Mi swali langu limenyooka sana. Umihimu wa kuwa na kitambulisho cha NIDA ni nini?
Maana tukienda kutengenezesha Passport mpya tunahitajika ku wasilisha vyeti vya kuzaliwa na vinginevyo.
Mimi kwa akili yangu nilikuwa nafikiria kuwa tukishapata Kitambulisho cha NIDA basi tena kutakuwa hakuna...
Rais Magufuli ameamuru kurudi nyumbani mabalozi wawili haraka akiwemo Dr Batilda Buriani, Dr James Nsekela wa Italia na Peter Kalaghe wa Uingereza
Pia Mkurugenzi mkuu wa NIDA Bw Mwaimu amesimamishwa kazi kuanzia sasa.
Akitangaza hatua hiyo, Katibu mkuu kiongozi Ombeni sefue amesema Batilda na...