Habari wanabodi
Nna Nissan X-trail, haijawahi kuniletea shida yoyote kabisa, ila mwezi mmoja kabla engine ili-heat kwa uzembe wangu mwenyewe, nikabadilisha head, gari ikarudi sawa, nikatembelea zaid ya mwezi, kama wiki moja iliyopita taa ya check engine iliwaka, nikaona isiwe tabu, nikapeleka garage, ikasoma Valve Timing, jamaa wakashauri timing belt haijaka sawa, ikafunguliwa ikarudishwa sawa,
Baada ya kumaliza service, tukatest gari ikaonekana iko sawa, baada ya kumaliza kutest, tukashauriana
engine OIL iongezwe kidogo, tukanunua lita moja ikaongezwa, baada ya kuongezwa, gari ikazimwa, kuja kuwasha ikagoma kabisa, mashine ikasoma CP ( Crankshaft position sensor ), zikabadilishwa na code ikafutika lakini bado imegoma kuwaka, issue ni kwamba haitupi spark kwenye cyclinder, tumeshajaribu kubadilisha hadi control unit lakini bado imegoma
Kwa wale wataalam ambao mmeshakutana na tatizo kama hili au mwenye ushauri wa nini tunaweza kufanya, nakaribisha maoni.!