Na ni kwanini Chadema ina wachukia na kuwabagua sana waisilamu na hata ukiangalia uongozi wa Chadema taifa hawapo?
Lakini pia hakuna muisilamu na wala hakuna mzanzibari kamati kuu. Na kama wapo, kwa faida ya wadau wote wa JF, anae wajua aelezee kinagaubaga jukwaani, nadhani itapendeza zaidi...