Wakati huu kutakuwepo na watia nia wengi sana, toka kwa vyama vyote shiriki.
Kwa maana hiyo huu Ukumbi wa Siasa utajazwa na hao watia nia na hizi mada nyingine za kisiasa zitabanwa.
Kama kuna uwezekano, mafundi wa JF watengeneze mahala maalum pa hawa wenye nia ya kugombea nafasi mbalimbali za...