njaa

Nee Ko Njaa Cha (acronym of Ninnem Kollum Njaanum Chavum) (English:Kill you, then Kill Myself) is a 2013 Indian Malayalam comedy thriller film written and directed by Gireesh. The story, set in Kochi and Goa, follows the lives of three friends played by Sunny Wayne, Sanju and Praveen Anidil. Poojitha Menon, Sija Rose, Rohini Mariam Idicula and Parvathy Nair form the female leads. Shooting was carried out in Goa and some shots in Kochi.

View More On Wikipedia.org
  1. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mh. Kiasi: Viongozi wa Dini wahangaike pia na njaa ya haki ya Waumini wao

    “Natoa wito kwa Viongozi wetu wa Dini, Maaskofu, Mapadri na Masheikh wetu, na wao ni Watanzania, yakiharibika yanaharibika na kwao yakitengamaa yanatengamaa na kwao, wasikubali kuambiwa wajibu wao ni kuombea roho za Waumini wao tu, wajiulize je miili ya Waumini wao ipoje, wahangaike na njaa ya...
  2. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Usile chakula bila kuwa na njaa, na kama humpendi mpishi furahia chakula kwa njaa zako maana

    Shibe na njaa vyote si shuruti huanza na kiu yako au njaa yako, mahaba kwa mpishi na mahaba kwa aina ya chakula. Kama njaa Ina chakula basi nayo mapenzi ya njaa yake na kiu yake. Sirudii mwenye akili aelewe mapenzi sio Gereza shiriki penzi kwa njaa na kiu yako sidhani kama mapenzi ni ujenzi...
  3. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hivi tukisema Tanzania tujitenge kikanda,unahisi ni kanda gani watapeta na ni kanda gani watakufa njaa?

    Me nahisi zitakazopeta ni hizi. 1.Lake zone 2.Southern Highlands 3.Nothern Highlands 4.Coast Zitakazokufa njaa 1.Central zone 2.Southern zone 3.West zone 4.Zanzibar
  4. Ritz

    JamiiForums Tanzania Netanyahu na wenzake walisema Gaza hamna njaa mpaka congress wakampigia makofi, leo analalamika kuwaona mateka wake hali zao

    Wanaukumbi. All three Israeli captives were starved because of Israel. Israel controls the borders and the aid going in. It is Israel that imposed starvation on Gaza as a whole. The irony is that the same Israelis who claimed there was no famine in Gaza and ignored the suffering of Palestinian...
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana hawataki kuoa kwa sababu wana njaa!

    Wana-JF, mimi nawasalimia. Kwa muda sana natafakari haya maisha ya hawa vijana hususani wa kitanzania, ambao wanakataa ndoa. Kwa tafiti zangu 'informal', nimebaini kuna tatizo kubwa sana linapelekea hili. Nalo si jingine, ni NJAA. NI wazi, usipokula lishe bora, hata akili yako haifikiri vema...
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mtoto kamwaga ugali, nyumba yote wanakwenda kulala njaa

  7. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mzee Wasira: Wananchi wana njaa, hawawezi kula Katiba

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema kuwa serikali imetekeleza madai yote yaliyowasilishwa na vyama vya upinzani, ikiwemo maridhiano, kurejea kwa wanasiasa waliokimbilia uhamishoni, msamaha kwa waliokuwa gerezani, pamoja na kuruhusu maandamano na mikutano...
  8. tpaul

    JamiiForums Tanzania Diamond awatukana vijana wa Tanzania; 'wana njaa'!

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida, msanii wa muziki na mmiliki wa biashara, ikiwemo WASAFIBET, ameamua kuwatukana vijana wa kitanzania kwa makusudi kwa kuchapisha tangazo lenye nia ovu ya kudhalilisha, kutweza na kubagaza utu wa vijana wa Tanzania. Ni dhahiri shahiri kuwa amewalenga vijana kwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Dar acheni kulia lia njaa wakati kuna bahari

    Inakuwaje wanajamvi. Vijana wa Dar acheni kulia lia njaa wakati wote wakati kuna bahari karibu yenu. Nendeni mkajishughulishe na shughuli za uvuvi kuliko kushinda vibarazani mkipiga umbea na porojo. Kilimo tu mnakwepa halafu mnaendekeza anasa na kupenda kula kula na kufakamia msosi wakati mkoa...
  10. Knock life

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wa kiafrika ni wazuri sana ila wana roho mbaya na wana ile njaa ya chakula hatari

    Moja ya mambo huwa siyapendi kutoka Kwa wabantu black women ni uchoyo na roho mbaya na njaa ya chakula. Mimi huwa naonaga black women walipewa maumbo mazuri Ila akili 0% Mfano tangu nikae nao hawa black women ukimuhalika kwako akiona misosi anatoa macho Sana akiona umegawa chakula umewapa...
  11. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Waliokwenda kwa Mwenyekiti wote waganga njaa hakuna kitu palee

    Njaa mbaya sana kosa yootee sio njaa KUNA wah walienda kwa mwenyekiti WA chadema wakitaka agombee tenaa. Wale jamaa ukiangalia kuanzia sura zaoo na maneno yao. utaona Hawa jamaa waganga njaa Walishtuka wakahisi mbowe akiondoka maisha yao na maslahi yaoo yatakuwa hatarinii Siasa mchezo...
  12. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Simba kama kufunga itafunga Swaumu au kushinda, Ishinde Njaa. Ikijitahidi leo ni draw

    Naendelea vyema na tabiri zangu na kuna watua mbao wananipigia kunishukuru kutokana na kufanikiwa katika kile ninachowapatia . nina ilimu ya Nyota hii nilijifunza kitambo kidogo. mara nyingi huitumia katika mambo yangu mbalimbali. kinyota leo ni siku mbaya sana kwa Simba. na sioni kama kuna...
  13. PROFOUND NOTION

    JamiiForums Tanzania Ni bora nife nikifukuzana na ndoto zangu kuliko kufa njaa kwenye dunia isio na haki

    Kipi special sanaa katika hii dunia kinachoweza kunijali kwa dhati eti nikionee huruma??? Eti kinifanye nicheze kwa standards zilizo fair, hakipo, so ni muda wa kuwa ruthless. Anaekuhubiria uache pombe, anatembea na mke wako Anaekukamata haujalipa kodi, anapita na pesa zote za mradi wa mtaani...
  14. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania The real love?

    The real love
  15. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Video: Benson Kigaila ampiga dongo Mch. Msigwa, asema njaa ya tumbo ikihamia kichwani unakuwa na matatizo

    Wanajukwaa hiki kijembe cha Kigaila moja kwa moja kinamlenga Msigwa, anasema kamwe usifikirie kwa kutumia tumbo, maana njaa ikishahamia kichwani ni shida.
  16. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakuna umuhimu wa kuoa mke mfanyakazi. Labda kwa waliofeli maisha wafanye hivyo wasije kufa njaa

    Hello! Ofisi yetu ya umma ina mabinti zaidi ya 20, iko Dar es salaam. Kati ya hao mabinti zaidi ya 20 mabinti zaidi ya 10 kila mtumishi anajua kuwa bosi kawapitia. Hapo hatujahesabu wengine ambao aliweza kutembea nao kwa siri zaidi. Kati ya hawa mabinti wapo wake za watu na wachumba wa watu ...
  17. mdukuzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuwa kwenye mahusisno na msichana anayechagua vyakula? Mimi nilimlaza njaa siku mbili akaanza kula ugali dagaa

    Huyu binti alikuwa ni mpenzi wa rafiki yangu, sijui walizinguana nini, saa nne usiku akanipigia simu kuwa amezinguana na rafiki yangu (yaani mpenzi wake) na hajui atalala wapi hana hata mia mbovu Nikamwambia njoo ulale kwangu, usiku mrefu ndugu zanguni, nilikuwa naishi kighetogheto chumba...
  18. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Mwanaume yuko radhi alale njaa au kushinda njaa bila kula ili hawala yake asie na malengo nae ale.

    Nilipita mahali leo ( uswahili kidogo) nikaona maandazi aina ya half cake Dukani kwa mangi nikayatamani. kwakua sijayala muda mrefu nikasogea kwenda kuuliza bei nikaambiwa 200 moja, muuzaji akaniambia naomba hela yako iwe ya chenji sina chenji zinasumbua. nikamwambia nina elf 1 akasema unataka...
  19. Kipenzi Changu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku hiyo alikuwa romantic sana, kumbe njaa ilimzidi

    Mwanaume "mwenye kila kitu" kuna mtihani kidogo kumjua mwanamke mwenye mapenzi ya kweli. Wanawake wengi mapenzi kwa vitendo ni feeling experession na availability yake kwako, mbali na hayo basi ni kukupa dudu. Tofauti na mwanaume mwenye ziada nyingi za kuonyesha kukupenda. Sasa kwa mwanaume...
  20. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Njaa ni kali wanangu ila tuwe makini na maamuzi nyeti wakati wa ukata maana huwa hayajirudi

    Mkopo juu ya mikopo. Kusaini mikataba ya kukunyonya basi tu ili upate hata kidogo cha kujikimu. Kuridhia masharti ya mganga ya kuleta damu ya mtu. Kuuza kiwanja kwa bei ya bure ili kupunguza makali ya tabu. Kumuua baba ili urithi mali maana uvivu wako umekuletea njaa kali. Kumpiga kibuti...
Back
Top Bottom