njaa

Nee Ko Njaa Cha (acronym of Ninnem Kollum Njaanum Chavum) (English:Kill you, then Kill Myself) is a 2013 Indian Malayalam comedy thriller film written and directed by Gireesh. The story, set in Kochi and Goa, follows the lives of three friends played by Sunny Wayne, Sanju and Praveen Anidil. Poojitha Menon, Sija Rose, Rohini Mariam Idicula and Parvathy Nair form the female leads. Shooting was carried out in Goa and some shots in Kochi.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    KERO Ajira Mpya TAMISEMI Sumbawanga tunalia njaa, tusaidiwe fedha zitoke, tukihoji HR anakuwa mkali

    Ninaomba mtusaidie kupaza sauti kuhusu suala la kupata pesa za kujikimu sisi ajira mpya upande wa TAMISEMI Sumbawanga Municipal Council. Nimepata ajira yangu huku lakini ninayoyasikia na kuyaona yanaumiza sana. Kinachumiza zaidi ni kwamba HR wa Manispaa ni mkali kama pilipili alituambia siku...
  2. Genius Man

    Kama unafunga mpaka ule daku au kwasababu ni mwezi wa mfungo au usifike na watu basi unashinda na njaa

    Kama unafunga mpaka ule daku au kwasababu ni mwezi wa mfungo au usifike na watu basi unashinda na njaa. Kuna hawa watu wanafunga na wakiona watu wanakula wanakasirika au wanawapiga na kuwauwa basi hao wanahinda na njaa wamebadilisha mda wa kula. Yule anaye funga kwasababu ya kuwaombea...
  3. Mikopo Consultant

    Ukiifahamu dunia kisawasawa huwezi kufa njaa wala kufa masikini!

    Hii elimu siwezi kuitoa public kwasababu serikali ya Tanzania kupitia Benki kuu ya Tanzania haitambua na inazuia watanzania kuelewa na kujihusisha na masuala yote yanayohusiana na Crpto currencies, forex, etc. Hii imekuwa ikinishangaza sana. Unakuta Gavana wa Benki Kuu anakaza shingo kweli...
  4. Kipenzi Changu

    Ukijuana na anayekuzidi uwezo, jitahidi kuficha njaa zako

    https://m.youtube.com/shorts/9yn5UKUP3yM Hii inakata stimu sana. Umepotezana miaka kibao na jamaa yako, mnakuja kukutana hivi karibuni. Unashindwa kabisa kuficha njaa zako, sms za simu za virungu kibao. Umetambulishwa kwa mtu anayekuzidi uwezo basi chota maarifa. Najua hatuishiwi shida...
  5. The Mongolian Savage

    Sweden na Finland sasa hivi kuna njaa kali, msijisumbue kutamani kuja

    Maisha sasa hivi Sweden na Finland kwa wahamiaji (Foreigners) ni magumu sana kupita maelezo. Kuna njaa kali sana na hii serikali zao zinafanya maksudi kwa kubana na kukaza ili tu kuzuia wahamiaji. Kazi za kubeba box zimekuwa ngumu hata za kufagia tu zimekuwa za kugombania na siyo full time...
  6. Mshana Jr

    Story time:Holodomor: Njaa Kubwa ya Ukraine (1932-1933)

    1. Sababu ya Asili Holodomor ilikuwa njaa ya bandia iliyoletwa na sera za kisiasa na uchumi za Soviet Union chini ya Joseph Stalin. Sababu kuu ni: •Kutaifishwa kwa Kilimo: Wakulima wa Ukraine walilazimishwa kuuza mazao kwa bei ndogo kwa serikali, huku mashamba makubwa yakichukuliwa. •Bajeti...
  7. MamaSamia2025

    Upishi na ushonaji bado ni fani zinazoweza kumfanya mtu asilale njaa

    Majirani zetu kama Kenya, Uganda, Zambia, DRC na nchi zingine zinazotuzunguka hawatuwezi kabisa kwenye mapishi. Wabongo kwa upishi ni hatari. Mara zote ninapokuwa nje ya Tanzania huwa ninapata taabu sana kwenye suala la vyakula. Kwa mfano Zambia ni jipu. Huko Zambia wanajua ugali tu. Vitu kama...
  8. H

    Mbinu Chafu za Udini Dhidi ya Kanisa Katoliki, Kunazidisha Umoja wa Wakristo

    Tuna utawala duni na wa ajabu nyakati hizi kuliko wakati wowote. Watawala wamenyimwa hekima, ufahamu na maono, kwani wanajitengenezea kaburi lao wenyewe. Wajinga wanaamini kuwa kulishambulia Kanisa Katoliki la Roma, kutalidhoofisha, bila ya kufahamu kuwa Wakristo wote ni Wakatoliki. Katoliki ni...
  9. Think2

    Njaa ni mbaya sana

    Njaa inawafanya watu kuwa machawa promax totally mtu akiwa chawa hua anaupungufu fulani wa kiakiri maana yeye huwaza pesa tu. Ninasikitika kwamba serikali hii ndio serikali ya mazwazwa kuliko serikali zote zilizowahi kupita watumishi wamegeukia uchawa hata taasisi za kidini nazo zimefanywa...
  10. Chizi Maarifa

    Hapa ndo unaona Tofauti ya wenye Dini na Sisi Vilaza, Vibaka, Waganga Njaa, Matapeli.

    Sisi tulichoweza ni kufuga ndevu na kupaka Henna, lakini Elimu kama Elimu hatukuwahi kupata tukisha kariri mistari na kuvaa vipedo basi tunaamini tushamaliza. Wapo wenye Dini yao. Hao huwa wanakuwa tofauti na kuwa na Uelewa wa tofauti sana. Mpaka utashangaa sisi mbona ni kama nyumbu, manyani...
  11. Waufukweni

    PostGE2025 Mtangazaji wa Clouds TV: Doria ya Polisi, Wanajeshi iwe endelevu

    Mtangazaji wa Clouds TV, Paul James maarufu PJ amesema, "Asubuhi wakati nakuja kwenye kipindi nilikutana na askari kwenye daraja linalotenganisha mkoa wa Pwani na Dar es Salaam. Wapo askari wanafanya kazi yao vizuri. Wameniuliza kama nina kitambulisho cha NIDA. Nikaonyesha. Mmoja wapo aliponiona...
  12. Ritz

    Angalizo wanaoshikiwa akili na Wanaharakati njaa wa Tanzania

    Wanaukumbi. Wanaharakati na mamluki wa mabeberu wanashabikia watu watoke majumbani kwao wakaandamane kwa kuwa kukaa ndani watauwawa! Wanakwenda mbali zaidi na kusema waliouwawa kwenye vurugu za 29 Oktoba 2025 walikuwa majumbani! Hawa watu ni wagonjwa wa akili na washenzi sana! Vile vituo vya...
  13. Common Folk

    PostGE2025 Rais Samia: Waratibu wa maandamano wanatoka nje, wachache wa ndani ni kwa sababu ya njaa na kukosa uzalendo

  14. Sifi Leo

    PostGE2025 Rais niamini Mimi amani hulindwa na walioshiba, wenye NJAA hawaelewi, waliomwambia mbunge hawataandamana, wamemalizia na neno "Tuna NJAA"

    Najiuliza Mzee kikwete yupo kweli? Butiku je? Warioba je? Peter msigwa je?😂😋🤣? Yule mjaruo Koko, Wenje je? Hivi peter msigwa na wenje mnaweza vaa mashati ya ccm Leo hii mkaitisha mikutano majimboni MWENU Leo hii?🤣😋😂? Sio agenda yangu asubuh ya Leo ya mwezi mpya. Mh RAIS, watu hawataki...
  15. Manjagata

    Nini Kimemkuta ndugu yangu Paskali Mayalla a.k.a Mr. NJAA?

    Takribani sasa ni kama wiki nzima sijaona Post ya Mh. MR. Njaa. Nini kimemkuta Porti wangu jamani? Hii hotuba ya jana asingeacha kuandika chochote! Je, amejitathimini na kuona uchawa haulipi? Au Gen-Z wamemtisha?
  16. M

    Nawakumbusha Serikali watu hawatavumilia njaa majumbani kwa vitisho vya risasi

    Kufuatia sintofahamu ya kupiga mabomu na risasi kwenye mitaa na kuwatishia watu wasitembee maduka na magenge yamefungwa Watu wanakula akiba ya chakula kilichokuwa nyumbani, kikiisha nawahakikishia watu hawatavumilia njaa, hawatakubali kufa kwa njaa watakuja mitaani bora muwauwe kwa risasi...
  17. Isenye

    List ya idara zenye njaa kali huko halmashauri.

    1.Idara ya elimu ya msingi 2.Idara ya kilimo 3.Idara ya michezo 4.Idara ya mifugo na uvuvi 5.Idara ya usafi na mazingira 6.Idara ya utawala 7.Idara ya ujenzi 8.Idara ya Elimu secondary Huko watu wamepauka hadi huruma
  18. MK254

    Njaa imetanda Sudan huku wakiuana na kuchinjana hadi basi tu, binadamu amechafukwa hana huruma

    Haya mapicha yanasikitisha, hapa kuna link kwa yeyote mwenye uwezo wa kutoa misaada abofye akasaidie, hali ni mbaya, hadi nimekosa hata hamu ya kula...
  19. BabaMorgan

    Ukifanya mzaa unaweza kufa njaa kwenye nchi ya asali na maziwa

    Mbeya vyakula ni bei nafuu lakini amini nakwambia kuna watu wamelala na njaa huko Mbeya. Ukiwa na access ya kupata milo mitatu per day brother wewe umefanikiwa tembea kifua mbele mengine ni minor issues utazisolve ukiwa umeshiba. Mungu amuongezee neema mwarabu wa Africable pale Mivinjeni kwa...
  20. Mkalukungone Mwamba

    Wakenya Milioni 1.8 wakabiliwa na balaa la njaa, ukame

    Ripoti mpya ya usalama wa chakula nchini Kenya, inaonyesha kuwa karibu watu milioni mbili katika Kaunti kame nne za Kaskazini Mashariki mwa Kenya, wanakabiliwa na Uhaba mkubwa wa chakula. Serikali ya Kenya imetoa wito kwa wahisani kusaidia katika kukabili hali hiyo ya dharura ili kuepusha maafa.
Back
Top Bottom