The NHIF Civil Servants Scheme Scandal is an alleged scandal, relating to irregularities that were revealed in the Kenya Civil Servants Scheme at the National Hospital Insurance Fund, in early 2012.The alleged irregularities included payment to ghost clinics, unprocedural selection of clinics and creation of an unapproved unit at the NHIF.The scandal was subject to a probe by the Health Parliamentary Committee. Most of the alleged claims were found to be incorrect with time by various enquiry commissions, however investigations are still going on.
Nina jambo ambalo linaumiza sana aisee, ni kuhusu Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kwenye Kifurushi cha Toto Afya ambayo kinalipiwa Shilingi 150,000/=.
Mtoto wangu amezaliwa na tatizo la maji mengi kichwani (Hydrocephalus) na akafanyiwa operation Hospitali ya Taifa Muhimbili, anatakiwa...
Ili kupata fedha za kununua dawa kwa wagonjwa wa UKIMWI, ukoma na kifua kikuu, watawala wa CCM wameamua kuwakamua raia mamilioni ya shilingi. Licha ya kuwa tayari wananchi wanaendelea kukamuliwa tozo za trab and tat baada ya kushindwa kuhamia Burundi, bado serikali ya CCM hairidhiki. Inataka...
Polepole kanatudanganya juu ya bima.ya afya na hesabu zake za bunuwasi apuuzwe kabisa,
Hana akili yoyote ya Actuarial Science haiwezekani haje na graph zake, a bunuwasi kuja kusema mambo ambayo hata mtoto mdogo anaona ni uongo kabisa.
Apuuzwee polepole.
Kwa kweli sioni na hamna sababu kabisa ya watanzania kushindwa kuwa na bima ya afya kwa wote au kupata matibabu bure kama ilivyo Zanzibar.
Hili ni jambo la msingi sana na linaweza kuokoa maisha ya watanzania wengi ambao wanakufa kwa kukosa matibabu.
Kama imewezekana kwa watumishi kulipia bima...
Usiombe ndugu yangu uwe na bima Ya Afya, ile Ya NHIF inayoitwa Ya Vifurushi. Itokee ndo Unaumwa halafu unapata huduma hospitali za Serikali mfano Muhimbili.
Kitakachokukuta Kuhusu gharama za Vipimo na dawa ni heri yule ambaye hana bima.
Bima hii, bima hii, bima hii Ya Afya TAIFA ni zaidi ya...
Kwanza Nikiri kuwa mimi ni mnufaika wa Mfuko wa Bima ya Afya NHIF,
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umekuwa nguzo muhimu ya ustawi wa afya nchini, lakini kwa sasa unakabiliwa na changamoto kubwa ya kuongezeka kwa gharama za matibabu ya magonjwa yasiyoambukiza (NCDs) kama shinikizo la damu...
Kwa nilichokishuhudia leo NHIF ni bima dhaifu mno kama umeshindwa ku_cover opereshen ndogo ya gharama ya Million moja mpaka ulipie.. tena Bima ya mwajiriwa
Au labda package kachagua ndogo
Yaani nchi yetu imekuwa ya ajabu mno siku hizi. Kila mwezi wanakata malaki ya hela kutoka kwenye mishahara ya watu kwa ajili ya bima ya Afya ya NHIF. Lakini ukienda hospitali kwa ajili ya huduma ya afya kama vile uzazi hospitali zinataka ulipie gharama za uzazi. Hili jambo halikuwepo zamani...
Kipengele cha membership number kinahitaji uingize tarakimu 9 wakati huo kwenye kadi kuna tarakimu 12. Hii inakuaje au kuna mahali mimi nakosea?
Msaada tafadhali
Siku kazaa hapo nyuma nimeingia nhif kupitia huduma yao ya online selfservice baada ya kufata hatua za mwanzo zote ikafika sehemu ya kuverify namba ya nida nimeijaza majibu napewq ishatumia katika Account type STUDENT napiga simu wanibadilishie iwe employee kazi yao kunipangia muda tu mara...
Habarini jamani...
Ni wiki sasa tuko nilivyoingia kwenye mfumo na kumoongeza mtegemezi kwenye mfumo wa NHIF( ambaye ni mwanangu).
Nakajaribu kusoma status nikaona ni "APPROVED" ila kibaya zaidi hadi Leo hii mfumo haujaniletea namba ya mtoto ili imsaidie katika matibabu yake.
Nimejaribu kupiga...
Huu ni wizi kwani kadi hiyo siyo smart na ina namba kwanini zisitumike namba tu kumtambua mteja iwapo kapoteza kadi.
Kila kitu serikali imegeuza kitega uchumi tutafika kweli?
Wakuu habarini..
Mimi nataka kuwasijili wake zangu wawili na NHIF.
Ila kinachonikwamisha ni kuwa, status inaniambia kuwa application zangu zote ni FAILED na sababu ni kwamba vyeti/namba za vyeti vya ndoa havisomani/haipatikani RITA.
Sasa nashangaa, hivi vyeti nimepata RITA na vinatolewa na...
Habari,
Hali ni mbaya sana kwa wananchi nchini Tanzania ktk swala la kugharamia matibabu kwani zikoo juu sana,sana na watu wanakufa kwa kushindwa kulipia gharama hizo.
Nashauri serikali ifanye maamuzi magumu kwa kila mwananchi mwenye umri wa miaka 18 na NIDA basi alazimishwe kuwa na bima ya...
Habari jf , ni vifurushi vya Ngorongoro na Serengeti kwa kuanzia :-
1. Kuna dawa muhimu zimetolewa
2.Gharama zimeongezeka
3.kuna ukomo wa gharama zako za kutibiwa
Nini kifanyike kuboresha hivi vifurushi na huduma za afya ?
Pichani: Mwenyekiti wa Bodi ya NHIF, Ndg. Eliudi Sanga, akitoa somo Kuhusu Nafasi ya Kasi na Viwango katika mduara wa utoaji huduma (service delivery cycle time) kwa watumishi wa NHIF hivi karibuni.
"Service delivery cycle time" refers to the total time it takes to complete a service request...
Nimeenda ofisi ya NHIF Cha ajabu pale reception costumer service mbaya kishenzi, namuelekeza ananiambia short answers,
Nikasema dada mbona una costumer care mbaya hivi anasema kwani wewe unatakaje!
Nikasema nataka hudumu nzuri,
Nikaomba barua ya maoni kabla sijaondoka nikataka kuonana na...
Mods msiunganishe Uzi Huu, lengo ni Wahusika wake na majibu !!
Hili ni Bandiko la MwanaJF Megalodon ambalo wengine hatukuliona hili mapema !!.
Ni Ukweli ulio Wazi, Kwa miaka mitatu mfululizo ya nyuma , kote Report ya CAG ilionyesha NHIF imepata Hasara kubwa.
Mwaka 2023 ,Hasira ilikua Kubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.