kata ya Lugarawa, Wilaya ya LUDEWA, Mkoa wa Njombe huku wahusika wakikaa kimya bila kufanyia ufumbuzi suala hili, tunaomba TANESCO Wilaya ya LUDEWA watueleze ni lini tatizo hili litakwisha maana imekuwa ni kero kubwa...
Anonymous
Thread
inakera
ludewa
maeneo
njombe
sana
umeme
unakatika
wilaya
wilaya ya ludewa
Kwa wale wafanyabiashara mnaokuja kujumua mbao wilaya ya Njombe ningependa kuwataarifu juu ya mabadiliko ya ushuru na kodi ya TRA
•Kwasasa wilaya ya njombe wanacharge 3% ya thamani ya mbao zote ulizopakia kwenye gari kama ushuru tofauti na zamani walivokuwa wanacharge 100Tsh kwa ubao.
•TRA...
Soma pia: Bukoba: Zaidi ya nyumba 300 zazingirwa na maji baada ya mvua kubwa kunyesha
Mvua yabomoa, kuezua mabati kwenye nyumba tano huko Makambako mkoani NjombeNyumba tano zilizopo Mtaa wa Idofi, Kata ya Mlowa mjini Makambako mkoani Njombe zimeharibiwa baada ya mvua kubwa iliyoambatana na...
Wakazi wa Kijiji cha Nindi, Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe, wamekubaliana kuchangishana fedha kiasi cha Shilingi Milioni 25 kwa lengo la kukabiliana na changamoto ya upatikanaji wa huduma ya maji safi na salama katika kijiji hicho.
Baadhi ya wakazi wa Kijiji hicho, akiwemo...
Hayo amesema Mwanzilishi wa kampuni WAGA Motion inayohihusisha na kutengeneza miundombinu ya kuchaji magari ya umeme majumbani na kwenye makampuni.
Hiyo Donfen ni kampuni ya Kichina inayotengeneza magari, na hii model eπ 008 ni REEV (ina engine na battery).
Juzi kati kijana alileta Tesla...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Mahamoud Banga, ameendelea kukutana na makundi ya vijana kuhamasisha utulivu na kuwataka waripoti wote wanaofanya uchochezi pamoja na wageni wanaoingia nchini kinyume cha sheria
Aidha, amewaeleza vijana hao kuwa kile...
Wanabodi,
Huyu ndiyo RC BORA kuliko wote kwa sasa hapa Tanzania, huyu Mheshimiwa angalau aliweza kukutana na wananchi wake pale Makambako - Mkoa wa NJOMBE na kuwapa neno la faraja wale wote waliopatwa na matatizo yaliyojitokeza MKOANI kwake na akalia machozi na wananchi wake.
Nawasilisha haya...
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka amewataka wananchi wa Mkoa wa Njombe kuendelea na shughuli zao bila hofu yoyote
Ameyasema hayo Novemba 6,2025 wakati akizungumza na Wafanyabiashara wa Makambako Mkoa wa Njombe na kuwataka kuendelea na shughuli zao za kiuchumi bila hofu yoyote kwani vyombo...
Mkuu wa mkoa wa njombe Anthony Mtaka ameshirikiana na wakazi wa njombe katika maombi ya pamoja kuwaombea waliofariki katika maandamano, huku akisisitiza wazazi kuwausia vijana sambamba na kuendelea kuliombea taifa libaki na Amani.
Katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Makambako, Mtaka...
Wakazi wa Makambako Mkoani Njombe wametoa wito kwa Serikali kuacha kupuuza haki na madai ya watanzania ili kurejesha amani na kuponya mioyo ya watu waliopata changamoto wakati wa uchaguzi.
Hayo yameelezwa wakati Wananchi hao wakitoa maoni yao leo Novemba 6, 2025, mbele ya Mkuu wa Mkoa wa...
Kufuatia kitendo cha wananchi kupigana na wengine kuibiwa simu wakiwa kwenye foleni wakipigania kupata vitambulisho vya NIDA, Halmashauri ya mji wa Njombe imelazimika kuongeza wiki moja ya kutoa huduma wananchi ili kumaliza changamoto hiyo ambayo inapigiwa sana kelele na wananchi.
Ni mratibu wa...
Askari wa Jeshi la Magereza mkoani Njombe Erasto Mlelwa (26) amejiua kwa kujirusha kutoka kwenye gari la polisi baada ya kubainika kushiriki mauaji ya askari mwenzake wa jeshi hilo Dickraka Mwamakula (24) huko Lilondo halmashauri ya Madaba mkoani Ruvuma.
Hayo yamebainishwa leo Septemba 21,2025...
https://www.youtube.com/live/ir1LWQnv3m0?si=YhzAuPVswyg_nq9Z
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiendelea na Kampeni ya Uchaguzi Makambako Mkoani Njombe leo tarehe 06 Septemba, 2025.
Wananchi waliojitokeza...
Bodi ya Nishita Vijijini (REB) imefurahishwa na kupongeza hatua za baadhi ya Magereza nchini kuanza kurudisha mazingira katika hali yake ya uoto wa asili baada ya magereza hayo kuacha kutumia kuni na mkaa kupikia na kuanza kutumia nishati safi ya kupikia.
Pongezi hizo zimetolewa leo Agosti 21...
Polisi Mkoa wa Njombe imetoa ufafanuzi kuhusu picha mjongeo inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonyesha kijana mmoja aliefahamika kwa jina la Ackrey Philipo Ngole(26) Mkazi wa mtaa wa Maheve akishambuliwa na kundi la watu kwa fimbo na magongo Agosti tisa mwaka huu, akihusishwa kuiba...
Wajumbe na mabalozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Njombe Mjini wakiwa tayari kwa ajili ya kupiga kura za maoni kuchagua diwani wa Kata ya Njombe Mjini na Mbunge wa Jimbo la Njombe Mjini.
Leo Jumatatu Agosti 4, 2025 wajumbe wa CCM wanapiga kura za maoni kuwachagua wabunge na madiwani...
Wajumbe wa mkutano mkuu maalumu wa Umoja wa Wanawake (UWT) Mkoa wa Njombe wakiwa kwenye Ukumbi wa Agreement uliopo halmashauri ya mji wa Njombe kwa ajili ya kupiga kura za maoni katika uchaguzi wa wabunge wa viti maalumu Mkoa wa Njombe
Chanzo: Mwananch_official
Wakazi wa mji wa Njombe wanatarajia kupata huduma ya majisafi, salama na ya kutosheleza kwa asilimia 100, kufuatia Mradi mkubwa wa maji unaotekelezwa na Serikali kwa gharama ya Dola za Marekani 15.7.
Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb), amefanya ziara ya kukagua mradi huo ambao ni moja wapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.