Nahitaji kujua NHIF

keshaulo

Member
Jan 7, 2020
86
69
Wadau naomba kujua kuhusu Bima ya Afya, hivi kama mwanangu ana kadi ya NHIF, na akaandika wategemezi wake ni wazazi wake, inapotokea mimi naumwa je nafaidika na hiyo bima? kwa maana ya matibabu.

Naomba majibu ya kistaarabu najua watakuja watu na mapovu yao humu.
 
sasa mbona kapata msg kutoka kwao kuwa kadi ziko tyr n aliniomba picha yangu na mama?means ziko kadi 3 basi.nawaza tu
 
sasa mbona kapata msg kutoka kwao kuwa kadi ziko tyr n aliniomba picha yangu na mama?means ziko kadi 3 basi.nawaza tu

Kama kadi imeshatoka bhas akikuletea kadi yako na wewe utaweza kunufaika na hiyo huduma ya matibabu.
 
Hizo process zote zilikugharimu bei gani?
Ni bure mkuu.

Ni hivi kwa wafanyakazi wa government huwa wanakatwa pesa kila mwisho wa mwezi kwa akili ya Bima ya afya, hii huwawezesha kupata matibabu popote pale kwa government hospitals,health centers and zahanati pia kwa hospital za binafsi kama wana ubia na NHIf

Sasa kama mtumishi huwa anaofa ya kuwa na tegemezi wake sita,yaani Baba na mama wa mwajiliwa(mfanyakazi),wakwe zake,mke/mme wake,na mwisho ni watoto ila idadi ya tegemezi isizidi sita

Na hakuna gharama yoyote kama muhusika ni mfanyakazi.
 
Back
Top Bottom