nguvu

  1. B

    JamiiForums Tanzania Makomando na askari wa karne hii ni watu wenye nguvu za mwili au wanapaswa kuwa watu wenye upeo mkubwa wa kufahamu mambo(IQ kubwa)?

    Wakati tunapita JKT miaka 80+ kigezo Cha uaskari kilipimwa Kwa mambo yafuatayo; 1. Urefu 2. Mwonekano wa umbo 3. Uwezo wa kupiga paredi 4. Smartness Kwa maana ya unadhifu wa mavazi. 5. Unoko Watu wenye sifa zilizoelezwa hapo juu bila kujali uwezo wao wa kufikiri,kupambanua mambo na kufanya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania CCM imempa Mbowe nguvu isiyokuwa na mfano

    Wajuzi wa mambo wanaeema kwamba, kumuweka Mh. Freeman Mbowe ndani kwa kesi ya ughaidi, imemuongezea Nguvu kubwa mno kisiasa. Mbowe amepata nguvu kubwa mno na huruma kubwa mno kutoka kwa wananchi ambao wengi wao wanaamini kesi dhidi yake, ni kesi ya mchongo ambayo imeshabuma. Atakapotoka Jela...
  3. JamiiForums Tanzania Wanawake wajibikeni kwa jamaa zenu, hakuna tatizo la nguvu za kiume

    Chanzo cha kuandika haya ni utafiti wangu binafsi why nilikuwa naishia kamoja tu? Katika kuzunguka zunguka kwangu nikakutana kabinti fulani tukawa marafiki tukajihusisha katika mapenzi motomoto, tatizo langu lile la kuishia kamoja hakika mwanamama alilipatia utibabu sahihi kabisa maana...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Nguvu kuelekezwa katika ajira za walimu na matundu ya vyoo

    Baada ya kujenga madarasa 15,000 na kuwezesha wanafunzi wote waliofaulu kujiunga kidato cha kwanza, Serikali ya Mhe. Rais Samia Suluhu inaelekeza nguvu kwenye ajira za walimu na mtundu ya vyoo. Azma ni kuimarisha ubora wa elimu kwa manufaa ya wananchi na Taifa. #MamaYukoKazini
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ni imani potofu: Mwanamume kufika haraka ni wingi wa nguvu za kiume na si upungufu. Pia mwanamke kuchelewa kufika ndio upunguvu za nguvu za kike!!

    ANGALIZO: KAMA HAUJAOA AU KUOLEWA PITA KIMYA KIMYA TU, HAIKUHUSU!! Upotofu huu umechagizwa na watu kutaka kupiga pesa!! Wanaume wanaaminishwa kuwa hawana nguvu za kiume kwa kuwa wanafika kileleni haraka (ndani ya dakika 5 goli tayari). Kwa hiyo wanahitaji dawa au virutubisho!! Hii ni biashara...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa idadi ya Waafrika wanaoishi nchini China, ni wazi Afrika inazalisha nguvu kazi kwa nchi zilizoendelea

    Kuna idadi kubwa sana ya Waafrika nchini China, Waghana na Wanajeria wana mpaka food joints zinazopika vyakula vyao, hii yote ni kuhudumia idadi kubwa ya watu wao waliokwenda kutafuta maisha huko. Canada wanatoa offer za scholarships kwa undergraduates kusoma degree katika vyuo. Lengo kuu ni...
  7. JamiiForums Tanzania TANZIA Rais wa Mali aliyetolewa kwa nguvu Madarakani afariki dunia

    Picha: Hayati Ibrahim Boubacar Keita Rais wa Mali aliyetolewa kwa nguvu Madarakani Ibrahim Boubacar Keita (76) amefariki dunia katika mji mkuu wa nchi hiyo Bamako. Chanzo cha kifo chake hakijatajwa ingawa miaka miwili iliyopita alipatwa na shinikizo la moyo. Rais huyo aliliongoza Mali kwa...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Simanjiro: Mwanaume wa miaka 30 amuoa kwa nguvu binti wa miaka 14 kwa ridhaa ya baba

    Na John Walter-Manyara Jeshi la Polisi mkoani hapa linamshikilia Mwanaume mmoja mkazi wa kijiji cha Loswaki wilaya ya Simanjiro aliyejulikana kwa jina Lalahe Karoli (30) kwa tuhuma za kumtorosha na kwenda kuishi kinyumba na mtoto mwenye umri wa Miaka 14 kwa ridhaa ya Baba wa Mtoto. Kamanda wa...
  9. JamiiForums Tanzania Stress zilinifanya nihisi kuwa na tatizo la nguvu za kiume

    Wadau, Nimeoa baba wa watoto 07 na mke1. Katika kipindi miaka 02 iliyopita tuliingia kwenye mgogoro na mke wangu. Sababu kubwa alipoteza uaminifu na mimi. Hii ilitokana na aina yangu ya maisha na kazi ninayofanya ambayo kwa kipindi hicho ilinilazimu kurudi usiku wa saa 2 hadi 3 na nilikuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Nguvu iliyoko kwenye branding na kwa nini unatakiwa kujibrand bila ukomo

    Umewahi kujiuliza pamoja na ukubwa wote kampuni kama ya coca cola kwa nini bado wanaendelea kujitangaza? 👉Idadi ya vinywaji vya Coca-Cola vinavyonyweka kwa siku moja ulimwenguni kote inakadiriwa kua billion 1.9 ila dunia ina watu zaidi ya billion 7 hivo Kuna watu billion 6.1 ambao wanakua...
  11. JamiiForums Tanzania Mume ukifikia hatua ya kusema "sitaki kupigizana kelele na Mke” basi wewe sio kichwa cha familia tena

    Kumekuwa na wimbi kubwa sana la waume wasiopenda kilele za wake zao siku hizi. Naomba kuwauliza ni lini wanaume walipenda kelele za wake zao? Kwa kawaida hakuna mwanaume anaependa kuongea sana. Ukiona mwanaume anaongea sana basi ujue ana kasoro. Mwanaume wa kweli maneno kidogo vitendo kwa...
  12. JamiiForums Tanzania N/A Engine kupungua nguvu mikoani

    Kama ni mkazi wa jiji la Dar es Salaam.. Then gari yenye Natural Aspirated engine kwako ni sawa.. Ila kama unaishi nje ya Dar ni bora utafute gari yenye Turbo.. Ukiwa na Natural Aspirated hautoweza kupata power yote kama mtu wa Dar..! Dar ipo +0.00m kutoka usawa wa bahari.. Mikoa mingi ipo...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunathamini umuhimu wa Serikali na tuko imara kuilinda: Rais tunaomba utuongezee nguvu

    Watanzania tulio wengi, hatuna uraia pacha, na tunajua hapa ndipo nyumbani kwetu, japo tunaweza kwenda matembezini lakini mwisho wa siku hapa ndipo kwetu. Kwa mantiki hiyo, kiu yetu ni kuhakikisha nyumbani kwetu panadumu kuwa mahala safi na salama kwa ustawi wetu na vizazi vyetu vijavyo...
  14. O

    JamiiForums Tanzania Kama Nchi ziliweza kutoa nguvu za Wafalme, iweje sisi wenye Rais

    Ndugai usikubali kufa kindezi (Misemo ya vijana), Wewe ni Kiongozi wa Muhimili wa Bunge na Kikatiba una nguvu za kusikiliza Hoja za kumtoa Rais au hata kuchana speech yake. CCM wachache wanataka nafasi ya Uspika ili na wao wale kama wewe ulivokula, lakini usikubali kuiacha kizembe. Sio Lazima...
  15. JamiiForums Tanzania ILINICHUKUA MIAKA MIWILI NA AJALI YA MTOTO 1 KUWA MZOEFU WA NJIA YA KUCHOMOA KABLA KUMWAGA

    Ni njia inayotumika kuzuia mimba, unapokaribia kumwaga unaichomoa umwage nje. mtoto wangu wa kwanza ndie alikuwa gharama ya kujifunzia hii njia nikiwa bado hata sijamuoa mama yake ambae ilinibidi nimuoe baada ya kumpa mimba.
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini Samia anatumia nguvu kubwa kutetea uongozi ambao hakuugharamia?

    Kwa hali ilivyotokea Leo sikutegemea mama ametoka povu vile heee🙄 kulalamika suala la Ndugai ni kutokujiamini yeye ndiye Rais ingetosha tu kuwaeleza Watanzania kwamba amesamehe yote na kwa kuwa uongozi hakuutafuta hategemei malumbano ya kugombea kiti Cha Urais na Watanzania wangemuomba aendelee...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Nashauri Spika Ndugai ajiuzulu

    Ndugu zangu wa JF Nitoe maoni yangu kama Mtanzania Mzalendo kufuatia kauli ya Ndugai kubeza kitendo cha Rais Samia kuendelea na Sera ya kukopa Fedha nje ya Nchi kugharamia miradi ya Maendeleo Kauli ya Mheshimiwa Ndugai sio tu inabeza na kudharau mamlaka ya Rais bali inalenga kuhujumu...
  18. JamiiForums Tanzania Maisha ya makambi ya Ukimbizi siyo kabisa. Amani ya Tanzania tuilinde kwa nguvu zote

    Nimebahatika kutembelea kambi ya wakimbizi Nyarugusu niliyaona daah. Kuna wakimbizi wa kishua na hohehae kabisa, Wale hohehae wana maisha magumu kinyama. Mule ndani ni kama upo Kongo au Burundi, wana shule zao,wana makanisa yao Kuna mitaa ya kikongo na kirundi. Mrundi haruhusiwi kukatiza mitaa...
  19. JamiiForums Tanzania Mercedes-Benz M139 engine: Engine ya 4 cylinders yenye nguvu zaidi kuwahi kutengenezwa duniani.

    Kiukweli hapa Mercedes Benz walifanya kazi nzito. Na kweli wakaonesha umwamba wao kwamba wao ni akina nani. Hakuna engine ya 4 cylinder inayojaribu kuusogelea mziki wa hii engine hata kidogo tu. Hii engine ndiyo ambayo imefungwa kwenye Mercedes AMG A45 S. Hii engine ina 2.0L Twin Scroll...
  20. JamiiForums Tanzania Je, CCM na TISS wanakuzwa nguvu zao kuliko uhalisia (Overrated)?

    Kumekuwepo na propaganda ya miaka mingi kuwa CCM inajua kuandaa na kulea viongozi sio tu ndani ya nchi mpaka nchi jirani (Enzi za Mwalimu) nakumbuka hta Mhe.Polepole alisema wana master plan ya kuongoza nchi mpaka 2075!! Kinachonishangaza toka Mama SSH aingie madarakani ni kama vile CCM...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…