Kilele9
JF-Expert Member
- Jun 1, 2017
- 1,452
- 1,091
Viongozi na wataalamu wa TRA, TCRA na NIDA shirikianeni msiwe kama mpo nchi tofauti. Inavyoonekana hamuishauri serikali ipasavyo kwa kutokushirikiana kwenu.
Serikali inapata kiasi kikubwa cha fedha kama kodi kupitia miamala inayofanyika kupitia mitandao ya simu. Kufungwa kwa laini za simu hata kwa siku moja tu nina imani serikali itapoteza mapato yake.
Kuandikisha uraia na kununua line za simu ni mambo endelevu sioni sababu ya kuwapa wananchi taharuki ya kukimbizana na hiyo tarehe (20/01/2020).
Taharuki hiyo ambayo inaweza kutumiwa na matapeli kuharibu zoezi lote.