nje

Nje (Њ њ; italics: Њ њ) is a letter of the Cyrillic script.
It is a ligature of the Cyrillic letters En ⟨н⟩ and Soft Sign ⟨ь⟩. It was invented by Vuk Stefanović Karadžić for use in his 1818 dictionary, replacing the earlier digraph ⟨нь⟩. It corresponds to the digraph ⟨nj⟩ in Gaj's Latin alphabet for Serbo-Croatian.It is today used in Macedonian, variants of Serbo-Croatian when written in Cyrillic (Bosnian, Montenegrin, and Serbian), Itelmen and Udege, where it represents a palatal nasal /ɲ/, similar to the ⟨ny⟩ in "canyon" (cf. Polish ⟨ń⟩, Czech and Slovak ⟨ň⟩, Galician and Spanish ⟨ñ⟩, Occitan, Portuguese and Vietnamese ⟨nh⟩, Catalan and Hungarian ⟨ny⟩, and Italian and French ⟨gn⟩).

View More On Wikipedia.org
  1. G

    JamiiForums Tanzania Kariakoo ukiondoa Wakinga, Wachaga na wenye asili ya nchi za nje, panabaki patupu

    Ukitaka kupunguza tatizo la msongamano Kariakoo ondoa wakinga, wachaga na watanzania wenye asili za kihindi, kiarabu, kisomali, kichina, n.k.. hawa ni almost asilimia 70 ya biashara za Kariakoo Wanaobaki kwa mbali labda ni waha na wapemba kwa makadirikio ni asilimia 20 wanaobaki asilimia 10...
  2. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi mtendaji wa UnitedHealthcare auliwa nje ya hoteli Midtown Manhattan

    https://youtu.be/NM2hAO4p8IU?si=6YELos-i_A88ekRw Inavyosemekana mauajj yametokea mapema asubuhi mishale ya saa 12 na dakika 45 nje ya hoteli ya Hilton. Huyo CEO ni Brian Thompson. Inavyoelekea mauaji hayo ni kuwindwa. Jamaa alipomaliza mauaji yake akapanda ki baskeli cha umeme na kutokomea...
  3. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Kwanini hoteli kubwa zenye hadhi ya 5 stars huwa na bendera za mataifa mbalimbali kwa nje? Siri iko hapa!

    Wakuu, Najua nitakuwa sipo peke yangu, lakini mara nyingi huwa nikienda kwenye hizi hoteli kubwa the likes of Serena, Kilimanjaro Hyatt, huwa nakutana na bendera za nchi mbalimbali. Zamani nilikuwa sijui maana ya bendera hizi na nilikuwa nadhani kwamba pengine bendera huwakilisha aina ya...
  4. BigTall

    JamiiForums Tanzania Vijana wenzangu wa Zanzibar tuwe makini, wengi wanatepeliwa kwa kuambiwa wanatafutiwa safari ya nje ya Nchi

    Huku Zanzibar kumeibuka tabia ya Watu ‘kupigwa’ sana pesa kwa kisingizio cha kutafutiwa safari za kwenda nje ya Nchi. Wengi ninaowafahamu waliokutwa na changamoto hiyo wameingizwa mjini kwa kuambiwa wanatafutiwa safari ya kwenda Nchini Canada, wanashawishiwa kuwa watakuwa na maisha mazuri...
  5. Desierto

    JamiiForums Tanzania Natarajia kupata mtoto nje ya mke wangu

    Ndo hivo imetokea japo sijutii kwasababu ya mgogoro wa hapo kipindi Cha nyuma ambapo ilinibidi kumtafuta wa kunipa furaha Sasa baada ya wife kugundua nataka kuoa mwingine Basi akarudisha upendo na kuwa mpole japo mimi sikutaka Tena kuwa naye kwani stim zilishakata kwake Akawa ananiomba...
  6. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kitanda hakizai haramu wewe ni wa nje ama ndani ya ndoa..nini haki zako kama mtoto wa nje ya ndoa kwa waislam na wakristo...

    wapendwa mwenye kujua haki za watoto wa nje ya ndoa tupeane madodosoo hapa kwa dini zotee maana watoto wa nje ya ndoa wanaongezeka kila iitwapo leo vyema nao wakajua wazazi wakifa nn maslahi yao kufwatana na dini za wazazi wao kazi kwenu wapendwa... Operation okoa mtoto wa nje ya ndoa
  7. G

    JamiiForums Tanzania Nje ya kufunga CCTV camera ni huduma gani nyingine inatajirisha IT wa Bongo?

    IT wengi wamejiajiri kwenye kupiga window, kuingiza muvi, ku burn cd, n.k. baadhi wamejiongeza kuwa mafundi simu, mafundi laptops, n.k. maendeleo yao kiuchumi huwa ni ya kawaida. Kuna huu mchongo wa cctv camera umebadili maisha ya vijana wengi wa IT, vijana wanapush ndinga za 20M+, wenye akili...
  8. Capo_di_Tutti_Capi

    JamiiForums Tanzania Urusi yaanza kufufua ndege zake za abiria, kukabiliana na vikwazo vya nje

    Kwa miaka mingi usafiri wa anga wa kiraia wa Urusi umekuwa ukitegemea ndege na baadhi ya vipuli muhimu kutoka nje ya nchi kama Boeing na Airbus. Anga ya kirusi ilijaa ndege za kigeni, zikiondoa ndege za ndani, hivyo kuzuia miradi ya ndege kama vile Tu-204/214 kuendelezwa. Katika kipindi hiki...
  9. Red shadow

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa nje Ishmael alituletea waarabu. Nimejifunza kutulia kwene ndoa

    Nikiangalia waarabu walivoitenda dunia nimekuja kujifunza Kumsikiliza mungu. Akikwambia tulia kwene ndoa ana maanisha. Akikwambia oa mke mmoja wewe na mkeo muwe mwili mmoja ana maanisha. Ukitenda unayoyajua utaiumiza dunia na ukoo wako na kizazi chako. Mtoto wa nje ya ndoa siyo. Poleni...
  10. Suley2019

    JamiiForums Tanzania KWELI Mbwa Laika ni kiumbe hai wa kwanza kusafiri nje ya dunia

    Nimekutana na stori inadaiwa kuna Mbwa wa Urusi anayeitwa Laika ndiye kiumbe hai wa kwanza kusafiri nje ya dunia? Kuna ukweli kuhusu historia hii?
  11. U

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa riwaya zilizojipatia umaarufu mkubwa ndani na nje ya tanzania na sababu za kupigwa marufuku

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika hapo juu Mimi nianze na Rosa Mistika mtunzi kezirahabi marufuku kwa kukiuka maadili Jioni njema
  12. Troublemaker

    JamiiForums Tanzania Nafikiria nje ya box: Ubongo wa Marehemu Kuunganishwa na Roboti, Hii Itakuwa Je?

    Habari! Hivi, kwa teknolojia ilipofikia kwa sasa, je, akitengenezwa roboti halafu ukachukuliwa ubongo wa mtu aliyefariki ukaunganishwa na viungo vya mwili vya roboti? Je, hawezi kuwaza, kufikiri, na kutenda kila kitu kwa usahihi kama mtu ambaye awali alishakufa? Yaani, akarudi na uwezo, akili...
  13. Thabit Madai

    JamiiForums Tanzania Nje ya box Yanga kuhamia uwanja wa Azam Complex

    -NJE YA BOX Yanga wamehama uwanja wa Azam Complex, hii ni baada ya kipigo mara mbili mfululizo kutoka kwa Azam Fc na Tabora United. Yanga hawajaweka wazi kwanini wamekimbia Chamazi ila kuna maswali tunaweza kujiuliza:- A) Sababu za kiufundi ? B) Sababu za nje ya Uwanja au C) Sababu za...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Wizara ya mambo ya nje limejaa machawa na wapinzani wa kisiasa!

    Raisi Samia amekuwa akiwatoa wasomi diplomasia ambao wanajua na kupendwa na kuweka machawa ambao hawasaidii nchi. Mama Mulamula alitolewa baada ya kupata umashuhuri . Makamba baada ya woga wa Mama kisiasa. Sasa mama kabaki na makada machawa na watu anaowahopa . Mkuu wa zamani wa usalama ni...
  15. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo: Wizara ya Mambo ya Nje kuendelea kuongeza fursa za Kiswahili

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amesisitiza kuwa Wizara yake itaendeleza jitihada za kutafuta fursa za Lugha ya Kiswahili duniani kupitia Balozi zake nje. Msisitizo huo umetolewa wakati akitoa salamu kwenye hafla ya ufunguzi wa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Boss wa Kichina awafungia Wafanyakazi kwa nje

    Leo nilienda ofisi moja kununua bidhaa, cha ajabu nilikuta wafanyakazi wamefungiwa kwa nje na kufuri juu. Boss ametoka (mchina) anaamini wanaweza kuiba kitu na kukitorosha. Cha ajabu wafanyakazi wale wanaonekana kuzoea kabisa hilo swala. Wanasema linajitokeza mara kwa mara. Nilikaa hadi boss...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Kijana wa Miaka 17 ahukumiwa kifungo cha nje Miezi miwili kwa kumbaka Mwanafunzi

    Kijana wa Miaka 17 ahukumiwa kifungo cha nje Miezi miwili kwa kosa la kumbaka Mwanafunzi Halikadhalika, Mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka 17 Mkazi wa Kijiji cha Kilambo, mwanafunzi wa kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari Ikimba amehukumiwa kifungo cha nje miezi 12 pamoja na kumlipa fidia...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Umewahi fanya mapenzi nje?

    Mwezi wa 6, Kuna siku nilikuwa na demu mmoja home. Sasa siku Ile tulikuwa sebuleni napiga katikati ya show imekula Kali tukajikuta tupo nje tukapiga show, japo nyumba ilikuwa inafensi. Tuliendelea mpk tukamaliza, lakini baadae ndo ukawa mchezo wetu tunaenda nje kuajiri na se*y. Daaa nikikumbuka...
  19. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Suluhisho la kulipa fidia ya mabilion nje ya nchi ni kubadili jina la nchi

    Bado tunaendelea kupigwa kwenye kesi za fidia na makampuni ya kigeni.. Tunalipa mabilioni ya shilingi na mabilion ya dola kwa makosa ya watu wachache tuu.. Mostly kutoka chama chawala Hakuna hata kesi moja tuliwahi kushinda.. Mikataba tuliyosaini kimagumashi inatutesa sasa.. Waliosaini kwa niaba...
  20. Introvert Music

    JamiiForums Tanzania Hivi unawezaje kuishi nje ya Dar es Salaam

    Kila nikitafakari kwamba Kuna binadamu wanaishi Tanzania hii nje ya dar es salaam huwa nashindwa kuelewa. Yaani mtu unawezaje kuishi porini aisee kweli ndio maana dar ni ya wajanja nyie wa mikoani ni washamba sana. Ndio maana mademu zenu wakija huku wanarudi na mimba sababu ya ushamba wao ya...
Back
Top Bottom