njia

Tao-Njia is a studio album by American jazz trumpeter Wadada Leo Smith which was recorded in 1995 and released on the Tzadik Records' Composer Series.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Zijue njia za kutakatisha Fedha zinazofanywa na Viongozi wa Umma na Serikali ( Wahalifu wa Kisiasa)

    1. Anaweka cha juu kwenye Kandarasi ya Mradi fulani au Ununuzi wa Vifaa. Akilipwa hicho cha juu anaenda haraka kununua mali mfano Shamba au Kiwanja au nyumba au hata hisa/ bond kwenye kampuni/ shirika fulani. Kwenye hili pia anaweza kufungua akaunti kwenye bank nje ya nchi na kuweka fedha hizo...
  2. JamiiForums Tanzania TET imekosa ubunifu au ni njia ya utakatishaji wa pesa za serikali

    Mimi naweza kuonekana mkorofi ila mwisho naweza kusema hakuna anayejali elimu ya Tanzania zaidi ya mislaid binafsi. Kumekuwa na semina ambazo hazileti matokeo chanya kwa sababu zinafikia watu wachache huku posho ikiwa njia ya ufujaji wa pesa bila lengo kufikia walimu wote. Natoa rai mfano...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Uchawa Ndani ya CCM: Njia Mpya ya Kisiasa au Hatari kwa Demokrasia?

    Katika miaka ya karibuni, tumeona mwelekeo mpya ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambapo watu wanaonekana kupata nafasi, madaraka, au ulinzi wa kisiasa kwa kupitia uchawa—yaani kumtumikia au kumsifia kiongozi bila kuhoji, hata pale panapohitaji hoja. Je, huu ni mkakati wa kudhibiti mfumo wa...
  4. JamiiForums Tanzania Tundu lissu atakapo achiliwa dunia itasimama kwa jinsi walivyo mfungulia njia zote za ikulu

    Tundu lissu atakapo achiliwa dunia itasimama kwa jinsi walivyo mfungulia njia zote za ikulu. Suala hili la kesi za mchongo limeongeza umaarufu wake duniani kote na imani zaidi kwa wananchi atakapoachiliwa dunia lazima itasimama.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Ewe Mmiliki wa Shule/Chuo Tumia Njia hizi MPYA Za Kuandaa Hesabu Za Biashara Yako 2024

    Kama umekuwa ukivutana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) sababu ya kodi inayotokana na uandaaji wa hesabu za shule au chuo chako…Basi soma mpaka mwisho… UKWELI USIOPINGIKA…Zipo shule pamoja na vyuo mbalimbali hadi leo hii wamelemewa na madeni makubwa yatokanayo na kodi kutoka TRA. Hili siyo...
  6. JamiiForums Tanzania Ajali ya Treni ya Dar maeneo ya Karume, mabehewa yameacha njia

    Kuna ajali ya Treni inayofanya safari Pugu / Dar es Salaam City imeanguka baadhi ya mabehewa maeneo ya Karume, hivyo njia ya Kawawa Road karibu na Veta haipitiki Behewa limeacha njia na kuanguka, Watu kadhaa wamejeruhiwa, abiria wanaotoka Magomeni kwenda Mbagala na Tandika watalazimika kutafuta...
  7. JamiiForums Tanzania Tiba ya ugonjwa wa Kansa aina zote inapatikana kupitia njia hii hapa

    Kama Rais msisitizo utakuwa kwenye hizi njia mbili Predict all cycles of abnormal protein mutation Integrate all cycles of target abnormal protein mutation into single equation so as it can be easily target by novel therapeutics compound Hata sisi waafrika tuna-uhuru wa kufikiria njia ya...
  8. JamiiForums Tanzania Namna bora ya kujenga uzalendo kwa njia rahisi.

    Mbwa anafundishwa akiwa mdogo, samaki anakunywa angali mbichi na udongo unapatwa ukiwa na umajimaji. Uzalendo hauna mbadala kwenye kila taifa. Kama kwenye gari uzalendo ni kama usukari(stearing). Hata mtoto mdongo anaijua usukani ndio unaoelekeza gari liielekee wapi, Hata bila gari mtoto...
  9. JamiiForums Tanzania Ondoa Mikosi Inayosababishwa na Ngono kwa Njia Hii

    Ngono na watu wengi husababisha mikosi na kutofanikiwa kwa mambo yako. Upo uwezekano kwamba, unaanzisha mambo mbalimbali lakini hayafanikiwi. Katika utaalamu, kila mtu unayefanya naye ngono huenda akaja na baraka au akaja na nuksi. Kwa wale waliotulia katika ndoa zao, huenda ngono ikawa chanzo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Njia ipi Unatumia kuandika your code solution OOP(Object oriented Programing) vs FP(Functional Programing

    Nimeuliza hivi coz sio expert ktk Programing ila nina ufaham na nazid kuprogress ktk hii career na ni raha hiki kipind cha AI inafanya bugs kua rahis kusolve.. 😀😀 so Let's talk about it..
  11. JamiiForums Tanzania Tozo ni kilio cha wengi; zifuatazo ni njia ambayo ntatumia kuondoa au kupunguza kabisa tozo kwenye miamala ya bank na simu

    Msisitizo utakuwa kwenye kupunguza informal sector
  12. M

    JamiiForums Tanzania Je, njia zinazotumika kutatua tatizo ni sahihi kulingana na tatizo lenyewe?

    Ndugu zangu Watanzania, kumekuwa na matatizo kadhaa yanayotukabili katika Taifa letu. Kwa ufupi naomba tutathmini ikiwa njia tunazotumia kutatua tatizo ni sahihi kulingana na tatizo lenyewe au la? Kwa kawaida ukitumia njia sahihi kutatua tatizo ulilo nalo, bila shaka tatizo hilo litakwisha na...
  13. JamiiForums Tanzania Nipo njia panda, je huyu mtoto ni wangu ?

    Nipo njia panda, je huyu mtoto ni wangu ? Habari za siku nyingi JamiiAfrica! Akili yangu imechanganyikiwa sana hapa nashindwa kuelewa cha kuamua juu ya mkasa huu uliyo nitokea. Miaka mitatu iliyopita nilikuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanamke sehemu x,baadae tukaacha bila sababu za...
  14. JamiiForums Tanzania Tembea katika njia kuu

    Jina la Bwana na Mwokozi wetu YESU KRISTO libarikiwe daima. Karibu katika mafundisho ya biblia, Neno la Mungu wetu lililo Taa na Mwanga wa Njia zetu (Zab.119:105). Zipo njia Mbili tu zilizowekwa mbele ya kila mwanadamu, Nazo ni njia ya UZIMA, na njia ya MAUTI. Yeremia 21:8 “Nawe waambie watu...
  15. JamiiForums Tanzania Watekaji na wauaji nawashauri mbadili njia ya kufanya Ukatili, mnajiexpose sana

    Kama ingekuwa Ukatili na kuua na kutesa watu ni best approach ya kufanya Censorship….I think JPM would have been a Champion . Binafsi mnajiexpose sana kitaifa na kimataifa which is not Healthy. Madhara ya kujiexpose hata kwenye ulimwengu wa ki intelligence ni kukaribisha wahuni. hamtoweza ku...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Kupoka ugombea Uraisi Kwa njia isiyo ya Ki-Demokrasia na Sasa kutumia Vyombo vya Dola kuzuia wapinzani wa Kweli ni Dalili za Ushindi au Kushindwa.

    Kuna mgombea mmoja ambaye amejipa uteuzi katika chama , Kwa kutumia Madaraka yake na kikundi cha wastaafu na sasa anatumia vyombo vya dola , ili kuwazima wapinzani wake , licha ya kutumia Madaraka yake na fedha za umma kujikweza na kujipamba ni dalili kwamba anaweza hivyo tumpe nafasi au ni...
  17. JamiiForums Tanzania Ni Dawa gani utumie au ufanyeje kwa njia za Miti Shamba kama ukihisi Umelishwa Sumu au Umekula Sumu ili uweze Kupona na Usife au Usidhurike?

    Nimeanzisha huu Uzi Makusudi nikiwa nataka kuwasaidia Watu hasa hasa kwa mwaka huu na Nyakati tulizopo kwa sasa.
  18. U

    JamiiForums Tanzania Fahamu vituo mbalimbali kwa mnaosafiri kwa njia ya mabasi kwenda mkoa wenye wasomi wengi kagera

    Wadau hamjamboni nyote? Niwakumbushe vituo mbalimbali kwa wanaJF mnaosafiri kwa njia ya mabasi kwenda kanda pendwa ya ziwa Morogoro, Dodoma,Manyoni, Singida, Shelui , Igunga, Nzega, Tinde, Kahama Ushirombo na Muleba Niwatakie siku njema
  19. Z

    JamiiForums Tanzania Eti sitaki kusikiliza kesi kwa njia ya kimtandao!!! Lengo lao ni kuleta fujo mahakamani?

    Teknolojia imekuja kurahisisha mambo, inashangaza Lisu na jopo lake la Mwakiki kukataa matumizi ya teknolojia. Bila shaka hii itakuwa na maksudi kwa malengo either ya kuleta fujo mahakamani au kwa lengo la kuuza sura na kutafuta kikii. Hilo halikubaliki mwaka huuu. Teknolojia ndio mpango mzima...
  20. JamiiForums Tanzania Tunaelekea Wapi? Umuhimu wa Crypto Kama Njia ya Malipo kwa Biashara Ndogo Tanzania

    Tumekuwa tukisikia habari au taarifa nyingi sana kuhusu cryptocurrency na blockchain. Neno Bitcoin limekuwa likitawala kwenye vinywa vya wengi, hususan vijana na wafuatiliaji wa teknolojia, lakini hadi sasa, bado ni watu wachache sana walioelewa kikamilifu maana na matumizi halisi ya teknolojia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…