nguvu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Marekani kutumia nguvu zote ili kuishinda Urusi, bila kuhatarisha damu ya askari yeyote wa Marekani hadi tone la mwisho la damu ya watu wa Ukraine

    Wamarekani ni wabaya! Wameamua kuingia vitani na Urusi kwa kutumia nguvu zao zote kwa maana ya zana za kivita na pesa, lakini hawako tayari kumwaga hata damu ya mtu mmoja wa Marekani hadi tone la mwisho la damu ya watu wa ukraine!! Marekani hawajali Ukraine ikiangamizwa na Urusi, wanachohitaji...
  2. JamiiForums Tanzania Kumbe nguvu hizi zaweza kuwa muhimu kupata kipato nikasema naanzisha kundi nalipisha 200 tu kwa Mwezi

    Nina documents kibao nina story za Siri kibao za wakubwa zihusuzo kuhujumu nchi! Unajua Kwamba ufaransa wajeshi kadhaa wana pesa zaidi Ya 43000€ ni watano Wajua Kwamba Tuna watu wanakula mshahara wa usaidizi wa mabalozi kila Mwezi 5000€ bila kujulikana popote? Wajua kuna wakuu wa vyama Vya...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini Wazanzibari wengi wanatumia nguvu kubwa sana kulazimisha undugu na Waarabu

    Wazanzibari wengi ni kama wamesahau kabisa historia ya chimbuko lao kwamba waarabu walipofika visiwani walianza kuwakamata wenyeji na kuwauza kama watumwa nchi zingine, pale wenyeji walipokuwa wachache ndipo waarabu kama kina tipu tipu walisafri kuja huku bara na maeneo ya karibu kununua watumwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Je, nguvu kubwa ya Simba SC iwe ni katika hamasa ya Mitaani au kuiandaa timu Kisayansi (Kiufundi) ili ishinde?

    Najiandaa kuona je, na Orlando Pirates FC nao kabla ya kucheza na Simba SC Kwao Afrika Kusini na wao watahamasisha Mashabiki wao Kuzurula hovyo Mitaani ili Kuujaza Uwanja na Washinde kwa Nyimbo za Hamasa na Tambo za Hekaya za Abunuasi?
  5. JamiiForums Tanzania Misosi ya nguvu

  6. JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie huu mjadala, hivi mwanajeshi anaweza kupata mamlaka, nguvu na heshima kama anayopewa polisi ?

    Habari yeni wanajamii forums, kuna ubishi hapa wa nani ana nguvu na mamlaka makubwa kati ya polisi na mjeda (mwanajeshi) kwa maoni yangu naona polisi ndio wana nguvu kubwa zaidi, najua wana uwezo huu (kama nimekosea mnisahishe) -wao ni law enforcers -wana kibali cha kumuweka chini ya ulinzi...
  7. JamiiForums Tanzania Msaada wa Low beam hazina nguvu

    Wadau kwema Mkoko wangu aina ya Raum new model izi za 2007 una shida iyo taja, mwenye kujua shida hii nii solve vipi ..maana ata nikibadilisha bulb bado low beam hazimuliki chini vizuri kwa ule mwanga unaotakiwa Kitu ambacho kimenifanya nitumie high beam ata nikiwa town route za usiku , hii...
  8. JamiiForums Tanzania Je, jina la Yesu ni kweli lina nguvu na uwezo mkubwa katika kutenda miujiza hadi leo? Wewe limekutendea makubwa gani? Karibu ushuhudie

    Hili ni swali tu katika kujua uweza na uwezo wa nguvu za Jina la Yesu katika kutenda miujiza. Yesu alipata kuishi yapata miaka 2019 iliyopita. Je inakuwaje jina lake leo lisemwe kwamba lina nguvu sana katika kutenda miujiza? Kuna manabii wengi sana na mitume wengi wamepita, kina Krishna...
  9. JamiiForums Tanzania Sikujua kama Urusi Ina nguvu namna hii.

    Marekani peke yake,ama NATO ama Marekani na washirika wake,kwa nyakati tofauti wamekuwa wakipeleka majeshi kwenda kufanya kile wanachokiita kuisaidia kuziokoa nchi zilizo ama vamiwa ama kuongozwa na watu wao waliowaita madikteta. Kwa mara ya kwanza toka nimeijua Marekani na hata NATO.naposema...
  10. JamiiForums Tanzania Video: Yadaiwa Samaki Mtu (Nguva) aonekana ufukweni

    Wakuu! Mwanzoni niliziona Kama hadithi tuu za kizamani lakini baada ya kuiona video hii mtazamo wangu umeanza kubadilika. Ingawaje bado sijapata uhakika wa moja Kwa moja kuhusu video hii kama imeghushiwa au laa.
  11. JamiiForums Tanzania Ijue Nguvu ya majina yanayoanza na herufi J, K na M

    Habari Wana JF Kuna ukweli usio pingika kuhusu Nguvu ya majina yanayo anza na herufi J,K na M. Tuanze na hapa kwetu Tanzania,Rais wa Kwanza jina lake ni Julius Kambarage Nyerere,yeye alibahatika kwenye jina lake Kuna herufi mbili za Nguvu yaani J na K JF Kennedy alikuwa Rais wa Marekani pia...
  12. JamiiForums Tanzania Maneno matatu ya Kinana, Tatu ina nguvu ndo maana hata Kwa dini kuna Utatu

    Maneno niliyoyatia akilini kutoka kwa Comred Kinana 1 CCM sio mali ya serikali 2 CCM haiagizwi na serikali 3 CCM ndio inaiagiza serikali Ni maneno machache yana maana kubwa Twende kazi Hapi Alli Nakusalimia sana Britanicca
  13. JamiiForums Tanzania Maono: Nguvu ya kujua yajayo kupitia sauti ya roho takatifu: Clairaudience

    Katika makala hii nitazungumzia nguvu nyingine ya muujiza moja kati ya nguvu za miujiza walizonazo watu wengi ambayo ni Clairvoyance; Hii ni moja kati ya nguvu za miujiza ambayo wenye nayo huitwa clairvoyants hawa hutambulika kama watu wenye uwezo wa kuona yajayo; Chochote kinachohusu jambo...
  14. JamiiForums Tanzania Urusi huenda imebakia na nguvu ya mashambulizi kutoka angani tu, ardhini pumzi imekata?

    Mimi binafsi sipendi vita, na katika vita vya Ukraine sitaki kushabikia upande wowote kuhusu mauaji, japokuwa siungi mkono kabisa uvamizi wa kijeshi wa Russia katika nchi ya Ukraine kwa kuwa ilitosha mgogoro huu kumalizwa kidiplomasia. Nilihisi na hata kutamani kuona Urusi ikimaliza tukio la...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Kuelekea mkutano mkuu wa CCM Aprili 01, nini maana ya mkutano mkuu wa CCM na nguvu yake?

    Na Bwanku M Bwanku. Jumamosi Machi 12, 2022 Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka alitangaza Uamuzi wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kujadili pendekezo la kuitishwa kwa Mkutano Mkuu wa CCM lililotolewa kwenye Kikao chake cha Desemba 18, 2021 na...
  16. JamiiForums Tanzania Die Glockie: Je, ni kweli chombo hiki chenye nguvu ya ajabu, Hitler alikitumia kuunda silaha za ajabu na kufanya time traveling?

    Wasaalam Naam, Miaka fulani hadithi kuhusu ndege zenye umbo la sahani Almaarufu kama UFO (unidentified Flying Object ) zilishamili sana kuliko hata neno lenyewe, na usichokijua ni kwamba hata jina lenyewe lilipatikana kwasababu ya kutokufahamu vyombo hivi vilikuwa vinatoka wapi! Na viko chini...
  17. JamiiForums Tanzania Kwenye Mahusiano Upande Wenye Nguvu Ni Ule Uliowekeza Kidogo

    Hakuna mahusiano yaliyo balance 50/50. Lazima kuna upande unaogharamia/wekeza kwenye mahusiano zaidi ya upande mwingine. Anayewekeze zaidi kwenye mahusiano ndiye anayemuhitaji mwenzie kuliko mwenzie anavyomuhitaji yeye, na mara nyingi ndiye mwanzilishi wa hayo mahusiano. Kwenye uhusiano kati ya...
  18. JamiiForums Tanzania Mungu alitumia na anatumia nguvu nyingi sana kupambana na Ibilisi ila anafeli

    Kuna mambo mengine yanafikilisha sana, kuna movement kibao zimeanzishwa ili kumpiga vita Ibilisi ila cha kushangaza Ibilisi huyo bado yupo na anadunda vizuri tu. Ukiangalia movement ambazo Mungu ameanzisha ili aweze kujitangaza na kumpiga vita Ibilisi ni nyingi sana ukilinganisha na zile ambazo...
  19. A

    JamiiForums Tanzania "Kasalari"- Nguvu ya muziki kuelekea Maadhimisho ya Mei Mosi 2022

    Wanajamvi Habari za mihangaiko na poleni. Moja kwa moja kwenye mada. Sanaa ya muziki ina nguvu kubwa sana, inapenya mioyoni na inaathiri hisia moja kwa moja. Kwa kulitambua hili, nawaalika wenye uwezo wa kutunga mashairi yenye maudhui ya kuboresha stahiki za wafanyakazi kuelekea mei mosi hii...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Tuungane kuidai ni haki yetu

    Pamoja na hatua zote zinazoweza kuchukuliwa dhidi ya mapendekezo batili ya akina Mukandara, tupanue wigo. Walisema umoja ni nguvu. Kwa hakika wananchi wanataka katiba mpya na wako pote. Wako CCM, NCCR, CHADEMA, nk na wengine hata vyama hawana. Shughuli hii inahitaji watu, tena...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…