Mkoa wa Katavi hii leo umezindua maadhimisho ya siku ya Wanawake ambayo ulimwenguni yatahitimishwa March 8, 2025 huku yakiangazia nyanja kuanzia mafanikio, changamoto na hata mustakabali wao, sio tu kwa wanawake bali pia wasichana.
Kote mkoani humo, Taasisi za serikali na zisizo za serikali...
Katika miaka ya hivi karibuni, matumizi ya vinywaji vya kuongeza nguvu (energy drinks) yameongezeka kwa kasi hapa nchini Tanzania, hasa miongoni mwa vijana. Ingawa vinywaji hivi vinatangazwa kama viongeza nguvu na msukumo wa mwili, tafiti zinaonyesha kuwa vinaweza kuwa na madhara makubwa kiafya...
Wadau naandika uzi huu kutokana na uzoefu wangu binafsi wa muda mrefu.
Suala la nguvu za kiume linategemea sana na aina ya mwanamke unaelala nae kama anakupa mizuka au lah,
Point zangu ziko hivi.
Kwa muda mrefu nina mpenzi ambae nakuwa nae muda mwingi. Huyu mpenzi ana mazoea kwa hiyo hatunaga...
Unaweza kusema headline iwe "Ni Uchina Tena"
Kamera za Ufukunyuzi Zenye Nguvu Zaidi Duniani zimetengenezwa na Wanasayansi wa China nchi hiyo ikiweka Viwango Vipya vya Upelelezi na Ufuatiliaji wa Kimataifa visivyomithirika.
Kamera hizi mpya zina uwezo wa kushinda viwango vya kimataifa vya...
Kwa sababu nawaonyesha upendo. I take care of them etc, wa Swahili wamekuwa wakinionyesha chuki ya ajabu sana. Plus kuwachukia wanangu pia. Kuna muda niliwahi kuiacha nyumba niliyo Jenga ( uswahilini nje ya jiji) nikarudi kupanga town ili nikae mbali na wa Swahili.
Kwa sababu ambacho kilikuwa...
Nchi yetu hatuwezi kuwa na viongozi wanaojichagua kuongoza nchi kwa kuvunja katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania, sasa ni wakati wazalendo na wanasheria wote nchini kwenda mahakamani kupinga mchakato mzima ulifanyika tarehe 19/01/2025 wa raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania kujiteua...
Tunahitaji kusema na tunahitajika kusema maneno machache na yenye maana, kwasababu ukimya una nguvu katika maneno yenye maana, Robert Greene anasema hivi kikamilifu “ watu wenye nguvu huvutia na kuogopesha kwa kusema machache” muhimu kuidhinisha wakati gani uongee na nafasi gani inayokuhitaji...
Unawaza, “Nitafanya kesho,” lakini kesho haiji. Unataka kufanya mambo makubwa, lakini hata kuanza kunahisi kuwa ngumu. Unafikiria kuandika kitabu, kuwa na afya bora, au kujifunza jambo jipya, lakini badala yake unashinda ukitazama simu au TV. Kwa nini hili hutokea?
Sio kwa sababu wewe ni mvivu...
Kuna kiungo Cha kupikia ni kama chumvi au ndimu, hiki kiungo ni kemikali hutumika majumbani na kwenye mapishi ya biashara kwenye bar na migahawa.
Kinajulikana kwa jina la Ajinamoto, ndugu wanajukwaa hasa wadau wa lishe, afya na chakula karibu kwa ufafanuzi kama hiki kitu kinaathari kwenye...
Waasi wa M23 wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo ambao wanaungwa mkono na Rwanda wanaripotiwa kuuteka uwanja wa ndege wa kimkakati wa Kavumba karibu na Bukavu, mji mkuu wa jimbo la Kivu Kusini.
Uwanja huo wa ndege upo takribani kilomita 20 kutoka mji wa Bukavu ambapo wakaazi...
Watu wasiopenda mabadiliko na hasa kutoka CCM wameanza kuamka usingizini na wengine kuingiwa na hofu ya hatma yao baada ya hotuba ya mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu. Wengine wanalalamika kama wehu et "Lissu asitutishe"! Hii ni dadili nzuri sana kwamba wameanza kuona mwisho wao ukiwa karibu...
Pesa siyo kila kitu ila siyo mbaya kuwa nayo,enyi wadogo zangu,wangu na wajukuu zangu wa kiume.
Mpo kwenye era mbaya sana,
Niwape pole Kwanza.
Era yenu kila kitu kinataka pesa eti.
kufuga nyweli,kusokota Dredi ,na ubishoo bila hela hakuna kitu kizuri utafaidi.
Enzi zetu unapiga msichana...
Wimbo ufuatao una nguvu. Una nguvu inayoweza kubadili hali yako sasa hivi. Ni wimbo unaopaswa kuimbwa, kusikilizwa au kusomwa na kila mtu. Wimbo huu unakufaa wewe uliye na huzuni kwa sababu zifuatazo: Pesa zimeisha mfukoni mwako. Umeachwa na mke wako au mme wako. Unaumwa, umetibiwa, lakini...
Kuna harakati nimezikuta toka najiunga jamii forum na bado zinaendelea kwa baadhi ya member kuwadharau na kuwakejeli walimu wa nchi hii
Napinga kwa nguvu zote za kuwafanya walimu kama marginal group kwa kigezo cha mshahara na maisha kiujumla
Nakataa unyanyasaji huu wa kifikra kwa walimu eti...
Kama Uchaguzi ni mbele huko, lakini tumeona na kusikia habari za utekaji, Upoteaji , Mauaji , matukio yanayoashiria kukosekana Kwa ustahimilivu na uvumilivu wa Kisiasa.
Vipi miezi Kadhaa kuelekea uchaguzi ? Wakati ambao CDM mpya inarudi kua Ile ya 2010, sio kwamba Dola imeburuzwa na kuingia...
Ethiopia huwa inahesabika kama taifa lenye nguvu na mojawapo la himya za kale zaidi katika bara la Africa, kinachonishangaza ni wao kukosa upenyo wa baharini kuwawezesha kuwa na bandari yao tena wakiwa karibu kabisa na bahari za Hindi na Red Sea.
Karne zote hizo wamishindwaje kumpata mnyonge...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Leo.
Kwa vile huu ni mwaka wa Uchaguzi, na mimi mwandishi wako wa makala hizi, zaidi ya kuwa ni mwandishi na mtangazaji wa kujitegemea, pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea, na kwa muda mrefu, nimeandika sana kuhusu katiba ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.