JamiiForums Tanzania
NIDA
Habari wakuu nina changamoto ya nida majina yangu yanatofautiana jina la mwisho lakin mimi ni mtumishi nikienda kuapdate taarifa bank wanasema NIDA ina majina tofauti na bank kwa sababu ya jina moja tu la mwisho ila upanxe wa utumishi hakuna shida kabisa. Sasa kuna kipindi walinielekeza niombe...