nguvu

  1. Nguvu ya mitandao ya kijamii kwa viongozi wetu

    Siku ya jana katika uapisho wa Mawaziri na mabalozi wapya tumeona Rais wetu akiongelea kuhusu kumteua daktari Janabi hii Ina maana kuwa wanafuatilia kwa ukaribu mambo yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii Sambamba na kikao cha kamati kuu ya CHADEMA tumeona Makamu wa Mwenyekiti wao Lissu...
  2. Wacha niwafundishe dawa bora kabisa ya nguvu za kiume (Dawa namba moja ya nguvu za kiume)

    Hii inakuhusu zaidi wewe Mtanzania mwenye kipato cha chini ambae hauna uwezo wa kurudi gharama za matibabu ya nguvu za kiume. Nasema hivi kwa sababu matibabu ya ukweli na uhakika ya nguvu za kiume yapo hapa Tanzania, na watu wanatibiwa na kupona kabisa. Tatizo la nguvu za kiume linabaki...
  3. Mungu hajagawanyika katika nafsi tatu, Mungu ni nguvu Mungu ni energy

    Mungu hajagawanyika katika nafsi tatu. Mungu ni nguvu, Mungu ni energy. Mungu amesambaa katika kila kona unayoijua. Roho zilizo ndani ya nafsi na miili yetu ni sehemu tu ya Mungu. Ndiyo maana hata maandiko yamekiri kuwa sisi ni Mungu, yaani tunaroho wa Mungu. Hivyo, masomo ya Kikushi...
  4. Kwanini kuchukiana hata kuuana kugombea dini za Mungu wakati Mungu mwenyewe tunaaminishwa ana nguvu za ajabu?

    Zamani huko Ulaya, ukipinga ukiristo unapatilizwa chini ya kile kilichoitwa inquisition. Kwenye uislam, ukiupinga chini ya dhana ya jihad unauawa. Huwa nashangaa. Kwanini kupigania dini ya 'Mungu' kana kwamba Mungu hana uwezo wa kuipigania dini yake? Tunapigania dini ya Mungu au maslahi...
  5. Kocha Yanga: Tutacheza kwa Nguvu na Kasi ya Ajabu

    “Yanga wana historia kwenye uwanja tutakaotumia kesho, walipoteza mchezo wa Fainali hapa kwa kanuni lakini naamini walishinda mioyo ya wapenda mpira hapa Algeria, kesho ni siku nyingine na tutakuja na nguvu na kasi ya ajabu ya kutaka kushinda tena" My Take 😂😂😂😂😂
  6. Mtu anapigwa misumali ya kichwa na mikononi utaniambiaje ni mkuu mwenye nguvu?

    Hii inanishangaza na kunifikirisha kabisa hivi unakuwaje mtu ni mkuu na mwenye nguvu halafu anashindiliwa misumali kichwani na mikononi halafu utasemaje ni mkuu mwenye nguvu na miujiza? Halafu tena mtu huyo huyo wapambe wake na wanafunzi wake wanamuangalia tu hii inafikirisha Sana yawezekana...
  7. Z

    Mapambano dhidi ya ukatili na udhalilishaji yanahitaji nguvu za ziada kulekea 2030

    Na Zurima Ramadhan, Zanzibar Wadau wa kupinga vitendo vya udhalilishaji nchini wametakiwa kuzitumia siku 16 za kupinga ukatili kwa kuongeza nguvu ya mapambano dhidi ya vitendo hivyo. Akifungua maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili katika ukumbi wa bima Mpirani wilaya ya mjini, Mjumbe wa...
  8. Hapa ndo Prince Dube alianza pata gundu. Kilichowamaliza nguvu wachezaji wengi wa Yanga

    Mademu. Kuna mademu walitumwa na mikia kuharibu wachezaji wetu. Kuwamaliza nguvu. Ndo UBAYA UBWELA ile. Hawa Simba waliamua kutumia hii kauli wao wakisema sisi tulikuwa tunanunua sana wachezaji wao. So wao Wamerudisha ubaya kwa style hii. Kuwaingizia mademu wengi wenye gundu Yanga. Hawa...
  9. M

    Kama kuna hitilafu na wizi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, itakuwaje kwenye uchaguzi mkuu?

    Chama kama kinakubalika na wapiga kura Kuna haja Gani ya kutumia nguvu kubwa namna hii na wizi wa kura ata uchaguzi wa serikali za mitaa? Aya ni maajabu mengine nayashuhudia Tanzania Kwamba kura zishapigwa kitambo waliopiga awajulikani Daah hii kitu inaitwaje sijaelewa kabisa ni mambo ya aibu...
  10. Mwanaume mwenye nguvu ni yupi?

    MWANAUME MWENYE NGUVU NI YUPI.? : Je ni yule anayenyanyua vyuma na kushinda gym? : Je ni yule anayejua kunyanyua silaha za moto nakuelekea vitani, Nakupigana vita vizuri? : Je ni yule mwenye nguvu yule Rasta wa kwenye biblia,ambaye alikua nanywele zimesokotwa mafungu 7,Aliitwa SAMSON...
  11. Watoto hawatelekezi baba mwenye nguvu ya kifedha na akili

    WATOTO HAWATELEKEZI BABA MWENYE NGUVU YA KIFEDHA NA AKILI Mara nyingi sana tunaona na kusikia visa na mikasa Ya jinsi wababa ambao wamesogea kiumri sana...🥸🥸🥸 Wakilalamika kukimbiwa na watoto pamoja na mke Yaani watoto wamejipata wanaungana na mama yao... Kukuweka wewe kando... Hata kama mko...
  12. Orodha ya Nchi zinazoongozwa Kidini au Dini inanguvu ya ushawishi

    Hapa kuna orodha ya nchi zinazoongozwa kwa sera za kidini au ambazo dini ina ushawishi mkubwa kwenye serikali na sheria za kitaifa. Nimezipanga kulingana na dini husika: 1. Uislamu (Nchi za Kiislamu) Nchi hizi zinafuata sheria za Kiislamu (Sharia) kikamilifu au kwa kiwango kikubwa katika mfumo...
  13. Tundu Lissu: Tanzania sio Jamhuri, tuko chini ya Utawala wa Kijeshi. Ukiondoa Polisi na Wakurugenzi CCM hakuna!

    Wakuu, Wakati akiwa anahitimisha kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Tundu Lissu ametoa yake ya moyoni. Ameseme kuwa bila vyombo vya Usalama na Wakurugenzi CCM isingekuwepo madarakani na kwamba CCM inatumia nguvu za kijeshi kubaki madarakani "CCM wapo kwenye uchaguzi huu kwasababu moja...
  14. M

    Ushauri: Gari Toyota Spacio New Model kukosa nguvu pindi ninapokutana na mlima

    Wakuu habari za Majukumu, kama kichwa cha habari kinavyoeleza, gari yangu hiyo aina ya Toyota Spacio hivi karibuni imekuwa ikikosa nguvu pindi inapoanza kupanda mlima hata kama ni kidogo pia inakuwa kama inamiss hivi sasa sijajua kama ni ishu ya Fuel Pump au maana hata nikijaribu piga ress...
  15. Misiba bado ina nguvu sana Afrika

    Unaweza kucheza na vyote lakini sio msiba.. Misiba Afrika ni kama mila na desturi.. Ni utamaduni wenye nguvu bado Kuna muunganiko wa ajabu na wenye nguvu sana kwenye mila na desturi za Kiafrika na wageni wanautamani lakini hawawezi tena maana walishaharibu Nadhani ndio chimbuko la Ubhuntu...
  16. M

    Upinzani Tanzania hauna nguvu ya kuleta mabadiliko huu ndiyo ukweli.

    Zilikuwa Propaganda tu za kutojianda kwenye uchaguzi, wamethibitisha wenyewe mmeliona. Hadi muda huu hakuna chama kilichosusia uchaguzi kila chama kipo dimbani kwenye kampeni, CHADEMA wao wameamua kuchangisha kabisa na Fedha za ufunguzi wa kampeni kwa maana hiyo vyama vyote vimethibitisha...
  17. Kuwa Nafsi yenye Nguvu

    Ukomavu ni pale ambapo hauwalazimishi watu kukuchagua wewe Kupanda ngazi moja katika mafanikio ni bora kuliko kutofanikiwa kabisa Weka mkazo kwenye mchakato wa mafanikio na sio mafanio yenyewe Ukimya wakati mwingine ni jibu lenye nguvu sana Hakikisha una nguvu ya kutosha kuweza kufanikiwa...
  18. Elon Musk anafifisha dhana ya matajiri kuwa juu ya wanasiasa na taswira ya umwamba juu ya masuala ya dunia?

    Kuna baadhi ya matajiri duniani mfano George Soros na Bill Gates huwa wanatuhumiwa sana kuwa puppet masters wakiwaendesha wanasiasa kama vikaragosi vyao na kuwafanya watimize zinazodaiwa kuwa na ajenda zao ovu kama depopulation, mass control, ushoga n.k Sasa inakuaje Elon Musk tajiri namba...
  19. Juhudi zifanyike wapenyezewe Al Hilal au CAF hii issue ya madawa (Sindano za kuongeza nguvu)

    Hapo vip!! Kwa uzito wa jambo hili kutokana na madhara yake kwenye ulimwengu wa soko sio swala la kufumbia macho au kuliongelea na kuliacha hewani,hewani. Nafikiri tuchukue hatua zaidi ya kuwadokezea Al Hilal au CAF inakuwa vizuri ili hii tabia ya kihuni kwenye michezo ikomeshwe kwa adhabu...
  20. Hivi nchi za NATO hazina nguvu kabisa ya kijeshi?

    Vita si jambo la kushabikia sana, lakini nchi kama Urusi, Iran, Korea Kaskazini, na China zinaonekana kushabikia vita. Wanafikiri pengine ni wao pekee wenye nguvu kubwa za kijeshi na silaha za maangamizi, wakipeana sifa kiasi hicho. Mara nyingi utasikia, "Korea itamshambulia Marekani," na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…