njaa

Nee Ko Njaa Cha (acronym of Ninnem Kollum Njaanum Chavum) (English:Kill you, then Kill Myself) is a 2013 Indian Malayalam comedy thriller film written and directed by Gireesh. The story, set in Kochi and Goa, follows the lives of three friends played by Sunny Wayne, Sanju and Praveen Anidil. Poojitha Menon, Sija Rose, Rohini Mariam Idicula and Parvathy Nair form the female leads. Shooting was carried out in Goa and some shots in Kochi.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kitenge na Shaffii huangalia mambo kwa jicho la Njaa Kali

    Original post and source Shaffii source yake ikiwa hiyo ya juu. My Take Naelewa tatizo sio lugha ila ni kufikiria mambo katika mlengo wa njaa. Yaani inaanza njaa baadae ndio unafikiria. Dauda na Kitenge nyie ni wazee sasa. Lindeni heshima kidogo mliyokuwa nao. Hizi nafasi kubwa wanazipata...
  2. JamiiForums Tanzania Njaa Arusha; watu waanza kuiba hadi ugali Meru

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida, wananchi wa Meru Arusha wamepigwa na butwaa kwa vitendo vya udokozi na wizi wa vitu mbambali pamoja na vyakula vya aina mbalimbali vilivyoiva au vibichi. Kumekuwa na malalamiko mengi ya watu kuibiwa hasa jikoni na kuibiwa vyakula kama ugali, ndizi, karoti na...
  3. JamiiForums Tanzania DOKEZO Taarifa za kiuchunguzi kwenda Wizara ya Kilimo na Wizara ya Mifugo juu ya Ukaribishaji wa Jangwa na Njaa

    Wana JF Nimekusanya taarifa za kiuchunguzi katika mikoa mbali mbali hasa inayolima ndizi. Baada ya ujio wa upandaji miti ya mbao aina ya patula pine (pinus patula) nimegundua vitu vingi vimeanza kupotea kutokana na watu wakidhani wameyakabili maisha kwa kupanda miti hii baadae wauze mbao...
  4. JamiiForums Tanzania Una hali ngumu ya kipesa? Nakupa hii mbinu bure kabisa, kuanzia sasa usilale njaa tena

    Kwa maisha na mifumo ya kimaisha ya Afrika kupigika ni jambo la kawaida sana. Hivi umewahi kujiuliza hawa Wazungu wanaotalii Tanzania na kuzunguka dunia kazi wabafanya saa ngapi? Turudi kwenye mada. Haya basi chukua kapesa kadogo ulichonacho kisha kashike na ukiamuru kiite wenzake (pesa...
  5. JamiiForums Tanzania Tahadhari ya Baa la njaa duniani yatolewa, mtu mmoja hufariki kila baada ya Sekunde 4

    Katika barua ya wazi kwa viongozi wanaokutana katika Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Jijini NewYork, Mashirika 238 kutoka Nchi 75, yakiwemo #Oxfam, #SaveTheChildren na #PlanInternational yameelezea hali ya wasiwasi ongezeko la viwango vya njaa Barua hiyo imebainisha kuwa Mtu mmoja...
  6. JamiiForums Tanzania Njaa haina adabu, uliwahi kukamatwa na njaa kisawa sawa na uliituliza vipi ?

    Kuna watu wanakula mahindi ya kuchoma jioni kwa kuburidisha vinywa lakini kwa mwengine ni kwajili ya kuokoa maisha, njaa isikie tu. Kuna kipindi njaa ilinipiga kwa siku inayokaribia ya pili bila kuweka chochote tumboni, nililegea sana ila nilijifanya nina nguvu nisichekwe na wenzangu...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Tuorodheshe wasaliti ambao "NJAA" zao zilibadiri misimamo yao baada ya kupata "ulaji" wakati wa 2015-2020

    Wasaliti ambao walijitoa ufahamu baada ya magufuli kuwapa madaraka/Ulaji. Wasaliti kutoa all walks of life not necessarily from opposition who crossed the flour! So many of them, let us keep good record of them on JF. 1. Polepole 2. Kabudi 3. Nasari 4. Kafulila
  8. JamiiForums Tanzania UN: Raia milioni 6 wa Afghanistan wanakabiliwa na hatari ya baa la njaa

    Umoja wa Mataifa imesema kwamba Waafghanistan milioni 6 wako hatarini kukabiliwa na njaa, huku majira ya baridi kali yakikaribia na mashirika ya kibinadamu yakiwa na uhaba mkubwa wa fedha Mwakilishi wa Umoja wa Mataifa Martin Griffiths amesema watu milioni 24 nchini humo wanahitaji msaada wa...
  9. S

    JamiiForums Tanzania 'SuperPower' alalamika 'njaa': Ikulu 'nyeupe' yaitisha kongamano rasmi kujadili namna ya kupambana na adui mpya 'njaa' anayelitafuna taifa

    Duh...kweli adui yako mwombee njaaa! Hivi kweli 'SuperPower' wetu kafikia hatua ya kulialia njaa?! Hadi Ikulu 'kubwa' kuitisha kongamano rasmi la kujadili namna ya kupigana vita na adui mpya 'njaa' anayesumbua taifa teule! Kweli maajabu hayaishi dunia hii. Asante sana Urusi kumvua nguo Super...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali imejipangaje kukabiliana na wimbi zito na la kutisha la njaa mwaka huu? Nfra inahifadhi yoyote ya chakura mpaka Sasa?

    Kwa kifupi tu! Siuoni mkakati wowote wa kukabiliana na wimbi la njaa mwaka huu na dalili zote zinaonesha hakuna akiba yoyote ya chakura na Wala hatusikii mpango wowote wa tafadhari kunusuru Hali hii. Jakaya katika mhula wake wapili kulitokea Hali kama hii lakini alifanya mbinu ya kuagiza mchele...
  11. JamiiForums Tanzania Njaa mbaya

    Hivi unawezaje kuiba tablet (kishikwambi) yenye thamani ya laki na tisini na tano? Ukiiba unaenda kuuza shilingi ngapi?
  12. JamiiForums Tanzania Putin mpaka anatamani kutumia hawa wanajeshi wa Korea Kaskini licha ya njaa yao na unyonge

    Kwa sasa Urusi inaomba msaada wa wanajeshi kutokea popote, hadi wanafuata hawa wa Korea Kaskazini, sema itabidi kwanza walishwe chakula kama miezi miwili ndio waingie kwenye mapambano North Korea offering 100,000 troops to help defeat Ukraine, Russian state media says...
  13. JamiiForums Tanzania Mjue nabii wa kiafrika aliyemwigiza Nabii Daniel wa kwenye Biblia kuingia katika banda la simba wenye njaa kali

    Huyo mwamba pichani upande wa kushoto alipata kuwa nabii mkubwa sana huko Nigeria kwenye miaka ya 80 na 90. Anaitwa nabii Daniel Abodunrin. Unambiwa mwamba alikuwa anafanya miujiza mikubwa mikubwa , alitabiri mambo kwa ufasaha na alikuwa na wafuasi wa kutosha ambao walimwamini sana. Yote hayo...
  14. JamiiForums Tanzania Umasikini ndo unasababisha tufanye sensa za Mikingamo, wenzetu wanajua hata kama ukilala njaa

    Salaam Wakuu, Natamani kuona kila mtu akihesabiwa kwa maendeleo sawa ya nchi yetu. Ila bado nailaumu Serikali na NBS kwa kulifanya lionekane swala la Kisiasa. Wameshindwa kutumia Teknolojia kufanikisha hili swala kwa 50% siku ya kwanza badala yake siku ya kwanza wanaenda kufanyiwa Sensa watu...
  15. JamiiForums Tanzania SoC02 Janga la Njaa Mpwapwa

    JANGA LA NJAA MPWAPWA Mpwapwa ni wilaya inayopatikana mkoani Dodoma nchini Tanzania , ni wilaya yenye ardhi iinayosifika zaidi Kwa kilimo kikubwa Cha mazao ya biashata na chakula . Baadhi ya mazao yanayopatikana wilayani humo ni kama Mahindi ,Kkaranga,, mtama, alizeti, ufuta, viazi mviringo...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Utekelezaji Ilani ya CCM umegeuka chanzo cha Umaskini, njaa na mateso Tanzania

    Wakuu mambo si mambo. Kila goti sasa litapigwa. Na kila neno lilokuwa halijasemwa sasa litasemwa. Ilani ya Chama cha mapinzduzi kama zilivyo ilani za vyama vingine vya kisiasa ndio hutoa picha halisi ya namna Nchi itakavyopiga hatua kimaendeleo na ktk nyanja zingine za maisha. Huwezi kupanda...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watu Milioni 22 kukumbwa na baa la njaa Afrika Mashariki

    Takariban watu Milioni 22 kutoka Pembe ya Afrika Mashariki wapo hatarini kukumbwa na baa la njaa ikiwa ni ongezeko la watu Milioni 9 tangu mwanzoni mwa mwaka 2022 Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limesema uhaba wa mvua kwa misimu minne mfululizo umesababisha idadi kubwa ya wananchi wa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kama Watanzania wengi hawana uwezo wa kumudu matibabu, basi yawe bure

    Mwanafunzi ahaha kulipa deni la Sh9 milioni Mloganzila Rombo. Mwanafunzi wa Chuo cha Serikali za Mitaa (LGTI), Hombolo mkoani Dodoma, Lightness Shirima (22) amesema anahangaika kulipa deni la matibabu la Sh9 milioni aliloliacha baba yake aliyefariki dunia Hospitali ya Mloganzila ili apatiwe...
  19. JamiiForums Tanzania Kutoka Jumuiya ya Madola : Njaa zinabadili Upepo wa Mbio za Uwanjani Hadi Marathon

    Bofya Hapa Kumsikiliza... Njaa zinabadili upepo wa Riadha Mwanariadha wa Mbio za uwanjani, Mita 5000 ( Track and Field) Faraja Lazaro, ameshauri wahusika wa Riadha, wawekeze kwenye mashindano ya Uwanjani , Pamoja Serikali kuweka fungu Ili Wanariadha wasihame kwenda kwenye Marathon, ambapo Pesa...
  20. JamiiForums Tanzania Tunalalmika njaa, ukame, ukosefu wa mvua ili hali Mkaa unapatikana wa kutosha, kuni zipo tele, Yadi zimejaa mbao za kila aina.

    Imeandikwa "Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"...na ndio kinachoendelea kwa sasa. Kuna wakati ukijaribu ku imagine huyu Mungu anatuchukuliaje ni ngumu sana kupata jibu. Tunachojaribu kumfanyia Mungu kwa sasa ni kama Mtu usikie kilio kikali cha Mtoto ndani alafu ukiingia unamkuta kaweka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…