Kati ya Subaru Forester na Nissan X-trail, ipi bora?

Abuusalahudin

New Member
Dec 29, 2015
3
4
Wadau, salamu kwenu.

Naomba ushauri toka kwenu. Mimi ni mgeni wa magari ila nayapenda haya magari, sasa je gari gani kati ya Nissan X-tail na Subaru Forester ni bora zaidi kwenye:

1. Uimara
2. Kuhimili barabara za vumbi na tope
3. Upatikanaji wa spea
 
me too

1571718244209.png
 
Zote nzuri. Xtrail inahitaji matunzo sana ili idumu, Subaru inavumilia shida kulinganisha na xtrail. Xtrail kuna zenye option ya four wheel, ipo juu vizuri, ina muundo mzuri wa sport utility vehicle wkt mwenzie amepungukiwa kidogo na sifa hizo.

Xtrail ni rahisi sana kutengeneza kwa fundi mjuzi sababu Mara nyingi inahitaji kubadili Vifaa badala ya kufix. Hata engine yake ni cheap ukiua. Unanunua kama spea tu.

Ni gari nilizozitumia. Na kama ni lazima nichague tena basi zote naziona poa tu ilimradi unaagiza mpya 0km au good condition from Japan au nchi zilizoendelea.

Note: kama Unanunua used hapa go for Subaru. Xtrail ina mambo mengi sana kuanzia oil replacement, sensors n.k na watanzania wenzangu wengi si watunzaji au hawana mafundi wanaoeleweka hivyo wanajikuta wanabadili badili mafundi. Na hapa nazungumzia second na first generation. Hizi mpya sijatumia
 
Asante kwa maelezo ya kina. Je subaru Kuna ambazo hazina Four wheel?
 
'ilimradi unaagiza mpya 0km'

Nadhani hio sentensi hapo juu ulikua unatania tu mkuu.
 
Inaonekana Subaru unaipenda kwa macho tu hujaijua bado. Xtrail is just another boring Toyota with no character.

Forester ni SUV yenye inline 4 (boxer) engine na symmetrical AWD inayokupa cornering performance moja matata sana kwasababu ya lower center of gravity na hakuna torque steer. Ongezea turbo hapo na sijui unacho compare ni nini.
 
Back
Top Bottom